Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Ndio maana nawahurumia wanayemsifia Iran ilhali alishadhibitiwa kurutubisha nyuklia na kutengeneza makombora ya masafa marefu.
Iran anapokoroma eti atalipa kisasi ni sawa na mbwa wa miezi 3 kumbwekea JAMBAZI.
Game changer ni nuclear na makombora ya masafa marefu! Iran kama angevimiliki hivyo bila shaka US angekuwa kama jogoo wa shamba kwa Iran

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
US aliingia pakistan(a nuclear state),akamchomoa Osama karibu na jeshi la Pakistan na hawakushtuka mpaka marekani alipowataarifu,Marekani akiamua kumchukua ayatollah muda wowote anaotaka anaweza.
Israel kwa kutumia ndege ya kimarekani F-35 aliingia Iran last year akapiga picha maeneo sensitive ya Iran akaondoka na wala radar hazikumuona!US ni next level.
Mnaandika utoto mwingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah[emoji16][emoji23][emoji23]
Labda kama ulikuwa humjui huyo jamaa, kwa taarifa yako ni mashuhuri kuliko hata hassan Rouhani rais wa nchi. Na amekuwa na stutas hiyo kwa sababu. Sasa hizo story wako wengine million 5 sijui unazitoa wapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan unahisi huyo suleiman alizaliwa hvyo hvyo c alipitia mafunzo kama walopitia wengne Na Ambayo Wengne Wana endelea Kupitia ...

Unahisi hayo mafunzo yameisha ama unahisi hakuna wengne watakao funzwa....

Jamaa hakuna anaebishana na Uwezo wake Ila Haimaanishi Kama Hakuna Ama Haiwezi Kutokea Soleiman Mwengne

Watakuja Kama Yeye Alivyopita Suala Lamuda 2 ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadhibitiwa na nani na mwaka gani na hizo shughuli kaanza kuzifanya mwaka gani ?!
Ndio maana nawahurumia wanayemsifia Iran ilhali alishadhibitiwa kurutubisha nyuklia na kutengeneza makombora ya masafa marefu.
Iran anapokoroma eti atalipa kisasi ni sawa na mbwa wa miezi 3 kumbwekea JAMBAZI.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah Kwan Baada Ya Kueka Vikwazo Hakuna Taifa Hata Moja Wanatumia Mafuta Ya IRAN ?!...

Sent using Jamii Forums mobile app
Taifa gani kwamfano?
Mataifa yote yaliyolipia walipewa dirisha la ku collect oder zao.

Ukitaka kumtangulia aliyekuzidi fanya nae urafiki.

Mbona urusi hazozani kiivyo na marekani?

Angalia Japan, Australia, German, Argentina, Brazil!!

Nyinyi tu waajemi mtuharibie kadunia ketu!!
 
Daaah[emoji16][emoji23][emoji23]Kwan unahisi huyo suleiman alizaliwa hvyo hvyo c alipitia mafunzo kama walopitia wengne Na Ambayo Wengne Wana endelea Kupitia ...

Unahisi hayo mafunzo yameisha ama unahisi hakuna wengne watakao funzwa....

Jamaa hakuna anaebishana na Uwezo wake Ila Haimaanishi Kama Hakuna Ama Haiwezi Kutokea Soleiman Mwengne

Watakuja Kama Yeye Alivyopita Suala Lamuda 2 ....

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema wapo sio watakuja, na huwezi sema watakuja make ni sawa na ramli.
Afu kumbuka sio suala la mafunzo tu, bali majaaliwa ya Mwenyezi Mungu. Kumbuka Barcelona ni timu moja kocha mmoja lakin Messi habari nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie wote mnaodhani Iran anauwezo huo nawaonea huruma Sana. Nilikuwa upande wa Saddam Hussein ile miaka ya 90s, kwa mikwala aliyokuwa akipiga Saddam Hussein nilijuwa Marekani kwishney. Maskini alipigwa kama mbwa koko roho ilituuma sana. Lkn ulikuwa ni ushabiki tu usio na uhalisia.

In a long run nikajagundua kwamba marekani yupo far away kwenye Hii game ya vita technologicaly ame advance Sana. Iran ana disadvantage kubwa Sana maana amezungukwa na American military base hapo Saudia, Kuwait na nyambizi kibao baharini kwa hiyo bora wapige mkwara WA maneno tuuu halafu wakaushe.
Iran haingii kijeshi kama unavyojua wewe. Iran itashirikiana na makundi mbali mbali ndani ya iraq na kuwauwa kimya kimya wanajeshi wa marekani. Usiwaze kiboya kuona la iran itarusha ndege. Hata iran na makundi yake iraq wakiuwa wanajeshe 5 kwa mwezi ni big achievement

