Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin

Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin

Nasubiri zile kauliza Israel anauwa wanawake na watoto wasio na hatia
 
Marekani imetoa taarifa hivi punde kuwa Iran imepanga kushambulia Israel hii Leo masaa machache yajayo. Kupitia kwa intelligence mbalimbali maofisa wa marekani wanaeleza kuwa shambulio hilo litafanyika masaa 12 yajayo.

Israel imesema imeshajiandaa kwa shambulio hilo na Wananchi wametelekezwa kukaa karibu na mahandaki.

Inaelezea kuwa waziri mkuu bwana Netanyahu anajaribu kutafuta mawasiliano ya Rais Putin wa Russia katika juhudi za kuisaidia kuzuia Iran asiishambulie Israel.

Chanzo: Yediot News Tel Aviv.

Acha waanze afu wakifuatwa sasa tupate kivimba tena
All the best 🇮🇱🇮🇱
 
Muda wa bunker buster kuingia mzigoni umewadia.

Mito ya pombe na mabikra 72 waongezwe huko jehanamu
 
Aisee niko hapa Chekereni nimeziona kweli sema kamera yangu haipo vizuri sana

1000012771.jpg
 
Zimesharushwa, ngoja wafanye accessment ya madhara watoe taarifa ya next movie. Inawezekana Tehran ikapigwa pale panapouma sana
 
End
Nasubiri zile kauliza Israel anauwa wanawake na watoto wasio na hatia
Endelea kupigwa propaganda na mashog,a Israel wakati wanaume wanatenda tu.

Hapo Gaza anahangaika na wanamgambo ambao hawana hata kifaru kimoja wala ndege vita lakini moto wanaowashiwa ni balaa hadi anashindwa ashike lipi.
 
Breaking | Hundreds of Iranian rockets are striking Israeli occupation settlements and military sites across Israel.
 
Back
Top Bottom