Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Duuh vitu vingine inabidi tu ucheke badala ya kusikitikaMambo ya movie na uhalisia ni tofauti sana.
Nadhubutu kusema JWTZ ingechukua siku 3 tu kuimaliza Hamas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh vitu vingine inabidi tu ucheke badala ya kusikitikaMambo ya movie na uhalisia ni tofauti sana.
Nadhubutu kusema JWTZ ingechukua siku 3 tu kuimaliza Hamas
Hivi vita sio waislam na wakristo au na wayahudi , ni vita vya kugombania ardhi kati ya Israel na Palestina tu, israel alichokozwa zamani akawapiga wapalestina akachukua na ardhi yao , 2006 wapalestina wakadai kwa fujo Israel akawachapa akawanyima na haki nyingi sana , tarehe 7 october kachokozwa kawateketeza kiuchumi na kisaikolojia mnoHata mwanzo wakati hamas wanafanya ugaidi walishangilia na kuwasifu, sasa hivi kibao kimegeuka wanaanza kulialia na kutuma picha za kutisha mtandaoni ili kutafuta sympathy
Mkuu jordan na egypt ni kati ya mataifa yanayoongoza kupokea misaada toka marekani, mataifa ambayo mmarekani anayaogopa yanajulikana na hayo uliyoyataja wala hayamo, msilazimishe vitu ambavyo havipoMtu Muhimu sana ni King wa Jordan kakataa Palestina wasiondoke pamoja na Misri, Saudia haya mataifa Marekani na Israel wanayaogopa sana.
Allah aliesema manii zinatoka kwenye UTI wa mgongo na jua linazama kwenye tope 😂😂😂Wanasahau Allah ndiye mwisho wa akili zote.
Kama hizo akili Hana unahisi anatumia nini kufikiri ? Bila shaka makalio.Nilikuwaga najua una akili kumbe umejaza mavi kichwani.
Sasa US wa kuwaogopa hao vidudu Saudi,Misri na Jordan?
Wakati mwingine jitahidi kutumia akili kufikiri.
Huwa najiuliza tu kama Israel haikuwa nacsupport ya marekani hali ingekuwajeUnashobo nenda basi kajiunge uwasaidie kuwaangamiza Hamas maana mwezi sasa kikundi kidogo tu kimewasumbua viizrael vina mbwembwe nyingi kama choko alie ona mboo ad leo wameshindwa nini kuitoa Hamas hapo Gaza kmmk.
wana support ya Marekani kwa sababu wao ni sehemu ya wafanya maamuzi marekaniHuwa najiuliza tu kama Israel haikuwa nacsupport ya marekani hali ingekuwaje
Ufahamu chochote kuhusu Mashariki ya Kati wala ufahamu kwa nini Misri anapewa pesa nyingi na US na wamewekeana mkataba na Israel wa kutopigana na hujui kuhusu King Hassan na Israel, tafuta muda jisomee au ulza usikae JF kubisha na kuleta ushabiki mandazi.Mkuu jordan na egypt ni kati ya mataifa yanayoongoza kupokea misaada toka marekani, mataifa ambayo mmarekani anayaogopa yanajulikana na hayo uliyoyataja wala hayamo, msilazimishe vitu ambavyo havipo
Hahahah unaongea fikra zako naona yaani wewe upo Kimara una akili kuliko Wapelestina 😂😂 dunia ina vituko hii.Hamas walivyo wajinga , wangejua Israel kila siku anatafuta sababu ya kuichukua jerusalem yote pekee yake wangeacha kabisa ugomvi wa silaha , Yasser arrafat aliweza kidogo kushawishi dunia kuwa wao ni watu wema na wanaotaka haki kwa suluhu
Wapalestina vichwa ngumu ila myahudi nae anaenda nae Sawa!Na ndiyo upuuzi wao ulipo. Na ndiyo maana hao wanaolialia Sasa hivi awakulaani tukio la Hamas Bali waliwasifu Kama mashujaa. Tabia ya Israel ni kulipiza kisasi na lazima walipize kisasi. Kwahiyo msitegemee upige Israel wasilipize.
Punguza jazba mkuu! Take it easy 😁😁Mudi ni jina la hawala wa mama yako.
Kabisa mkuuWapalestina vichwa ngumu ila myahudi nae anaenda nae Sawa!
Sasa unataka kuifananisha intelligence na nguvu ya israel na hii nchi ya ovyoHiyo mikwala tu hizo spy drone zilikuwa wapi wakati Hamas wanavunja fens na kuingia Israel na kufanya ile picha na kuondoka na maafisa wakubwa wa jeshi.
Allah kasema Kuna Mungu ambaye aliwaandalia hiyo nchi waisrael Koran 5:21. Enyi waisrael! Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni.Na bado hawakufanya shukrani.Allah akawalani..
wafute kabisa ile gaza.wala wasirudi nyuma.Mpaka jana (tarehe 23 Oktoba) raisi Joe Biden wa Marekani ameendelea na msimamo wake kwamba hataki mashambulizi ya Israel yasimamishwe huku madhambulizi hayo yakizidi kuongezeka na kuzidi kuuwa watu.
======
'Then we can talk': Biden says no ceasefire in Israel-Hamas war until hostages released
Kwa upande wao nchi za kiarabu kwa sauti moja zimesema hakuna kuhama kwa wapalestina kutoka ardhi zao.Wamekumbusha kuwa tayari kuna maazimio ya kuundwa kwa taifa la wapalestina.Hilo taifa litaundwa na nani na wapi kama wapalestina watahamishwa kutoka ardhi zao.
Arab states say Palestinians must stay on their land as war escalates
Hayo yakitokea wapalestina waliowahi kutiii agizo la kuhama maeneo ya kaskazini ya Gaza ili kwenda kusini wameamua kurudi walikotoka wakitoa matamko kuwa ni bora kufa kuliko dhiki wanazozipata huko walikokwenda.Mashambulizi yamewafuata huko huko na wamejikuta wameishiwa na mahitaji yote.Kwa hali hiyo wameona warudi walikotoka ili kufukua visima vya maji japo yenye chumvi wanavyovikumbuka .
Upande wa jeshi la Israel kumeonekana kuwepo kwa msuguano mkubwa baina ya waziri mkuu,Benjamin Netanyahu na waziri wa ulinzi uliopelekea hapo jana kujitokeza kwa pamoja kukanusha habari hizo.Waziri wa ulinzi,Gallant amehimiza jeshi liingie Gaza kwa haraka kwani vijana wameanza kuchoka kusubiri na hamasa zao zimeanza kupomoroka.Waziri mkuu kwa mbinu zake za kivita anasema kuingia Gaza kutafungua lango jengine la mapigano upande wa kaskazini kutoka kwa Hizbulah.
Israel’s military push for Gaza invasion in apparent rift with Netanyahu