Ricecooker
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 500
- 904
Jamaa wamemchoma kizembe Sana,yaani anajua kuwa anawindwa then anaingia Iraq kawa nyumbani kwake.Na jamaa wametoa order Kwa atakayekanyaga ubalozini alimwe Shaba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wamemchoma kizembe Sana,yaani anajua kuwa anawindwa then anaingia Iraq kawa nyumbani kwake.Na jamaa wametoa order Kwa atakayekanyaga ubalozini alimwe Shaba.
Hayo machuma wanaweza wasiyatumie wakawatumia mbu,,inzi, minyoo, na baadhi ya wadudu kibaiolojia wakasambaza ugonjwa dunia mzima na wao wakawa na dawa kama wafanyavyo Africa kwy Ebola, kipindu pindu, Malaria na vinginevyoSa US ana F22 raptor ana F35 ataogopa Tomcat f14??
Israel anazitumia maeneo yasiyo na hatari huko Gaza na baadhi ya sehem za Syria tena za Israel zipo customized.
Israel saivi ni mwendo wa modified F15 striking eagle , F16 Falcon and 35
Sent using Jamii Forums mobile app
In addition,US ana advanced nuclear powed submarines,nuclear powered aircraft carrier,B-2 spirit bombers,B1 Lancer bomber,B-52,variants za F-35,nuclear bombs in Turkey among many na zote zipo middle eastSa US ana F22 raptor ana F35 ataogopa Tomcat f14??
Israel anazitumia maeneo yasiyo na hatari huko Gaza na baadhi ya sehem za Syria tena za Israel zipo customized.
Israel saivi ni mwendo wa modified F15 striking eagle , F16 Falcon and 35
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatatizo lake lingine anapenda kuwa front sana,kupitia technology angeweza kutoa order.Pia jamaa wa Iraq walimchomaAlienda kupanga na kusimamia operations Ubalozi,wakati anaelekea Airport kurudi Iran kwa kazi nzuri aliyoifanya Ubalozi ndio CIA wakamtageti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mossad na CIA wanaielewa hyo middle east balaa.IRAQ hailewi kilichoendelea hapo,kaona matokeo tu.Tatatizo lake lingine anapenda kuwa front sana,kupitia technology angeweza kutoa order.Pia jamaa wa Iraq walimchoma
Kuna fala anatishia Tomcat F14[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]In addition,US ana advanced nuclear powed submarines,nuclear powered aircraft carrier,B-2 spirit bombers,B1 Lancer bomber,B-52,variants za F-35,nuclear bombs in Turkey among many na zote zipo middle east
Mjamaa huwa anaingia nakutoka Iraq Mara kwa Mara ni aliyekuwa hakai ofisini kabisa yaani Iraq alikuwa anakaa zaidi kuliko kwao uli mziki wa kuwatoa isis alikuwa anaenda mwenyewe kwa ground .Jamaa wamemchoma kizembe Sana,yaani anajua kuwa anawindwa then anaingia Iraq kawa nyumbani kwake.Na jamaa wametoa order Kwa atakayekanyaga ubalozini alimwe Shaba.
Acha ujinga ndugu vita sio kitu rahisi kama unavyo fikiria.
Hata jeshi dhaifu kama la kwetu haliwezi kupingwa kwa siku moja.
Ni kweli yaani very accurate.Jamaa unaweza kuta wako miami beach wanakula bata.
Hiyo F-15 tu inamtosha,hyo F-22 atasimulia yajayo-na F22 hairuhusiwi kuuzwa nje ya US hata Israel ka lobby kashindwa kuipata.Mjapani anaijua story ya US vyema anaweza simulia wengineKuna fala anatishia Tomcat F14[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza kuwa imedieti kozi ya 4th world war kama ze death of Ferdinand Archiduke? Ngoja tuone maana tamko la Iran limenishtuaVyombo vya habari za Iran vimethibitisha Soleimani kafariki kutokana na shambulio la Helicopter ya MarekaniView attachment 1310654
Sent using Jamii Forums mobile app
Una angalia CNN .Change the channel bends kwenye intelligence sources Fox News or cbsFrank, kwa mtu anayefuatilia siasa za uhasama za Iran na USA, the only conclusion one can draw from this act of "aggression" of USA against Iran, is that: this is an opportune kumtia adabu USA maana sasa Iran ana sababu ya kutumia any military capability at her disposal to retaliate kutetea sovereignty ya nchi yake na jumuia ya kimataifa ikamuunga mkono! Kuna mjadala mkubwa ongoing now on CNN, kama una nafasi angalia
Mwambie akipata muda asome hii retaliation ya marekani nadhan mwaka juzi dhidi ya wapiganaji wa kukodi Russia nchini syriaKuna fala anatishia Tomcat F14[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yenyewe huwa yanapigaga mayowe "death to america" huku yakichoma vitambaa. Leo kamanda mkiu wa vikosi vya ulinzi wa mapinduzi komandoo na generali kauliwa kama kuku. Yaani wamemgeuza vipande vya nyama fasta; wamarekani hawanaga mipasho wala maandamano ya kuchoma vitambaa wao ni actions tu tena actions za maana.Wanahangaika na kitambaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wajinga hawakuiona hiyo helcopter waidungueVyombo vya habari za Iran vimethibitisha Soleimani kafariki kutokana na shambulio la Helicopter ya MarekaniView attachment 1310654
Sent using Jamii Forums mobile app