Game changer ni nuclear na makombora ya masafa marefu! Iran kama angevimiliki hivyo bila shaka US angekuwa kama jogoo wa shamba kwa Iran
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaandika utoto mwingi sanaUS aliingia pakistan(a nuclear state),akamchomoa Osama karibu na jeshi la Pakistan na hawakushtuka mpaka marekani alipowataarifu,Marekani akiamua kumchukua ayatollah muda wowote anaotaka anaweza.
Israel kwa kutumia ndege ya kimarekani F-35 aliingia Iran last year akapiga picha maeneo sensitive ya Iran akaondoka na wala radar hazikumuona!US ni next level.
Humu mkuu tunabishana na watoto wetuUongo mtupu,mliambiwa mlete credible source ku-support hii kitu mkala kona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan unahisi huyo suleiman alizaliwa hvyo hvyo c alipitia mafunzo kama walopitia wengne Na Ambayo Wengne Wana endelea Kupitia ...Labda kama ulikuwa humjui huyo jamaa, kwa taarifa yako ni mashuhuri kuliko hata hassan Rouhani rais wa nchi. Na amekuwa na stutas hiyo kwa sababu. Sasa hizo story wako wengine million 5 sijui unazitoa wapi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nawahurumia wanayemsifia Iran ilhali alishadhibitiwa kurutubisha nyuklia na kutengeneza makombora ya masafa marefu.
Iran anapokoroma eti atalipa kisasi ni sawa na mbwa wa miezi 3 kumbwekea JAMBAZI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Argument yako ni Ipi hasa?au kuandika kwako tu sentence ya maneno ndo argument?
Taifa gani kwamfano?Aaah Kwan Baada Ya Kueka Vikwazo Hakuna Taifa Hata Moja Wanatumia Mafuta Ya IRAN ?!...
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema wapo sio watakuja, na huwezi sema watakuja make ni sawa na ramli.Daaah[emoji16][emoji23][emoji23]Kwan unahisi huyo suleiman alizaliwa hvyo hvyo c alipitia mafunzo kama walopitia wengne Na Ambayo Wengne Wana endelea Kupitia ...
Unahisi hayo mafunzo yameisha ama unahisi hakuna wengne watakao funzwa....
Jamaa hakuna anaebishana na Uwezo wake Ila Haimaanishi Kama Hakuna Ama Haiwezi Kutokea Soleiman Mwengne
Watakuja Kama Yeye Alivyopita Suala Lamuda 2 ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran haingii kijeshi kama unavyojua wewe. Iran itashirikiana na makundi mbali mbali ndani ya iraq na kuwauwa kimya kimya wanajeshi wa marekani. Usiwaze kiboya kuona la iran itarusha ndege. Hata iran na makundi yake iraq wakiuwa wanajeshe 5 kwa mwezi ni big achievementNyie wote mnaodhani Iran anauwezo huo nawaonea huruma Sana. Nilikuwa upande wa Saddam Hussein ile miaka ya 90s, kwa mikwala aliyokuwa akipiga Saddam Hussein nilijuwa Marekani kwishney. Maskini alipigwa kama mbwa koko roho ilituuma sana. Lkn ulikuwa ni ushabiki tu usio na uhalisia.
In a long run nikajagundua kwamba marekani yupo far away kwenye Hii game ya vita technologicaly ame advance Sana. Iran ana disadvantage kubwa Sana maana amezungukwa na American military base hapo Saudia, Kuwait na nyambizi kibao baharini kwa hiyo bora wapige mkwara WA maneno tuuu halafu wakaushe.
NI kweli Iran hana uwezo wa kupambana na Marekani lakini hata hivyo unawachukulia poa mno Iran! Usisahau Utawala wa Iran upo pale kwa miaka 40, na kwa muda wote huo US hawajawahi kuutaka ule utawala hata mara moja!!! Kwa tabia za US, Iran wangekuwa ni wepesi kama unavyojaribu kuwaonesha, basi ule utawala ungekuwa umeondolewa hata kabla Saadam Hussein hajaondolewa!! Na usisahau, hao hao unawaongelea kwa lugha nyepesi kiasi hicho ndio walisababisha hata heshima ya Jimmy Carter ishuke na kushindwa kurudi madarakani awamu ya pili baada ya Iran kuwashililia mateka maafisa ubalozi kwa takribani mwaka mmoja na ushee na military rescue mission zote zili-fail hadi kiongozi aliyeingia baada ya Carter alipoamua kurudi mezani na ndipo mateka wakaachiwa!!!!Ngoja nione lkn naamini Iran hawezi kujipima ubavu na USA! Ni yale yale ya wazir wa habari wa Sadam Husein
Muhammad Saeed al-Sahhaf anamwambia maadui tumewafyeka wote kumbe askari wa USA wako Baghdad mitaani
Breaking news zinasema kuwa USA has deployed 3000 soldiers to the Middle East, nadhani wanaelewa kitakachofuata. Na shida kubwa wanakuwa hawajui ninlini na wapi litatokea lakutokea.Wakilipuwa Balozi zao kwenye nchi masikini watakaoumia ni hao masikini
maana msako huo watakamatwa na kubambikiwa kesi wasiohusika
Kumbe sleeper cells wamefanya yao
Sent from my iPhone using Tapatalk
NI kweli Iran hana uwezo wa kupambana na Marekani lakini hata hivyo unawachukulia poa mno Iran! Usisahau Utawala wa Iran upo pale kwa miaka 40, na kwa muda wote huo US hawajawahi kuutaka ule utawala hata mara moja!!! Kwa tabia za US, Iran wangekuwa ni wepesi kama unavyojaribu kuwaonesha, basi ule utawala ungekuwa umeondolewa hata kabla Saadam Hussein hajaondolewa!! Na usisahau, hao hao unawaongelea kwa lugha nyepesi kiasi hicho ndio walisababisha hata heshima ya Jimmy Carter ishuke na kushindwa kurudi madarakani awamu ya pili baada ya Iran kuwashililia mateka maafisa ubalozi kwa takribani mwaka mmoja na ushee na military rescue mission zote zili-fail hadi kiongozi aliyeingia baada ya Carter alipoamua kurudi mezani na ndipo mateka wakaachiwa!!!!
