mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Uongo mtupu,mliambiwa mlete credible source ku-support hii kitu mkala kona.
Sent using Jamii Forums mobile app
US aliingia pakistan(a nuclear state),akamchomoa Osama karibu na jeshi la Pakistan na hawakushtuka mpaka marekani alipowataarifu,Marekani akiamua kumchukua ayatollah muda wowote anaotaka anaweza.
Israel kwa kutumia ndege ya kimarekani F-35 aliingia Iran last year akapiga picha maeneo sensitive ya Iran akaondoka na wala radar hazikumuona!US ni next level.
Sent using Jamii Forums mobile app