Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Marekani imetoa taarifa hivi punde kuwa Iran imepanga kushambulia Israel hii Leo masaa machache yajayo. Kupitia kwa intelligence mbalimbali maofisa wa marekani wanaeleza kuwa shambulio hilo litafanyika masaa 12 yajayo.

Israel imesema imeshajiandaa kwa shambulio hilo na Wananchi wametelekezwa kukaa karibu na mahandaki.

Inaelezea kuwa waziri mkuu bwana Netanyahu anajaribu kutafuta mawasiliano ya Rais Putin wa Russia katika juhudi za kuisaidia kuzuia Iran asiishambulie Israel.

Chanzo: Yediot News Tel Aviv.

 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sawa soma hiyooo
View attachment 3112349
Kwamba Israel wanamuogopa Putin. Kwamba Netanyahu amempigia simu Puton ambembeleze? Kwamba Putin anataka aishambulie Israel kwa kushirikiana na Iran? Yaani mtu ambaye ana boriti jichoni mwake(Ukraine) aje kupambana na Israel?

We Kafiri mwenzangu wa Minjinjo Kilwa Masoko hata kama ni mahaba na waarabu wenzetu ila naona akili yako inashida.

Pole.
 
Iran hamna lolote.

Watarusha vikombora vyao kwenye mchanga halafu watadai wamejibu mapigo.

Ni lazima wafanye kitu, hata kama ni cha maigizo tu.

Israel imewadhalilisha sana. Kupita kiasi.
Sasa tusubiri tuone itakuwaje
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Unacheka mkuu? Mwarabu mwenzangu wa Kipatimo Kilwa Masoko atakuwa amechanganyikiwa sio bure. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yaan nimebaki kushangaa mimi bwana yule alisema ile OP ya siku kadhaa bwana sasa hivi ni zaidi ya miaka, mzee putin is overrated hio p ni herufi ndogo ina maana yake
 
Simu unayopiga kwa sasa haipatakani ndugu mteja fanya mipango uende hata kwa miguu kumtafuta mwamba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…