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nione lkn naamini Iran hawezi kujipima ubavu na USA! Ni yale yale ya wazir wa habari wa Sadam Husein
Muhammad Saeed al-Sahhaf anamwambia maadui tumewafyeka wote kumbe askari wa USA wako Baghdad mitaani
NI kweli Iran hana uwezo wa kupambana na Marekani lakini hata hivyo unawachukulia poa mno Iran! Usisahau Utawala wa Iran upo pale kwa miaka 40, na kwa muda wote huo US hawajawahi kuutaka ule utawala hata mara moja!!! Kwa tabia za US, Iran wangekuwa ni wepesi kama unavyojaribu kuwaonesha, basi ule utawala ungekuwa umeondolewa hata kabla Saadam Hussein hajaondolewa!! Na usisahau, hao hao unawaongelea kwa lugha nyepesi kiasi hicho ndio walisababisha hata heshima ya Jimmy Carter ishuke na kushindwa kurudi madarakani awamu ya pili baada ya Iran kuwashililia mateka maafisa ubalozi kwa takribani mwaka mmoja na ushee na military rescue mission zote zili-fail hadi kiongozi aliyeingia baada ya Carter alipoamua kurudi mezani na ndipo mateka wakaachiwa!!!!

So, YES, Marekani ni too strong kwa Iran lakini na Iran wenyewe sio too weak kiasi hicho!!! Ni kutokana na hilo, ndo maana wakati sisi huku tukifanya ushabiki, mataifa mengine including some Americans wenyewe wanahofu kwamba yanaweza kuzuka mambo makubwa zaidi!! Iran ka-survive pale huku akiwa na uadui mkubwa na Iraq, Israel, Saudi Arabia; na wote hao ni washirika wakubwa wa US lakini jamaa bado wameweza ku-survive!!
 
Wakilipuwa Balozi zao kwenye nchi masikini watakaoumia ni hao masikini

maana msako huo watakamatwa na kubambikiwa kesi wasiohusika
Kumbe sleeper cells wamefanya yao

Sent from my iPhone using Tapatalk
Breaking news zinasema kuwa USA has deployed 3000 soldiers to the Middle East, nadhani wanaelewa kitakachofuata. Na shida kubwa wanakuwa hawajui ninlini na wapi litatokea lakutokea.
 
NI kweli Iran hana uwezo wa kupambana na Marekani lakini hata hivyo unawachukulia poa mno Iran! Usisahau Utawala wa Iran upo pale kwa miaka 40, na kwa muda wote huo US hawajawahi kuutaka ule utawala hata mara moja!!! Kwa tabia za US, Iran wangekuwa ni wepesi kama unavyojaribu kuwaonesha, basi ule utawala ungekuwa umeondolewa hata kabla Saadam Hussein hajaondolewa!! Na usisahau, hao hao unawaongelea kwa lugha nyepesi kiasi hicho ndio walisababisha hata heshima ya Jimmy Carter ishuke na kushindwa kurudi madarakani awamu ya pili baada ya Iran kuwashililia mateka maafisa ubalozi kwa takribani mwaka mmoja na ushee na military rescue mission zote zili-fail hadi kiongozi aliyeingia baada ya Carter alipoamua kurudi mezani na ndipo mateka wakaachiwa!!!!

So, YES, Marekani ni too strong kwa Iran lakini na Iran wenyewe sio too weak kiasi hicho!!! Ni kutokana na hilo, ndo maana wakati sisi huku tukifanya ushabiki, mataifa mengine including some Americans wenyewe wanahofu kwamba yanaweza kuzuka mambo makubwa zaidi!! Iran ka-survive pale huku akiwa na uadui mkubwa na Iraq, Israel, Saudi Arabia; na wote hao ni washirika wakubwa wa US lakini jamaa bado wameweza ku-survive!!

Na akumbuke kuwa aliyepinduliwa kwa ushawishi wa Ayatollah akiwa uhamishoni Ufaransa, yuko Marekani, anaijua Iran vizuri lakini alishindwa kuwasaidi wamarekani kuivuruga Iran kwa miaka 40.

Vita kati ya Iran na Marekani vina gharama mno, yaifa ulilolitenga kwa miaka 40 likajijenga kwa uwezo wake wa ndani sio taifa la kulichezea. Kuna madhara makubwa sana kuishambulia Iran, ikumbukwe kuwa ni Iran hiyo hiyo ndo imesaidia kuwadhibiti Al Qaida na IS, vinginevyo hali ingekuwa mbaya sana. Marekani analijua hilo, na ndo maana kadeploy askari 3000 sio akapigane na Iran bali anajua ugaidi anaouhubiri kila siku utaanza upya na kutishia usalama wa raia wake popote pale walipo.
 
