Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Sasa ww kwa mfano ata kama wana F35 itaenda kushambulia vipi anga za Iran? Wakati new model drone ambayo eti wanasema haionekani ilichakazwa ata haijaingia kwenye anga la Iran?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile drone ya US tuliyoambiwa ni latest with sophisticated tech. ilishushwa na vijana wa iran tena wanaofanya internship tu,hahah

Sent using Jamii Forums mobile app
Drone ya pesa ndefu zaidi ya hizo!! Pia linaona mbali kuliko hizo ndege!! Yanii ile drone kama ni shetani ni number one!
Wakuu inatakiwa ujue kuwa global hawk (drone) siyo stealth na wala haina speed Kali kama attack or fighter aircraft kama F-35 au F-22..

Kama utabisha links ninazo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiwashe aone aishie mtaloni kama sadam na gadaff mpeni kichwa tu. Leo sele kaka kapondwapondwa kama nyama za sambusa kabakiziwa pete tu ya majini yake
 
Wakuu inatakiwa ujue kuwa global hawk (drone) siyo stealth na wala haina speed Kali kama attack or fighter aircraft kama F-35 au F-22..

Kama utabisha links ninazo!

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona umesahau hata 2011 iliyopita stealth ya ki-kimarekani ilishawahi shushwa na wa iran mkuu.

'Nearly eight years ago, a stealth American surveillance drone with a 66-foot wingspan went down over Iran.'-washington post


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo pimbi saaana sa subiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hio si stealth mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wait and see

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipi hiyo?

Predator (drone) ni stealth?

Utakuwa haupo serious!

Mkuu unapo to a hoja zingatia ukweli na si ushabiki au hisia!
Mimi daima nasimama kwenye ukweli japokuwa muda mwingine inauma!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu mko vizuri kwenye geo-politics. Sisi wengine tupo shallow sana ila tunajua yale muhimu tu.

Well, Iran wale maostaz hawawezi kukaa kimya kwa shambulio la General wao. Lazima watatupa raha tu soon.

Swali fikirishi: Ni nani mnufaika mkuu wa mgogoro huu? Najua wakristo wanafurahi, maandiko yanatimia. Yesu yu njiani yuaja!
 
A look at Iran's main proxy groups:

"Iran essentially seeks to nurture its allies and proxies to the point where they, and by extension Iran, can take over state power from within.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu ww sinime kuuliza lakini mpaka sasa,nimekuuliza kama hawauzi mafuta serikali yao wanaiendeshaje?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tusubiri tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…