Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Inaweza kuwa Kismboy ndio General SoleimaniLeo hadi mbeba mikoba wake humu JF kimsboy naye kapotea mazima. Kila uharo uliokuwa unamtoka jenerali jamaa fasta kutuhabarisha humu. Ha ha ha au yuko migombani Moshi habari hizi hazijamfikia bado.
Sent using Jamii Forums mobile app