So wewe you are smarter than CIA or FBI[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Breaking news zinasema kuwa USA has deployed 3000 soldiers to the Middle East, nadhani wanaelewa kitakachofuata. Na shida kubwa wanakuwa hawajui ninlini na wapi litatokea lakutokea.

And the clock is [emoji736]
Yaani wanaweza kuvamia hata kambi zao
Iran wamekasirika sana halafu ukiona propaganda zinazoendelea ya kwamba wairan na Iraq pamoja na Syrians wamefurahia sana
Ngoja tusubiri ila yajayo sio mazuri kwa kweli

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Na akumbuke kuwa aliyepinduliwa kwa ushawishi wa Ayatollah akiwa uhamishoni Ufaransa, yuko Marekani, anaijua Iran vizuri lakini alishindwa kuwasaidi wamarekani kuivuruga Iran kwa miaka 40.

Vita kati ya Iran na Marekani vina gharama mno, yaifa ulilolitenga kwa miaka 40 likajijenga kwa uwezo wake wa ndani sio taifa la kulichezea. Kuna madhara makubwa sana kuishambulia Iran, ikumbukwe kuwa ni Iran hiyo hiyo ndo imesaidia kuwadhibiti Al Qaida na IS, vinginevyo hali ingekuwa mbaya sana. Marekani analijua hilo, na ndo maana kadeploy askari 3000 sio akapigane na Iran bali anajua ugaidi anaouhubiri kila siku utaanza upya na kutishia usalama wa raia wake popote pale walipo.
Umeongea ukweli mtupu! Na ki ukweli, hili suala watu wanalichukulia kwa ushabiki mno, lakini binafsi limeniogopesha sana!
 
So wewe you are smarter than CIA or FBI[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaongea kwa ushabiki! Kwani hao FBI na CIA walikuwa wapi wakati wafanyakazi wa ubalozi walipokuwa wameshikiliwa mateka kwa takribani mwaka mzima?! Kwani hao FBI na CIA walikuwa wapi wakati Operation Eagle Claw ilipo-fail miserably?! Haya mambo sio ya kufanyia ushabiki ikiwa watu mnajali mustakabali wa dunia!!

Kavita kadogo tu pale Syria kamechukua miaka kadhaa wakati si Iran wala US ilikuwa inawahusu ile vita! Umeshawahi kujiuliza what can happen wakianza wao kwa wao?! Umeshawahi kujiuliza ni mataifa mangapi yanaweza kuingia kwenye hiyo vita?! Umeshawahi kujiuliza Middle East kukichafuka ile kisawasawa kitatokea nini kwenye mataifa mengine tunaotegemea nihati kutoka Middle East?!
 
Kuna wapumbavu humu wanadhan iran itanyamaza katika historia ya iran hichi ndo kipindi ambacho iran inaenda kukiwasha huyu kama alikua ni asset kubwa na hili halitapita bila majibu makali yaani iran anaenda kufanya kitu ambacho kitakua na matokeo mabaya kwa marekani

Watch and see
Mark my words

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Argument yako ni Ipi hasa?au kuandika kwako tu sentence ya maneno ndo argument?
Chifu, ni kweli umeongea mambo kirahisi mno pale unavyodhani US wanaweza kuingia Iran kirahisi rahisi tu na kumteka Ayatollah! Huyo Pakistan unakosema US waliingia kimya kimya na kumchomoa Osama unatakiwa kufahamu kwamba kwa miaka nenda rudi, Pakistan ni Mshirika mkubwa sana wa Pakistan! Fuatilia hata ile Taliban, utagundua ni project ya pamoja kati ya US na Pakistan!!

Ambacho kilitokea kwa Osama ni kwamba baadhi ya Maafisa wa ISI (Intelligence Agency ya Pakistan) walikuwa na mahaba binafsi na Osama! Kwa maana nyingine, security system within ISI iligawanyika; wakati wengine wakiwa upande wa US dhidi ya Osama na wengine walikuwa wanampa hifadhi Osama! Matokeo yake, sharing ISI hawakuwa kitu kimoja, na matokeo yake, hata wale waliokuwa wanafahamu mpango wa US wasingeweza ku-share intel kwa hofu ya kutojua "who's with us."

Kinyume chake, Intelligence System ya Iran ni kitu kimoja! And on top of that, Ayatollah kwa Washia ni kama Papa kwa Wakatoliki! Sasa unaanzaje kuwashawishi Wakatoliki wamsaliti Papa?!! Hapa nikiwa na maana kwamba, hata kama kutakuwa na loose end kwa upande wa intelligence system ya Iran, bado ni ngumu sana kuitumia hiyo loose end kumsaliti Ayatollah kama ambavyo watu wa ISI walivyokuwa wamemsaliti Osama!!
 
Back
Top Bottom