Marekani yamuonya Kagame kuacha kuisaidia M23 huko DRC

tatizo mayimayi! ...... watoke DRC! waendeeee equatorial guinea, make WAkiwaacha tu kwa amani heeee watutsi wooote!!! hata walioko nchi jirani watachinjwa km kuku!

Mambo km haya wanatakiwa sisi tualikwe na ndo tuingilie migogoro km hiyoooo!...lkn hawataki! yaani mie hapo nikiitwa ntafanya hivi...............ngoja nije!
 

Baada ya kuangalia maudhui ya video hiyo ya Dar 24 chini ya Dupe Mdupange, nimepata somo kuwa issue ya Kongo inasababishwa na baadhi ya watu ndani ya jeshi kuwa sehem ya waasi kwa chini chini
 

Baada ya kuangalia maudhui ya video hiyo ya Dar 24 chini ya Dupe Mdupange, nimepata somo kuwa issue ya Kongo inasababishwa na baadhi ya watu ndani ya jeshi kuwa sehem ya waasi kwa chini chini
Nimemsikiliza sana Huyu kuna vitu vingine kadanganya.
 
issue ya Kongo inasababishwa na baadhi ya watu ndani ya jeshi kuwa sehem ya waasi kwa chini chini
Kuja watutsi ndani ya jeshi la congo,
Baada ya vita vya second congo war, walipofanya makubaliano na waasi wa RCD. Ambao walikuwa ni watutsi kutoka rwanda , burundi na banyamulenge, walikubaliana kuwa RCD waingizwe kwenye jeshi la congo.
So KULIKUWA na warwanda wengi ndani ya jeshi la congo.
 
Nimemsikiliza sana Huyu kuna vitu vingine kadanganya.

Ungeviweka hivyo ili tuelimike zaidi. Mimi nawapongeza Dar 24 kwa angalau kutupa mwanga fulani.
Sultan Makenga, Bosco Ntaganda na R Nkunda ni watu waliotajwa sana na media za magharibi kwa sababu ya sintofaham walizoleta pale Nod Kivu
 
Ungeviweka hivyo ili tuelimike zaidi.
Kandanganya kuhusu kuanzisha kwa m23.
Na kasema m23 ni watu wenye asili ya rwanda ambao ni watuthi na wahutu. Kitu ambacho si kweli
M23 ni watutsi kuna wenye asili ya rwanda ( banyamulenge) na watutsi kutoka rwanda ( Rwandese)
Hakuna wahutu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…