Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Hayo machuma wanaweza wasiyatumie wakawatumia mbu,,inzi, minyoo, na baadhi ya wadudu kibaiolojia wakasambaza ugonjwa dunia mzima na wao wakawa na dawa kama wafanyavyo Africa kwy Ebola, kipindu pindu, Malaria na vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In addition,US ana advanced nuclear powed submarines,nuclear powered aircraft carrier,B-2 spirit bombers,B1 Lancer bomber,B-52,variants za F-35,nuclear bombs in Turkey among many na zote zipo middle east
 
US aliingia pakistan(a nuclear state),akamchomoa Osama karibu na jeshi la Pakistan na hawakushtuka mpaka marekani alipowataarifu,Marekani akiamua kumchukua ayatollah muda wowote anaotaka anaweza.
Israel kwa kutumia ndege ya kimarekani F-35 aliingia Iran last year akapiga picha maeneo sensitive ya Iran akaondoka na wala radar hazikumuona!US ni next level.
 
Jamaa wamemchoma kizembe Sana,yaani anajua kuwa anawindwa then anaingia Iraq kawa nyumbani kwake.Na jamaa wametoa order Kwa atakayekanyaga ubalozini alimwe Shaba.
Mjamaa huwa anaingia nakutoka Iraq Mara kwa Mara ni aliyekuwa hakai ofisini kabisa yaani Iraq alikuwa anakaa zaidi kuliko kwao uli mziki wa kuwatoa isis alikuwa anaenda mwenyewe kwa ground .
 
Una angalia CNN .Change the channel bends kwenye intelligence sources Fox News or cbs
 
Wanahangaika na kitambaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yenyewe huwa yanapigaga mayowe "death to america" huku yakichoma vitambaa. Leo kamanda mkiu wa vikosi vya ulinzi wa mapinduzi komandoo na generali kauliwa kama kuku. Yaani wamemgeuza vipande vya nyama fasta; wamarekani hawanaga mipasho wala maandamano ya kuchoma vitambaa wao ni actions tu tena actions za maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…