Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Hii habali nzima nimependa sehemu moja tu
KAUWAWA KWA AMRI YA RAIS
Duj
Sent using Jamii Forums mobile app
KAUWAWA KWA AMRI YA RAIS
Duj
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa hajafa kwa ulevi wala kwa kugombania papuchiAlikua Moja ya Makamanda wenye akili nyingi, mwerevu sana na mtiifu kwa serikali ya Iran yeye hasa akireport moja kwa moja kwa Mwenyewe Ayatollah...
Iran imepata pigo kubwa sana hasa....sio mchezo..katika hali ya kawaida yeye hakupaswa kuwa pale Iraq mida hii hasa kutokana na fujo hizi za karibuni..Irani na waajemi wote wanalia Duniani Kote..General Souleiman kalala mauti kama na sisi wote tutakavyolala siku moja.
Ameifia nchi yake...hajafa kwenye ulevi wala akipigania Wanawake Allah Amuweke pema...
Shambulizi nyeti kama hilo wasingeweza kuwajulisha Iraq mkuu, Bunge la Marekani wenyewe wamekuwa suprised swmbuse Iraq?Mkuu tayari waziri mkuu wa Iraq ame laumu mashambulizi yalio muuwa Commander cassem na Muhandis.
Naona US watakosa ushirikiano na serikali ya Iraq.
Wanafanya mashambulizi bila kuwa julisha wenyeji sijui wanajiamini kiasi gani.
Ngoja tusubiri kuona.
Huu mwaka huu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza huyo Waziri Mkuu wa Iraq ni kibaraka wa Iran,pili Marekani ndio inayotoa ulinzi kwa hiyo Serikali,tatu huyo Waziri Mkuu hana legitimate yoyote ya kuongea hayo sababu kwanza mbona haulizi Majeshi ya Iran yanafanya nini Iraq pia yeye alishaniuzulu aondoke zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
KHuyu alikuwa ndio mchora ramani wa Iran kwa shughuli zao zote nje ya Iran, kuanzia kushambuliwa kwa Visima vya Mafuta vya Saudi Arabia mpaka kuteka meli na bila kusahau kashikashi la Ubalozi wa Marekani. Tungoje tuone Iran atafanya nini,sasa hivi kichapo kwake kipo wazi wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
"cooked and loaded" waajemi hawaujui msamiati huu wa kivita.
Umuhimu wa kumjurisha mtu kama unataka kushambulia ni kama anauwezo wa kuvuruga mikakati yako. Iraq hana huo uwezo sasa unamjurisha wa nini, hayo sio maamuzi ya kisiasa eti mzunguze hayo ni maamuzi ya kijeshi.Mkuu tayari waziri mkuu wa Iraq ame laumu mashambulizi yalio muuwa Commander cassem na Muhandis.
Naona US watakosa ushirikiano na serikali ya Iraq.
Wanafanya mashambulizi bila kuwa julisha wenyeji sijui wanajiamini kiasi gani.
Ngoja tusubiri kuona.
Huu mwaka huu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upumbavu kafiri na mabikira wapi na wapi?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Gen Qassem soleiman saizi yule kwa allah anakabidhiwa Bikra 72
Nani kukuambia iran 🇮🇷 anataka vita atii eeehh?Nasubiri kwa hamu response ya Iran,halafu ndio atajua nini kilichomkuta Saddam na Ghadaff
Sent using Jamii Forums mobile app
Tarehe 31 December TRUMP alitweet.Huyu alikuwa ndio mchora ramani wa Iran kwa shughuli zao zote nje ya Iran, kuanzia kushambuliwa kwa Visima vya Mafuta vya Saudi Arabia mpaka kuteka meli na bila kusahau kashikashi la Ubalozi wa Marekani. Tungoje tuone Iran atafanya nini,sasa hivi kichapo kwake kipo wazi wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hao hezbolla ni wairan?Unaita vurugu? Kumbuka kabla ya iyo vurugu Marekani ndie aliyeanza uchokozi kwa kuwaua Hezbollah.
Nini maoni yako?Haya mambo yalianza tarehe 27 december 2019, baada ya kakundi ka kigaidi "Kataebu Hizbullah" kushambulia kambi ya kijeshi ya Iraq ya K1 Military Base, iliyo katika mji wa Kirkuk kwa maroketi ya Katyusha yanayosemekana kutengenezwa na jeshi la Iran. Katika shambulio hilo Raia mmoja wa Marekani aliuwawa pamoja na askari ka kadhaa wa jeshi la Iraq na Marekani kujeruhiwa.
Tarehe 29 december 2019, Jeshi la marekani likalipiza kisasi kwa kufanya mashambulishi iliyoyatambulisha kama "preventive defensive strikes" katika maeneo matano ndani ya Iraq na Iran na kuua wanamgambo wa kakundi hako ka kigaidi 50, na kujeruhi wengine 50.
Tarehe 31 december 2019, waandamaji wanaosadikiwa kuongozwa na mihemko ya kakindi hako wakavamia ubarozi wa marekani mjini Baghdad, wakachoma moto ukuta ulio nje ya jengo la ubarozi huo, Wakavunja geti la ubarozi na kuingia ndani huku milio kadhaa ya risasi ikirindima. Raia wote wa marekani waliokuwa ndani ya ubarozi huo waliondoshwa na hakuna hata mmoja aliyejeruhiwa.
Katika miaka ya hivi karibuni, uvamizi wa namna hii kwa ubarozi wa marekani ulitokea mwaka 2012 na kusababisha mauaji ya barozi wa marekani nchini Libya.
Ukifuatilia mtiririko huo wa matukio kila baada ya siku moja tokea tarehe 27, utaona kwamba kuna mabadiriko makubwa sana ya kimaamuzi ndani ya Iran na USA ambayo yanaweza pelekea matatizo makubwa sana hasa kwa Iran, kwa sababu, kwa mtazamo wangu wamerekani wamekuwa wavumilivu sana kwa hawa majamaa kwa muda uliopitiliza.
wairan wamemshika masharubu marekani kwa muda mrefu na sasa wamefikia hatua ya kumtia kidole, lakini nadhani THE RESPONSE HAS BEEN SIGNIFICANT.
Na hapo John Bolton hayupo.
Acha kuidharau mbunye wewe!Nimekupa like mwananguKuwa hajafa kwa ulevi wala kwa kugombania papuchi
Safi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wairan watulie. waomboleze msiba wa jamaa hata miaka mitano kwanza. alafu ndio wafanye review ya what happened.Nini maoni yako?
America will not leave Iraq today or tomorrow.Updates!
The Pentagon has started to move US troops and assets to the middle east secretly,and all US citizens also ordered to leave Iraq imediately!