Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Sasa ww kwa mfano ata kama wana F35 itaenda kushambulia vipi anga za Iran? Wakati new model drone ambayo eti wanasema haionekani ilichakazwa ata haijaingia kwenye anga la Iran?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile drone ya US tuliyoambiwa ni latest with sophisticated tech. ilishushwa na vijana wa iran tena wanaofanya internship tu,hahah

Sent using Jamii Forums mobile app
Drone ya pesa ndefu zaidi ya hizo!! Pia linaona mbali kuliko hizo ndege!! Yanii ile drone kama ni shetani ni number one!
Wakuu inatakiwa ujue kuwa global hawk (drone) siyo stealth na wala haina speed Kali kama attack or fighter aircraft kama F-35 au F-22..

Kama utabisha links ninazo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wapumbavu humu wanadhan iran itanyamaza katika historia ya iran hichi ndo kipindi ambacho iran inaenda kukiwasha huyu kama alikua ni asset kubwa na hili halitapita bila majibu makali yaani iran anaenda kufanya kitu ambacho kitakua na matokeo mabaya kwa marekani

Watch and see
Mark my words

Sent using Jamii Forums mobile app
Akiwashe aone aishie mtaloni kama sadam na gadaff mpeni kichwa tu. Leo sele kaka kapondwapondwa kama nyama za sambusa kabakiziwa pete tu ya majini yake
 
Wakuu inatakiwa ujue kuwa global hawk (drone) siyo stealth na wala haina speed Kali kama attack or fighter aircraft kama F-35 au F-22..

Kama utabisha links ninazo!

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona umesahau hata 2011 iliyopita stealth ya ki-kimarekani ilishawahi shushwa na wa iran mkuu.

'Nearly eight years ago, a stealth American surveillance drone with a 66-foot wingspan went down over Iran.'-washington post

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaongea kwa ushabiki! Kwani hao FBI na CIA walikuwa wapi wakati wafanyakazi wa ubalozi walipokuwa wameshikiliwa mateka kwa takribani mwaka mzima?! Kwani hao FBI na CIA walikuwa wapi wakati Operation Eagle Claw ilipo-fail miserably?! Haya mambo sio ya kufanyia ushabiki ikiwa watu mnajali mustakabali wa dunia!!

Kavita kadogo tu pale Syria kamechukua miaka kadhaa wakati si Iran wala US ilikuwa inawahusu ile vita! Umeshawahi kujiuliza what can happen wakianza wao kwa wao?! Umeshawahi kujiuliza ni mataifa mangapi yanaweza kuingia kwenye hiyo vita?! Umeshawahi kujiuliza Middle East kukichafuka ile kisawasawa kitatokea nini kwenye mataifa mengine tunaotegemea nihati kutoka Middle East?!
Wewe ndo pimbi saaana sa subiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hio si stealth mkuu
Naona umesahau hata 2011 iliyopita stealth ya ki-kimarekani ilishawahi shushwa na wa iran mkuu.

'Nearly eight years ago, a stealth American surveillance drone with a 66-foot wingspan went down over Iran.'-washington post

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Ndio Mnapo Feli Sasa Kama Jamaa Wnaweza Kuwapiga Wairan Wakiwa SYRIA Kwanini Wanachemka Kuwapiga Ndani Ya IRAN Siku Mji Wowote Wa IRAN Ukipigwa Nitasema Kama Sasa Rasmi IRAN Ni Paper Tiger Hana Maajabu Kama Ambayo US Anafanya Anauwezo Wakupiga Popote Wanapopatikana Wairan Nje Ya IRAN Sababu IRAN Hana Hatimiliki Ya Space Ya Nchi Nyengine Sasa Unahisi Atawalinda Vp Watu Wake ?!

US Anashambulia WairaN Waliopo IRAQ Sababu Anamiliki Karibu Kila Kiingiacho IRAQ Kwa Kila Njia Yemen Halkadhalika

US Akiipiga IRAN Ndani Yamipaka Yake Hapa Sitaongea Tena Lolote

Nb:Sipendi Nawala Sishabikii VITA....

Sent using Jamii Forums mobile app
Wait and see

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipi hiyo?

Predator (drone) ni stealth?

Utakuwa haupo serious!

Mkuu unapo to a hoja zingatia ukweli na si ushabiki au hisia!
Mimi daima nasimama kwenye ukweli japokuwa muda mwingine inauma!
Naona umesahau hata 2011 iliyopita stealth ya ki-kimarekani ilishawahi shushwa na wa iran mkuu.

'Nearly eight years ago, a stealth American surveillance drone with a 66-foot wingspan went down over Iran.'-washington post

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipi hiyo?

Predator (drone) ni stealth?

Utakuwa haupo serious!

Mkuu unapo to a hoja zingatia ukweli na si ushabiki au hisia!
Mimi daima nasimama kwenye ukweli japokuwa muda mwingine inauma!

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya bishana na washngton post.
Screenshot_2020-01-04-00-29-20-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu mko vizuri kwenye geo-politics. Sisi wengine tupo shallow sana ila tunajua yale muhimu tu.

Well, Iran wale maostaz hawawezi kukaa kimya kwa shambulio la General wao. Lazima watatupa raha tu soon.

Swali fikirishi: Ni nani mnufaika mkuu wa mgogoro huu? Najua wakristo wanafurahi, maandiko yanatimia. Yesu yu njiani yuaja!
 
A look at Iran's main proxy groups:

"Iran essentially seeks to nurture its allies and proxies to the point where they, and by extension Iran, can take over state power from within.
IMG_20200103_233157.jpeg
IMG_20200103_234126.jpeg
IMG_20200103_234605.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa gani kwamfano?
Mataifa yote yaliyolipia walipewa dirisha la ku collect oder zao.

Ukitaka kumtangulia aliyekuzidi fanya nae urafiki.

Mbona urusi hazozani kiivyo na marekani?

Angalia Japan, Australia, German, Argentina, Brazil!!

Nyinyi tu waajemi mtuharibie kadunia ketu!!
Alafu ww sinime kuuliza lakini mpaka sasa,nimekuuliza kama hawauzi mafuta serikali yao wanaiendeshaje?
 
Kuna wapumbavu humu wanadhan iran itanyamaza katika historia ya iran hichi ndo kipindi ambacho iran inaenda kukiwasha huyu kama alikua ni asset kubwa na hili halitapita bila majibu makali yaani iran anaenda kufanya kitu ambacho kitakua na matokeo mabaya kwa marekani

Watch and see
Mark my words

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tusubiri tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom