tactic ya Hawa waarabu waliokutana ni hatari , wanataka kuwaingiza wapelestina wote wa Gaza washike siraha bila kulazimishwa. unajua kivipi ni hivi:-
kuwaambia wa Gaza wasiondoke nje ya Gaza,kwa kuwa hadaa watapolwa ardhi yao , ni mbinu, wapestine wa Gaza wakibaki Gaza, Hamas watakuwa na urahisi wa kujichanganya na raia na kufanya mashambulizi wakiwa ndani ya maeneo ya raia walipo , na Israel Kama alivyosimamia msimamo anapiga popote adui alipo , Sasa itafikia kipindi raia hawatakuwa na namna zaidi ya kujilinda kwa kuokoa maisha yao ili wasiuawe na sio kupigania ardhi , watashika bunduki kwa dhumuni la kulinda uhai wao , na hapo watakuwa wamesha kuwa recruited Kama wanamgambo wa Hamas bila kujua . Kama itatokea hivyo maana yake Vita inaweza kuwa kubwa na kusambaa maeneo yote ya Palestine ., na uharibufu utakuwa NI mkubwa mno. Na hapo kutatokea tishio la waarabu kuingilia Kati .