mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,950
- 5,317
Kwa sifa kemkem alizokua anapewa nimeshangaaa alivyouawa kizembeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni aibu sana General "mkakamavu na anaeyegemewa" kufa kizembe namna hii,hii inaonyesha kuwa Iran intelligence yake bado ipo chini sana na pia hawana maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Sababu baada ya issue ya Ubalozini huyu General asingepaswa kuwepo Iraq ila kwa kuwa wameishi kwa mazoea na mawazo mfu ya kuwa Marekani hatafanya chochote eti kwa sababu ya Uchaguzi sasa ndio inakula kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app