Marekani yasema hakuna kusitisha vita. Nchi za kiarabu zasema hakuna kuhama. Wapalestina wasema bora kufa ndani ya majumba yao. Safari hii ni tofauti

Mtu Muhimu sana ni King wa Jordan kakataa Palestina wasiondoke pamoja na Misri, Saudia haya mataifa Marekani na Israel wanayaogopa sana.
Teh teh teh eti Marekani anayaogopa sana,tubonyeze ngapi ili kuendelea kupata hivi vichekesho?
 
Ufahamu chochote kuhusu Mashariki ya Kati wala ufahamu kwa nini Misri anapewa pesa nyingi na US na wamewekeana mkataba na Israel wa kutopigana na hujui kuhusu King Hassan na Israel, tafuta muda jisomee au ulza usikae JF kubisha na kuleta ushabiki mandazi.
Hadi nimeandika hivyo ujue nayafahamu vizuri hayo yote ila yanahusiana nini na marekani kuyaogopa hayo mataifa uliyoyataja, narudia marekani mataifa anayoyaogopa yanajulikana, na hayo uliyoyataja hakuna hata moja hapo msilazimishe mambo ambayo hayapo
 
Ufahamu chochote, au umri wako mdogo.
 
Teh teh teh eti Marekani anayaogopa sana,tubonyeze ngapi ili kuendelea kupata hivi vichekesho?
Ungetulia upate darsa umri wenu mdogo mnaleta ushabiki mandazi.

Israel has called on its citizens to immediately leave Egypt and Jordan, and to try and avoid travelling to other regional countries, as tensions flare over its war in Gaza.

“Israel’s National Security Council raises its travel warnings for Egypt (including Sinai) and Jordan to level 4 (high threat): recommendation not to travel to these countries and for those staying there to leave … as soon as possible,” the country’s National Security Council said in a statement on Saturday.

It also raised the threat level for Morocco to a “3” and advised Israelis to avoid non-essential travel.
 
Ufahamu chochote, au umri wako mdogo.
Yani mkiishiwa hoja huwa mnakimbilia kuleta masuala ya umri sasa umri unahusiana vipi na maarifa ya mtu, wakati kuna vyanzo kibao tu vimeandika mambo ya siasa na historia za mataifa mbalimbali ni suala la kujisomea tu, hapa hatuongelei ushabiki wala hayo mambo mengine mnayofikiria ninyi tunaongelea uhalisia
 
Hadi nimeandika hivyo ujue nayafahamu vizuri hayo yote ila yanahusiana nini na marekani kuyaogopa hayo mataifa uliyoyataja, narudia marekani mataifa anayoyaogopa yanajulikana, na hayo uliyoyataja hakuna hata moja hapo msilazimishe mambo ambayo hayapo
Israel issued a warning against travel to Egypt, Jordan and Morocco on Saturday, citing fears that Israeli travelers will be targets of those angry at the ongoing war sparked by October 7’s deadly Hamas onslaught on Israel.

The announcement from the National Security Council in the Prime Minister’s Office and the Foreign Ministry said it was raising the alert for Egypt (including the Sinai Peninsula) and Jordan to a 4, and calling on all Israelis in the country to leave as soon as possible.
 
Ungetulia upate darsa umri wenu mdogo mnaleta ushabiki mandazi.

Israel has called on its citizens to immediately leave Egypt and Jordan, and to try and avoid travelling to other regional countries, as tensions flare over its war in Gaza.

“Israel’s National Security Council raises its travel warnings for Egypt (including Sinai) and Jordan to level 4 (high threat): recommendation not to travel to these countries and for those staying there to leave … as soon as possible,” the country’s National Security Council said in a statement on Saturday.

It also raised the threat level for Morocco to a “3” and advised Israelis to avoid non-essential travel.
Sasa hapa hoja yako iko wapi?
Ku alert wananchi wako inahusiana nini na kuogopa hiyo nchi?

US mara kibao tu anatoa alert kuhsu nchi fulani fulani hata hapa Tz huwa anatoa travel alert kwahyo ndio anatuogopa?

Ukiambiwa ukweli kwamba unatumia matako kufikiri unalalamika.
 
Israel issued a warning against travel to Egypt, Jordan and Morocco on Saturday, citing fears that Israeli travelers will be targets of those angry at the ongoing war sparked by October 7’s deadly Hamas onslaught on Israel.

The announcement from the National Security Council in the Prime Minister’s Office and the Foreign Ministry said it was raising the alert for Egypt (including the Sinai Peninsula) and Jordan to a 4, and calling on all Israelis in the country to leave as soon as possible.
Mkuu sijaona sehemu yoyote inayosema marekani anayaogopa hayo mataifa uliyoyataja hapo
 
Nakupa home work…

The U.S. gives Egypt $1.5 billion a year in aid.​

Hii pesq wanawapa kwa sababu gani?
 
Ungetulia upate darsa umri wenu mdogo mnaleta ushabiki mandazi.

Israel has called on its citizens to immediately leave Egypt and Jordan, and to try and avoid travelling to other regional countries, as tensions flare over its war in Gaza.

“Israel’s National Security Council raises its travel warnings for Egypt (including Sinai) and Jordan to level 4 (high threat): recommendation not to travel to these countries and for those staying there to leave … as soon as possible,” the country’s National Security Council said in a statement on Saturday.

It also raised the threat level for Morocco to a “3” and advised Israelis to avoid non-essential travel.
mayahudi hawana raha tena.Wanakimbizana ndani ya nchi na nje ya nchi.Hata bado havijaanza rasmi.
 
Back
Top Bottom