Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Hili jambo nilakishujaa sanaaa 1979 ilitokea TEHRAN Kwa ss TEHRAN Ipo Huruuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna siku mtazionea aibu posts hizi za kumsifia IRAN.
IRAN ni mtoto mdogo sana japo anakuja juu kwa kasi lakini hadi awe na nguvu ya kumtunishia US msuli, mpeni miaka 20 hivi.
Bado hajazaliwa, Iran ☫ iran baba Lao
[emoji1130] [emoji1130] [emoji1130] [emoji1130] [emoji1130] [emoji1130] [emoji1130] [emoji1130] [emoji1130]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehehehe Nahisi Anaweza Akawa Kakuelewa.....?!'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau pia na huyo kamanda alieuwawa wapo kama 100000 kwa hio ata ukimuuwa mmoja haijapungua kitu
Muoga aliyeua?
Uko siriaz kweli!
Us mjanja, anajifanya hataki vita kuwapumbaza, ona slivyoleta msiba zito.
Huyo kamanda aliyeuwawa ni sawa na wanajeshi 1000 muhimu kwa Iran

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itazidi hii ya General Commando kufa kifo cha kizembe kiasi hiki? Ni bora angekufa juu ya papuchi tuu angepata heshima

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah bora huyu amekufa kazini kuliko Gen.Mattis aliyeitwa na trump(the world’s most overrated general) ambae nadhani sa hivi atakua home kwake akimkatikia mumewe,cz jeshi la US limejaza mashoga sana mzee baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuh Asee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unahisi Kama Ingekua Inawezekanika Hizi Mambo Toka Mwaka 1979 Jamaa Wanangoja Nn

Kama Wangekua Wanajua Yote Haya 2000s US Drones Zilishushwa Nne US Walikua Wapi ?!


Mwaka Jana Drones Yao Imeangushwa Imekuaje Jamaa Hawajajua Hilo[emoji23][emoji16][emoji2]


US Anamaguvu Sana Ila IRAN Anamaguvu Yakukabiliana Na US Kwa QADRI Anavyoweza.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua unaongea na watu wazima lkn?

Israrl atakabidhiwa Hezzbollah aka deal nao tena kama enzi zile,mpk aombe cease fire tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ubinadamu! Casualties wanakuwa akina Mama na watoto kama Syria maisha ya watu yanapotea bure ndo maana wanapiga kimya kusubiri hiyo retaliation iwe kisingizio cha kuanza kwa vita
Ubina Adamu Huo Hawakuuona SYRIA IRAQ LIBYA Nakwengineko Wauone Leo Hii ?!

Kwahio Unategemea IRAN Waanze Retaliate Gani ?!


IRAN Hajawahi Kuwaza Kushambulia Taifa Jengine Ila Akianzwa Hatakaa Bila majibu


Watapiga YEMEN SYRIA IRAQ LEBANON n.k Ila Hawataweza Kuipiga IRAN....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…