Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Nimekupa like mwanangu Kuwa hajafa kwa ulevi wala kwa kugombania papuchi

Safi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shambulizi nyeti kama hilo wasingeweza kuwajulisha Iraq mkuu, Bunge la Marekani wenyewe wamekuwa suprised swmbuse Iraq?
 
Haya mambo yalianza tarehe 27 december 2019, baada ya kakundi ka kigaidi "Kataebu Hizbullah" kushambulia kambi ya kijeshi ya Iraq ya K1 Military Base, iliyo katika mji wa Kirkuk kwa maroketi ya Katyusha yanayosemekana kutengenezwa na jeshi la Iran. Katika shambulio hilo Raia mmoja wa Marekani aliuwawa pamoja na askari ka kadhaa wa jeshi la Iraq na Marekani kujeruhiwa.

Tarehe 29 december 2019, Jeshi la marekani likalipiza kisasi kwa kufanya mashambulishi iliyoyatambulisha kama "preventive defensive strikes" katika maeneo matano ndani ya Iraq na Iran na kuua wanamgambo wa kakundi hako ka kigaidi 50, na kujeruhi wengine 50.

Tarehe 31 december 2019, waandamaji wanaosadikiwa kuongozwa na mihemko ya kakindi hako wakavamia ubarozi wa marekani mjini Baghdad, wakachoma moto ukuta ulio nje ya jengo la ubarozi huo, Wakavunja geti la ubarozi na kuingia ndani huku milio kadhaa ya risasi ikirindima. Raia wote wa marekani waliokuwa ndani ya ubarozi huo waliondoshwa na hakuna hata mmoja aliyejeruhiwa.

Katika miaka ya hivi karibuni, uvamizi wa namna hii kwa ubarozi wa marekani ulitokea mwaka 2012 na kusababisha mauaji ya barozi wa marekani nchini Libya.

Ukifuatilia mtiririko huo wa matukio kila baada ya siku moja tokea tarehe 27, utaona kwamba kuna mabadiriko makubwa sana ya kimaamuzi ndani ya Iran na USA ambayo yanaweza pelekea matatizo makubwa sana hasa kwa Iran, kwa sababu, kwa mtazamo wangu wamerekani wamekuwa wavumilivu sana kwa hawa majamaa kwa muda uliopitiliza.

wairan wamemshika masharubu marekani kwa muda mrefu na sasa wamefikia hatua ya kumtia kidole, lakini nadhani THE RESPONSE HAS BEEN SIGNIFICANT.

Na hapo John Bolton hayupo.
 
Alafu kitendo cha Iraq kuwaruhusu waandamanaji kuvamia ubalozi wa US juzi na kuwasha moto kimewauzi US to the maximum.

Huyu waziri mkuu yupo kwenye wakati mgumu sana,
Pompeo anammaindi kinoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umuhimu wa kumjurisha mtu kama unataka kushambulia ni kama anauwezo wa kuvuruga mikakati yako. Iraq hana huo uwezo sasa unamjurisha wa nini, hayo sio maamuzi ya kisiasa eti mzunguze hayo ni maamuzi ya kijeshi.

kwanza hao iraq wameonyesha unafiki mkubwa sana.

huyo comando alikwenda kufanya nini Iraq?
 
Tarehe 31 December TRUMP alitweet.

"Iran killed an American contractor, wounding many. We strongly responded, and always will. Now Iran is orchestrating an attack on the U.S. Embassy in Iraq. They will be held fully responsible."

alafu bado huyo jamaa akajipeleka Baghdad.
 
Nini maoni yako?
 
Huu uzi huu, nimekalia siti kusoma comments za makamanda wa Kibongo wakizichapa humu, kila mmoja ana aidha mlengo wa Iran au Marekani.
Siku hayo mataifa yatarindimana sijui hii JF kama itafanya kazi, server zitajazwa humu....hehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…