Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Pole sana Sana Mkuu IRAN Haijawahi Kuprovoke YyteWenzake wanaendelea kupiga hela yeye Iran amekakamaa kudhibiti ak47 mikononi.
Kwa ujinga wake ataprovoke ulaya ione sababu ya kumchapa (straight of hammuz"spelling")
Mpaka Hapa Nishapata Mashaka Na Mtu Nnaejenga Nae Hoja.....Nchi ni watu. Iran wanaishi wairan. Utakuwa kichaa kurusha mabomu kwenye nchi isiyo na watu. Ukiwa unaua wairan nchi itabaki tupu. Nchi ni watu. Naona maji yamefika shingoni na hauna cha kujitetea.
Iran tayari kaguswa kwahiyo moja wa General kwenye serikali ya Iran kapungua. Iran anatakiwa asipanic ajifanye hajui atulie kama Kiduku maana akisema akomae atawaumiza raia wake. Ukumbuke Israel na mwingereza nao wapo kwenye hii vita na unaweza kushangaa Saudia Arabia na Russia wakamsapoti Marekani. Kibaya zaidi Iran yupo pekee yake. Waarabu hawana umoja. Kila mtu anapigana kivyake
Ndio uwezo wao umeishia hapo!
IRAN Mafuta Yalipanda!? kwa Asilimia Ngapi ?!Kama kungekuwa na mafuta ya magendo bei ya mfuta ingeporoka, kanuni hii inanishawishi kuwa si china wa india anayenunua mafuta ya magendo.
Kupanda kwa bei ya mafuta kwa 50% nchini Iran kulisababisha maandamano Teheran, a vivid indicator that the regime is struggling.
Regime change outcry is beeping louder.
Mafuta Ya IRAN Yamekua Yamagendo Leo Kwa Aspects Ipi ?Kama kungekuwa na mafuta ya magendo bei ya mfuta ingeporoka, kanuni hii inanishawishi kuwa si china wa india anayenunua mafuta ya magendo.
Kupanda kwa bei ya mafuta kwa 50% nchini Iran kulisababisha maandamano Teheran, a vivid indicator that the regime is struggling.
Regime change outcry is beeping louder.
Usisahau pia na huyo kamanda alieuwawa wapo kama 100000 kwa hio ata ukimuuwa mmoja haijapungua kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
VikwazoHehehehe[emoji23][emoji23][emoji16][emoji2][emoji16]Mafuta Ya IRAN Yamekua Yamagendo Leo Kwa Aspects Ipi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mim nashindwa elewa Iran inteligency, kwann mtu muhimu kama Gen Suleman kuwa ardhi ya Iraq kipindi cha machafuko kama hiki, nafikiri mazoea yamewagharimu, nasikia sasa makamanda wa Iran wapo kikaoni, ila nawasihi wasijaribu kulipiza, US this time atawachapa kweli tena kipigo kitakatifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupitia Drone RQ Alipiga Nini[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]US aliingia pakistan(a nuclear state),akamchomoa Osama karibu na jeshi la Pakistan na hawakushtuka mpaka marekani alipowataarifu,Marekani akiamua kumchukua ayatollah muda wowote anaotaka anaweza.
Israel kwa kutumia ndege ya kimarekani F-35 aliingia Iran last year akapiga picha maeneo sensitive ya Iran akaondoka na wala radar hazikumuona!US ni next level.
Huwa nafurahi sana Iran ikipigwa na washirika wake,kwasababu ni mtu muovu mno nyuma ya pazia ya wema
Sent using Jamii Forums mobile app
Proof?Hiyo siyo USA imetoa kichapo hicho, bali ni Mosad, kwa kofia ya USA.
Umesahau kuwa saivi marekani na Russia ni jiwe na shiteIran is a key Middle Eastern ally of Russia, an important strategic partner. By assassinating Soleimani and putting Us on a military collision course with Tehran, Trump is not only menacing the Islamic Republic, he is poking the Russian bear in the chest, back and face too.
Source: Trump's New Year killing of Soleimani finally blows up the fake Russiagate narrative
====
Mbali na msaada wa haraka wanoweza kupata kutoka Moscow, Iran itasimamia show peke yake.
Umejibu kifala kweliAnaipeleka kwenye upinzani umekaa tu kijiweni unazani utaelewa nchi anaipeleka wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku Mji Wowote Wa IRAN Ukipigwa Nitasema Kama Sasa Rasmi IRAN Ni Paper Tiger Hana Maajabu Kama Ambayo US Anafanya Anauwezo Wakupiga Popote Wanapopatikana Wairan Nje Ya IRAN Sababu IRAN Hana Hatimiliki Ya Space Ya Nchi Nyengine Sasa Unahisi Atawalinda Vp Watu Wake ?!So what????? Hivi mara ngapi tunasikia Iranian backed militias camps zinalipwa kila uchao Huko Syria[emoji28][emoji28][emoji28] tena strong facilities
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatafuta sababu(The newspaper emphasized that it was the original media source) sasa mkuu apo hujajua tu magazeti kuwa wanapiga hela nyingi sana kwa hizo fake news?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Wakat DRONE Ina2nguliwa Alikiepo Wapi Msitafte Vichaka Vyakujifichia Hapaa [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3]Bolton angekuwepo sidhani ata kama angevumilia huu Uvundo wa Iran
Ishu Sio Speed Ishu Walituaminisha Yakwamba Haionekani Kwa Rada Na Ikaonekana Hapa Tayari Walishatoa Boko