BREAKING: Iran's national security council is meeting to determine response to the US killing of Qassem Soleimani
Nipo online eeee, msije kusema wafuga madevu kazi yao kuuwa [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi nasubiria kwa hamu hiyo response yao maana ndio itakata mzizi wa fitna,maana tumeshachoka maneno sasa ni muda wa vitendo tuu. Nimemis sana milio ya Tomahawks Missile.
Sent using Jamii Forums mobile app
URGENT: Israel is on high alert after US eliminated IRGC commander Soleimani - reports Israel is on High Alert After US Eliminated IRGC Commander Soleimani - Reports Sputnik on Twitter
Izrail wanaanza kuharisha huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni uhakika hata waliofanya hayo mauaji ni Israeli kwa kivuli cha US, wanajua saana kupindua picha hawa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wana poor inteligence lkn waliishusha drone ya marekani ambayo tuliaminishwa ni latest kabisaa.Ni aibu sana General "mkakamavu na anaeyegemewa" kufa kizembe namna hii,hii inaonyesha kuwa Iran intelligence yake bado ipo chini sana na pia hawana maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Sababu baada ya issue ya Ubalozini huyu General asingepaswa kuwepo Iraq ila kwa kuwa wameishi kwa mazoea na mawazo mfu ya kuwa Marekani hatafanya chochote eti kwa sababu ya Uchaguzi sasa ndio inakula kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi nasubiria kwa hamu hiyo response yao maana ndio itakata mzizi wa fitna,maana tumeshachoka maneno sasa ni muda wa vitendo tuu. Nimemis sana milio ya Tomahawks Missile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kazi nzuri ya CIA au unaonaje mkuu, japo wape pongezi majasusi wabobezi CIA huku ukiendelea na maombolezo.Jamaaa alikua ana ishi kimaficho ficho IRAQ SYRIA LEBANON Na Nchi Nyengne Hapo Mido Ist Kwahio Asingeweza Kua Na Official Kampan Sababu Alikua Anafanya Mishen Zasiri Mnooo
Jengne US Wanapo Amua Lao Hua Hawaoni Muhali Hata kuua Raia Ama Rais Wanchi Husika Ili Watimize Malengo Yao
Damu Yajamaa Haitawaacha Salama Hatakama Si Leo Kesho Ama Mwaka Huu
Najua IRAN Hawatatoa majibu kwa wakat huu na kama itatokea wametoa majibu kwa ss hayatakua muafaka kwa mtu makini kama kamanda soleiman
All In All Sisi Sote Niwake Nakwake Tutarejelea Allah Amsameh Makosa Yake Na Amsameh Alipoteleza....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan IRAN Ilipo2ngua DRONE Ya US Ilijificha ?! ....[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]HIYO NDIO AMERICA BWANA IMESEMA WAZI SISI NDO TUMEMUUA UMEKASIRIKA INGIA MZIGONI UONE....IRAN MAKELELE TU HANA UBAVU WA VITA NA AMERICA UKWELI UKO HIVYO
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Alokiri Kushambulia Nani Mkuu ?!Ndiyo tabia ya Mossad Al abet, wanatwanga wanarudi, wanasubiri wewe utoe tamko, la kulaani, hata some times wasikujibu kwa maneno, Ujue maneno ni silaha kubwa sana?
But Mossad wana slogan yao! ''SILENCE IS GOLD''
Iran kutangaza kwamba ni USA bado wanatapatapa, hawajui ni shambulizi la nani!
Walipo2nguliwa drone yao walishindwaje kudhibitishaWamarekani wamethibisha kwamba sio wa mchezo mchezo.
Beberu ni Dume kubwa na tata kundini, hasa kundi la mbuzi, hutawala, humilki, hujivuna, kibeberu kidogo hivi hakina say! hili husambaza mbegu kwa mbuzi majike yote, kwa hiyo neno Beberu ni sifa!Huku hua wanatuangalia tu tunavyowaita sijui mabeberu,wanatuona hatuna madhara wanatupotezea tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubavu Huo Mnautolea wapi ?!.??[emoji23][emoji16][emoji23]
Iran vs Usa?Frank, kwa mtu anayefuatilia siasa za uhasama za Iran na USA, the only conclusion one can draw from this act of "aggression" of USA against Iran, is that: this is an opportune kumtia adabu USA maana sasa Iran ana sababu ya kutumia any military capability at her disposal to retaliate kutetea sovereignty ya nchi yake na jumuia ya kimataifa ikamuunga mkono! Kuna mjadala mkubwa ongoing now on CNN, kama una nafasi angalia
Hii ni kazi nzuri ya CIA au unaonaje mkuu, japo wape pongezi majasusi wabobezi CIA huku ukiendelea na maombolezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah na hilo jina lake siku hizi wateule wake wanalitamka majina yake yote manne,sasa kuna moja umelisahau hapo katikati'Jo'.Beberu ni Dume kubwa na tata kundini, hasa kundi la mbuzi, hutawala, humilki, hujivuna, kibeberu kidogo hivi hakina say! hili husambaza mbegu kwa mbuzi majike yote, kwa hiyo neno Beberu ni sifa!
Mtu ukimsifu sana kama Jiwe hana madhara kwako! ila usithubutu kumuita jiwe utakoma! sema Jonh Pombe Ma-lock, utasalimika!
Fiction tu! kauliwa na USA-Simple,plain and clear.Hiyo siyo USA imetoa kichapo hicho, bali ni Mosad, kwa kofia ya USA.
Iran wajue wamefanya ujinga mkubwa sana kwenda kushambulia ubarozi wa marekani katika kipindi ambacho TRUMP anamatatizo ya kisiasa, wamempa sababu ya kujimwambafai.
Ni heri wachukue maamuzi ya kutulia badala ya kukurupa kujaribu kujibu mapigo kijingajinga, Sababu baada ya huyo Komando, hao ma ayalatolla wote wanaweza uwawa, wote.