Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umesema modetor wabaguzi sana wanadhani watageka wayaudi kwa kuzifubaza nyuzi za kishujaaa😆😆😆.Moderqtor, kwanini nyuzi zizowasifu mazayuni unaziwacha ziwe headline. Zinazowasifu wapalestina na Iran unazipeleka nyuzi za zamani ili ziwe back pages, zisionekane?
Au na wewe katika wajinga ndiyo waliwso mliosminishwa kuwa mazayuni ni wajomba zake Mungu wenu?
Moderqtor, kwanini nyuzi zizowasifu mazayuni unaziwacha ziwe headline. Zinazowasifu wapalestina na Iran unazipeleka nyuzi za zamani ili ziwe back pages, zisionekane?
Au na wewe katika wajinga ndiyo waliwso mliosminishwa kuwa mazayuni ni wajomba zake Mungu wenu?
Inakuaje Marekani ajue mapema? Au Huwa wanapeana taarifa Ili wajiandae na kuwazubaisha Wananchi Kisiasa?Marekani imetoa taarifa hivi punde kuwa Iran imepanga kushambulia Israel hii Leo masaa machache yajayo. Kupitia kwa intelligence mbalimbali maofisa wa marekani wanaeleza kuwa shambulio hilo litafanyika masaa 12 yajayo.
Israel imesema imeshajiandaa kwa shambulio hilo na Wananchi wametelekezwa kukaa karibu na mahandaki.
Inaelezea kuwa waziri mkuu bwana Netanyahu anajaribu kutafuta mawasiliano ya Rais Putin wa Russia katika juhudi za kuisaidia kuzuia Iran asiishambulie Israel.
Chanzo: Yediot News Tel Aviv.
Mataifa makubwa yanaheshimiana kabla ya kuanza kuipiga Israel Iran alimpa taarifa wa kwanza Urusi na wapili marekani.ni kawaidaInakuaje Marekani ajue mapema? Au Huwa wanapeana taarifa Ili wajiandae na kuwazubaisha Wananchi Kisiasa?
Upuuzi mtupu
😂😂😂 Israel hawezi?USA iingie kumchapa Ayatolah.
Israeli ikichangiwa na Magaidi lazima isaidiwe.😂😂😂 Israel hawezi?
Israel ni kiburi.amewaua viongozi wa Iran, Hamas na Hezbollah. Haipaswi kuonewa huruma anatakiwa kutandikwa mpaka ashike adabu. Kwanza naona Iran amekua mpole sana achilia mbali Mauaji ya raia palestina na Lebanon zaidi ya elfu 20 watoto na wanawake.Israeli ikichangiwa na Magaidi lazima isaidiwe.
Sasa hapo wanacheza mchezo wa Kisiasa kuwapooza Wananchi wao wapuuzi ikiwa ni njia ya kupunguza shinikizo Kwa Wanasiasa.Mataifa makubwa yanaheshimiana kabla ya kuanza kuipiga Israel Iran alimpa taarifa wa kwanza Urusi na wapili marekani.ni kawaida
Inatakiwa uwe muelewa kuifahamu Iran. Iran inaongozwa na Imani ( dini) kuuwa raia watoto na wanawake siyo kipaumbele kwa sababu ni innocent. Kwasababu hayo mabomu yote unayoyaona wangeweza kuyaelekeza kwa raia badala ya Kambi za kijeshi na sehemu muhimu . Israel anaua watoto wanawake na raia. Hii ndio tofauti kubwa kati ya Israel na Iran. Imeripoti channel 13 Hebraw NewsSasa hapo wanacheza mchezo wa Kisiasa kuwapooza Wananchi wao wapuuzi ikiwa ni njia ya kupunguza shinikizo Kwa Wanasiasa.
Ndio maana sijawahi ona madhara kwenye mashambulizi ya maigizo kama haya.
Israel yenyewe inafanya ambush za Nguvu ndio maana wanaua maelfu ya watu na Viongozi wa Hamas na Iran nk maana hawawapi mda wa kujiandaa.
Huu upumbavu anaifanya Iran hauna maana yeyote stupid zao.
DuhWe upo Kilwa Masoko umejuaje hayo?
Inaonekana marekani huwa anataarifa zote muhimu kwani alishatoa angalizo mapema na kweli Iran imesharusha Missile zaidi ya 200 ndani ya Israel na kuleta madhara makubwa.Marekani imetoa taarifa hivi punde kuwa Iran imepanga kushambulia Israel hii Leo masaa machache yajayo. Kupitia kwa intelligence mbalimbali maofisa wa marekani wanaeleza kuwa shambulio hilo litafanyika masaa 12 yajayo.
Israel imesema imeshajiandaa kwa shambulio hilo na Wananchi wametelekezwa kukaa karibu na mahandaki.
Inaelezea kuwa waziri mkuu bwana Netanyahu anajaribu kutafuta mawasiliano ya Rais Putin wa Russia katika juhudi za kuisaidia kuzuia Iran asiishambulie Israel.
Chanzo: Yediot News Tel Aviv.
Iran wame beep ngoja Israel wawapigie.Iran imetangaza rasmi kuwa ipo vitani na Israel. Nawaletea official report soon.
Ndio, Maana Syria huko Israel ilishindwa mtoa Assad sababu ya Putin. Wangejaribu tu pengine leo Israel ingekua majivu.Kwamba Israel wanamuogopa Putin.
Unajua maana ya geopolitics? Iran ikiangushwa na Israel itahatarisha maslahi ya Urusi mashariki ya kati. Ndio maana Syria ni magofu ila Putin hajaiachia mpaka leo.leo Mrusi amsaidie Muiran?
Kwa ajili ya nini hasa?
Iran kabla ya Kupiga amemtaarifu Usa na Urusi, Juzi Waziri husika wa Urusi alikua Iran wamepanga mipango yao wametoa na Taarifa wanapiga.Inakuaje Marekani ajue mapema? Au Huwa wanapeana taarifa Ili wajiandae na kuwazubaisha Wananchi Kisiasa?
Upuuzi mtupu
My Lord, I wonderIran hamna lolote.
Watarusha vikombora vyao kwenye mchanga halafu watadai wamejibu mapigo.
Ni lazima wafanye kitu, hata kama ni cha maigizo tu.
Israel imewadhalilisha sana. Kupita kiasi.
Watu wanapanik na hata israel ama iran sio ya kwaoUnaenda kuchukua Fake News X halafu unakuja kuzifungulia Uzi😁