Marekani yasema hakuna kusitisha vita. Nchi za kiarabu zasema hakuna kuhama. Wapalestina wasema bora kufa ndani ya majumba yao. Safari hii ni tofauti

Hata mwanzo wakati hamas wanafanya ugaidi walishangilia na kuwasifu, sasa hivi kibao kimegeuka wanaanza kulialia na kutuma picha za kutisha mtandaoni ili kutafuta sympathy
Hivi vita sio waislam na wakristo au na wayahudi , ni vita vya kugombania ardhi kati ya Israel na Palestina tu, israel alichokozwa zamani akawapiga wapalestina akachukua na ardhi yao , 2006 wapalestina wakadai kwa fujo Israel akawachapa akawanyima na haki nyingi sana , tarehe 7 october kachokozwa kawateketeza kiuchumi na kisaikolojia mno
 
Hamas walivyo wajinga , wangejua Israel kila siku anatafuta sababu ya kuichukua jerusalem yote pekee yake wangeacha kabisa ugomvi wa silaha , Yasser arrafat aliweza kidogo kushawishi dunia kuwa wao ni watu wema na wanaotaka haki kwa suluhu
 
Mtu Muhimu sana ni King wa Jordan kakataa Palestina wasiondoke pamoja na Misri, Saudia haya mataifa Marekani na Israel wanayaogopa sana.
Mkuu jordan na egypt ni kati ya mataifa yanayoongoza kupokea misaada toka marekani, mataifa ambayo mmarekani anayaogopa yanajulikana na hayo uliyoyataja wala hayamo, msilazimishe vitu ambavyo havipo
 
Nilikuwaga najua una akili kumbe umejaza mavi kichwani.

Sasa US wa kuwaogopa hao vidudu Saudi,Misri na Jordan?

Wakati mwingine jitahidi kutumia akili kufikiri.
Kama hizo akili Hana unahisi anatumia nini kufikiri ? Bila shaka makalio.
 
Unashobo nenda basi kajiunge uwasaidie kuwaangamiza Hamas maana mwezi sasa kikundi kidogo tu kimewasumbua viizrael vina mbwembwe nyingi kama choko alie ona mboo ad leo wameshindwa nini kuitoa Hamas hapo Gaza kmmk.
Huwa najiuliza tu kama Israel haikuwa nacsupport ya marekani hali ingekuwaje
 
Mkuu jordan na egypt ni kati ya mataifa yanayoongoza kupokea misaada toka marekani, mataifa ambayo mmarekani anayaogopa yanajulikana na hayo uliyoyataja wala hayamo, msilazimishe vitu ambavyo havipo
Ufahamu chochote kuhusu Mashariki ya Kati wala ufahamu kwa nini Misri anapewa pesa nyingi na US na wamewekeana mkataba na Israel wa kutopigana na hujui kuhusu King Hassan na Israel, tafuta muda jisomee au ulza usikae JF kubisha na kuleta ushabiki mandazi.
 
Hamas walivyo wajinga , wangejua Israel kila siku anatafuta sababu ya kuichukua jerusalem yote pekee yake wangeacha kabisa ugomvi wa silaha , Yasser arrafat aliweza kidogo kushawishi dunia kuwa wao ni watu wema na wanaotaka haki kwa suluhu
Hahahah unaongea fikra zako naona yaani wewe upo Kimara una akili kuliko Wapelestina 😂😂 dunia ina vituko hii.
 
Na ndiyo upuuzi wao ulipo. Na ndiyo maana hao wanaolialia Sasa hivi awakulaani tukio la Hamas Bali waliwasifu Kama mashujaa. Tabia ya Israel ni kulipiza kisasi na lazima walipize kisasi. Kwahiyo msitegemee upige Israel wasilipize.
Wapalestina vichwa ngumu ila myahudi nae anaenda nae Sawa!
 
Mimi nataka America aendele hivyo hivyo na huo msimamo sababu Israel hawezi fanya lolote zaidi ya kuvunja majumba na hao watoto anao uwa na wanawake na watu wasi na hatia wataenda peponi ni bora pepo kuliko maisha ya haya dunia

Badaye huyo huyo America atawabembeleza vibaraka wake wawambie Hamasi wasimamishe vita

Atawalipa mabillion tulieni tu, sisi tunamfahamu vizuri America. na shoga wake Israel , wamba kwenye vikaa na media tu, chini chini huko wataomba yaishe tu.

Na hichi kipigo alicho chezea jana.


Vijana wa Hamasi wameingia kambi ya jeshi jana na kuwauwa wanajeshi, tena wengi sana zaidi ya 100 wanajiuliza vipi Hamasi anapenya na tumeweka majeshi mpakani 😂
 
Hiyo mikwala tu hizo spy drone zilikuwa wapi wakati Hamas wanavunja fens na kuingia Israel na kufanya ile picha na kuondoka na maafisa wakubwa wa jeshi.
Sasa unataka kuifananisha intelligence na nguvu ya israel na hii nchi ya ovyo
 
Na bado hawakufanya shukrani.Allah akawalani..
Allah kasema Kuna Mungu ambaye aliwaandalia hiyo nchi waisrael Koran 5:21. Enyi waisrael! Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni.
 
wafute kabisa ile gaza.wala wasirudi nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…