Marekani yasema hakuna kusitisha vita. Nchi za kiarabu zasema hakuna kuhama. Wapalestina wasema bora kufa ndani ya majumba yao. Safari hii ni tofauti

Unashobo nenda basi kajiunge uwasaidie kuwaangamiza Hamas maana mwezi sasa kikundi kidogo tu kimewasumbua viizrael vina mbwembwe nyingi kama choko alie ona mboo ad leo wameshindwa nini kuitoa Hamas hapo Gaza kmmk.

Vijana wa mudi mbona mnamatusi na jazba! Au ndio mnavyofundishwa huko madrasa?
 
tactic ya Hawa waarabu waliokutana ni hatari , wanataka kuwaingiza wapelestina wote wa Gaza washike siraha bila kulazimishwa. unajua kivipi ni hivi:-
kuwaambia wa Gaza wasiondoke nje ya Gaza,kwa kuwa hadaa watapolwa ardhi yao , ni mbinu, wapestine wa Gaza wakibaki Gaza, Hamas watakuwa na urahisi wa kujichanganya na raia na kufanya mashambulizi wakiwa ndani ya maeneo ya raia walipo , na Israel Kama alivyosimamia msimamo anapiga popote adui alipo , Sasa itafikia kipindi raia hawatakuwa na namna zaidi ya kujilinda kwa kuokoa maisha yao ili wasiuawe na sio kupigania ardhi , watashika bunduki kwa dhumuni la kulinda uhai wao , na hapo watakuwa wamesha kuwa recruited Kama wanamgambo wa Hamas bila kujua . Kama itatokea hivyo maana yake Vita inaweza kuwa kubwa na kusambaa maeneo yote ya Palestine ., na uharibufu utakuwa NI mkubwa mno. Na hapo kutatokea tishio la waarabu kuingilia Kati .
 
Unashobo nenda basi kajiunge uwasaidie kuwaangamiza Hamas maana mwezi sasa kikundi kidogo tu kimewasumbua viizrael vina mbwembwe nyingi kama choko alie ona mboo ad leo wameshindwa nini kuitoa Hamas hapo Gaza kmmk.
walikuambia watatumia muda gan ?
 
Vijana wa mudi mbona mnamatusi na jazba! Au ndio mnavyofundishwa huko madrasa?
Kwa akili yako unadhani Waisral ni wagaliatia kama wewe angalia hapa wanachowafanyia wagalitia wenzako.
 

Attachments

  • 7145e3c0-0ee4-434a-9e32-626d8d52e548.mov
    6.2 MB
Kwa akili yako unadhani Waisral ni wagaliatia kama wewe angalia hapa wanachowafanyia wagalitia wenzako.
hahahah! Punguza jazba mkuu! Nani kasema mm ni mgalatia?
Halafu hamas ndio aliesababisha haya maafa ya raia wasio na hatia.
 
JWTZ ni moja ya kukosi kigumu cha ardhini yaani ni balaaa hao Hamas siku 2 hawapo

JWTZ imewahi kuzuia mapinduzi komoro na shelisheli ndani ya masaa 8 utatuambua nn
Unaongea kama mwendawazimu.
 
Sidhani kama haya unayosena yanaweza yakawa ni sahihi mkuu.

1. Raia kubaki ndani ya Gaza na kuungana na HAMAS itakuwa ni advantage kwa Israel, kivipi?

2. Israel hataingia Risk kubwa ya kuingiza kikosi cha ardhini kuwasaka HAMAS, bali atatumia ndege kuwapiga maadui. Kitu ambacho kitaleta ufanisi mkubwa zaidi.

3. Raia wakibaki hapo, uwezekano wa wao wenyewe kufa ni mkubwa saana sababu hakuna mahitaji muhimu ya kibinadamu, na kama yapo, basi hayawezi kukidhi demand.
 
Na watakufa kweli, ukiliangalia lile li waziri la ulinzi la Israili unaona kabisa lina undugu na shetani hakiyanani na linamaanisha linachoongea.

Wapale wapishe tu huko walipoambiwa watoke Israili means business
Hivi wewe usiambiwe toka kwenu waseme tu toka kwako utoke uende wapi?
 
Viongozi wa nchi za kiarabu wala hawajawahaa wapalestina.Wana uzoefu wa hali hiyo.Ni jambo jema kuwa safari hii wameweka wazi bila kificho.Wanasema yapo maazimio ya kuundwa taifa la wapalestina na hayajatekelezwa.Ukiwaambia watoke nani atakayeunda hilo taifa.Itakuwa ni kuunga mkono njama za Israel na kumaliza fikra za taifa hilo.
Wanalokosea ni kuwa wasiwawache humo wakauliwa bila kizuizi.Wana mengi ya kufanya ili vita visimame au Israel ifutike.
iwapo Israel imeshasema kwamba hata mateka wote waachiwe basi hakuna mahitaji muhimu yatakayoingia Gaza eti yatawafikia Hamas.Kwa tangazo hilo nani kati ya wakazi wa Gaza ataacha kupigana na Israel kwa silaha yoyote atakayo kuwa nayo.
Hata kuhama nako hakuna maana yoyote ni si ahadi ya kupata amani.Wako waliohama mwanzoni na kwenda kukaa nyumba moja watu 90 bila mahitaji muhimu.Na bado wameendelea kupigwa nyumba nzima nzima.Na hapo ndipo Israel imechanganya mambo.Kama kwamba wamejishinga wenyewe.
 
Hezbollah wapo tayari kuingia mzigoni.
Kipigo atakachopokea cha Hamas afadhali mara 100 kwa sababu wanajulikana nani anawatuma , sasa watapigwa mpka wakamhadithie bibi yao anayewatuma Iran
 
Raia wanyonge wa Palestine ndio wanalipia gharama kubwa za uhai wao kwenye huu mzozo.

Mungu awakumbuke wanyonge hawa....πŸ™πŸ™πŸ™
NAWASIKITIKIA SANA RAIA KWA SABABU HAMAS NADHANI WAMESHAJIFICHA KARIBU WOTE KNYE MAHANDAKI RAIA NDO WANALIPA REVENGE YOTE HII
 
HAMAS WASHAURIWE WAKIFUTE HICHO KIKUNDI AMA KITAWAFANYA MASIKINI SANA WAPALESTINA, LEO NYUMBA ZAIDI YA ELFU 20 ZA GHOROFA ZIMEVUNJWA LINI TENA WATAKUJA KURUDIA HALI YAO
 
Hutaki mazoea nani kakwambia kuna mazoea hapa? Hii ni Public forum mbwa wewe.

Siku nyingine kama hutaki ita mashoga wenzio muongee wenyewe ukija huku lazima wanaume tuta kuchallenge kisha uanze kulia lia hapa.
Shoga wewe na baba ako mzazi.
Wewe unalazimisha kutafuta bwana narudia tena sitaki Mashoga.
 
Hata mwanzo wakati hamas wanafanya ugaidi walishangilia na kuwasifu, sasa hivi kibao kimegeuka wanaanza kulialia na kutuma picha za kutisha mtandaoni ili kutafuta sympathy
Na ndiyo upuuzi wao ulipo. Na ndiyo maana hao wanaolialia Sasa hivi awakulaani tukio la Hamas Bali waliwasifu Kama mashujaa. Tabia ya Israel ni kulipiza kisasi na lazima walipize kisasi. Kwahiyo msitegemee upige Israel wasilipize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…