imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Sikudhani kama Ayatola atashambulia.Kuna post yako huku si vyema kuisahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikudhani kama Ayatola atashambulia.Kuna post yako huku si vyema kuisahau
Inaelezea kuwa waziri mkuu bwana Netanyahu anajaribu kutafuta mawasiliano ya Rais Putin wa Russia katika juhudi za kuisaidia kuzuia IranMarekani imetoa taarifa hivi punde kuwa Iran imepanga kushambulia Israel hii Leo masaa machache yajayo. Kupitia kwa intelligence mbalimbali maofisa wa marekani wanaeleza kuwa shambulio hilo litafanyika masaa 12 yajayo.
Israel imesema imeshajiandaa kwa shambulio hilo na Wananchi wametelekezwa kukaa karibu na mahandaki.
Inaelezea kuwa waziri mkuu bwana Netanyahu anajaribu kutafuta mawasiliano ya Rais Putin wa Russia katika juhudi za kuisaidia kuzuia Iran asiishambulie Israel.
Chanzo: Yediot News Tel Aviv.
Tayari hukoUnaenda kuchukua Fake News X halafu unakuja kuzifungulia Uzi😁
Imepata wazimu, hazijawahi kuona mvua ya missiles👇🏾Nasikia irone dome sijui arrows 3 na David sling zote zimebuma Leo huko Israeli . Kumbe jamaa wanaonewa dagaa tu
Sikudhani kama Ayatola atashambulia.
Story za swala ya saa 1 hizi.Kwani Russia aliwezaje kumsaidia Syria kudungua makombora ya Israel!??
Hivi unajua hata hizi vita zinaendeshwaje we jamaa!?
Putin kupigiwa simu ni kwaajili ya kuongea na Iran amtulize Iran.
Kwasababu Iran na Russia ni marafiki.
Na kama kushambulia hujaambiwa Russia atamsaidia Iran laa hasha.
IRan atafanya shambulizi mwenyewe pasi na usaidizi.
Ila mtu wa kuzungumza naye na kumtuliza ni Russia.
Upo hapo kijana!?
Dah!Utasikia kumejeruhiwa kuku
Huna ulijualo,wagalatia mkikosa hoja mkimbilia udini.Story za swala ya saa 1 hizi.
Tayari huko kishaw
Inaelezea kuwa waziri mkuu bwana Netanyahu anajaribu kutafuta mawasiliano ya Rais Putin wa Russia katika juhudi za kuisaidia kuzuia
Hezbollah watakojoa damu mwaka huu
Diplomacy is for the weak wacha wazipache,imekuwa hivyo na itaendelea kuwa hivyo. Huwezi kunigotiate na mtu anayekudharau. Let them guns talk🤝Hizi vita haijalishi atakaye shinda nani,
pande zote watapata hasara!
Wangekaa wayamalize tu kama majirani...wahanga ni wamama na watoto!
VERY SAD.