Al assad
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,404
- 1,516
Sasa ww kwa mfano ata kama wana F35 itaenda kushambulia vipi anga za Iran? Wakati new model drone ambayo eti wanasema haionekani ilichakazwa ata haijaingia kwenye anga la Iran?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile drone ya US tuliyoambiwa ni latest with sophisticated tech. ilishushwa na vijana wa iran tena wanaofanya internship tu,hahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu inatakiwa ujue kuwa global hawk (drone) siyo stealth na wala haina speed Kali kama attack or fighter aircraft kama F-35 au F-22..Drone ya pesa ndefu zaidi ya hizo!! Pia linaona mbali kuliko hizo ndege!! Yanii ile drone kama ni shetani ni number one!
Kama utabisha links ninazo!
Sent using Jamii Forums mobile app