So, YES, Marekani ni too strong kwa Iran lakini na Iran wenyewe sio too weak kiasi hicho!!! Ni kutokana na hilo, ndo maana wakati sisi huku tukifanya ushabiki, mataifa mengine including some Americans wenyewe wanahofu kwamba yanaweza kuzuka mambo makubwa zaidi!! Iran ka-survive pale huku akiwa na uadui mkubwa na Iraq, Israel, Saudi Arabia; na wote hao ni washirika wakubwa wa US lakini jamaa bado wameweza ku-survive!!
Breaking news zinasema kuwa USA has deployed 3000 soldiers to the Middle East, nadhani wanaelewa kitakachofuata. Na shida kubwa wanakuwa hawajui ninlini na wapi litatokea lakutokea.
So wewe you are smarter than CIA or FBI[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Na akumbuke kuwa aliyepinduliwa kwa ushawishi wa Ayatollah akiwa uhamishoni Ufaransa, yuko Marekani, anaijua Iran vizuri lakini alishindwa kuwasaidi wamarekani kuivuruga Iran kwa miaka 40.
Vita kati ya Iran na Marekani vina gharama mno, yaifa ulilolitenga kwa miaka 40 likajijenga kwa uwezo wake wa ndani sio taifa la kulichezea. Kuna madhara makubwa sana kuishambulia Iran, ikumbukwe kuwa ni Iran hiyo hiyo ndo imesaidia kuwadhibiti Al Qaida na IS, vinginevyo hali ingekuwa mbaya sana. Marekani analijua hilo, na ndo maana kadeploy askari 3000 sio akapigane na Iran bali anajua ugaidi anaouhubiri kila siku utaanza upya na kutishia usalama wa raia wake popote pale walipo.
Breaking news zinasema kuwa USA has deployed 3000 soldiers to the Middle East, nadhani wanaelewa kitakachofuata. Na shida kubwa wanakuwa hawajui ninlini na wapi litatokea lakutokea.
Umeongea ukweli mtupu! Na ki ukweli, hili suala watu wanalichukulia kwa ushabiki mno, lakini binafsi limeniogopesha sana!Na akumbuke kuwa aliyepinduliwa kwa ushawishi wa Ayatollah akiwa uhamishoni Ufaransa, yuko Marekani, anaijua Iran vizuri lakini alishindwa kuwasaidi wamarekani kuivuruga Iran kwa miaka 40.
Vita kati ya Iran na Marekani vina gharama mno, yaifa ulilolitenga kwa miaka 40 likajijenga kwa uwezo wake wa ndani sio taifa la kulichezea. Kuna madhara makubwa sana kuishambulia Iran, ikumbukwe kuwa ni Iran hiyo hiyo ndo imesaidia kuwadhibiti Al Qaida na IS, vinginevyo hali ingekuwa mbaya sana. Marekani analijua hilo, na ndo maana kadeploy askari 3000 sio akapigane na Iran bali anajua ugaidi anaouhubiri kila siku utaanza upya na kutishia usalama wa raia wake popote pale walipo.
Wewe unaongea kwa ushabiki! Kwani hao FBI na CIA walikuwa wapi wakati wafanyakazi wa ubalozi walipokuwa wameshikiliwa mateka kwa takribani mwaka mzima?! Kwani hao FBI na CIA walikuwa wapi wakati Operation Eagle Claw ilipo-fail miserably?! Haya mambo sio ya kufanyia ushabiki ikiwa watu mnajali mustakabali wa dunia!!So wewe you are smarter than CIA or FBI[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chifu, ni kweli umeongea mambo kirahisi mno pale unavyodhani US wanaweza kuingia Iran kirahisi rahisi tu na kumteka Ayatollah! Huyo Pakistan unakosema US waliingia kimya kimya na kumchomoa Osama unatakiwa kufahamu kwamba kwa miaka nenda rudi, Pakistan ni Mshirika mkubwa sana wa Pakistan! Fuatilia hata ile Taliban, utagundua ni project ya pamoja kati ya US na Pakistan!!Argument yako ni Ipi hasa?au kuandika kwako tu sentence ya maneno ndo argument?