Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Kwa sifa kemkem alizokua anapewa nimeshangaaa alivyouawa kizembeee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Iran akijitusi kutaka kulipiza kisasi akaua askari au akaribu mali za US kichapo cha mbwa koko kitamuhusu
Hapa JF uwa kuna wapiga mapambio kwamba US uwa anaogopa Iran kijeshi, US kijeshi ni habari nyingine wadau, yaani Ayatolah asicheze na moto ambao hatoweza kuuzima, narudia US kijeshi ni habari nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Iran atapigwa hadi huwezi ona dead bodies wee subiri, this time Iran akipona kipigo takatifu asali sana na utawala wao utapotea kabisa.
 
US special force operations uwa haitaji kibali cha mtu yeyote zaidi ya US President Order (Trump)
Refers Osama operations, ISIS leader Al Baghdad, etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Iran inteligency hapa ili'fail, baada ya ule uvamizi wa ubalozi alafu huyu akawa anafanya nin kwenye ardhi ya Iraq? Yaan kwel kilichowaponza ni mazoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado kumuua huyu Javad zharif na Ayatollah khamenei. Wenzao wajanjawajanja hawatumiii Twitter, Facebook na madude ya USA kuogopa kuuliwa kizembe unaweza wakati yupo Iraq alikuwa anatumia iPhone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mim nashindwa elewa Iran inteligency, kwann mtu muhimu kama Gen Suleman kuwa ardhi ya Iraq kipindi cha machafuko kama hiki, nafikiri mazoea yamewagharimu, nasikia sasa makamanda wa Iran wapo kikaoni, ila nawasihi wasijaribu kulipiza, US this time atawachapa kweli tena kipigo kitakatifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa Mkuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa USA, ni hatari sana wakikugonga Biological weapon utachoka wanakuja wanamwaga magonjwa ndani ya nchi mnaacha kufanya mambo mengine watu, wanakufa kwa magonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…