Pale Mashariki ya kati kuna nchi zina share interegensia na Marekani na Israel, nchi hizo ni Misri, Jordan, Saudia Arabia nk
Ni kawaida kabla ya kushambulia nchi husika inayokusudia kufanya hivo huwa ina share taarifa na baadhi ya nchi mfano lile shambulia la kwanza la Iran kwenda Israel - Iran iliitarifu moja kwa moja Marekani kuwa leo tunakusudio la kuishambulia Israel.
Kuhusu kujua kama Iran itajibu mapigo US alikuwa anajua tongu siku Israel imemuua Ismail Haniyeh ila haikujua specific itakuwa lini, Iran ilisema this time haitoijulisha US ila kuna vyanzo vya habari vinadai kuwa Iran iliwajulisha Urusi na Marekani labda ndiyo maana Netanyahu aliamua kujaribu kumtafuta Vladimir Putin ajaribu kuongea na Ayatollah Ally Khomeini asiwashambulie.