Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 11,993
- 9,212
Anamtafuta ili amjulishe moto atakao upata Iran atakapojaribu kuishambulia Israel.Hakuna Leo lazima mtu awashiwe moto. Halafu anamtafuta Putin wa Nini sahizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamtafuta ili amjulishe moto atakao upata Iran atakapojaribu kuishambulia Israel.Hakuna Leo lazima mtu awashiwe moto. Halafu anamtafuta Putin wa Nini sahizi?
Netanyau amtapufute pimbi takataka Putin ambaye anahenyeshwa na myahudi dogo Zele?Hakuna Leo lazima mtu awashiwe moto. Halafu anamtafuta Putin wa Nini sahizi?
😂😂😂😂 umegeuza . Israel akitaka kutumia ujumbe anawatumia marekani na ufaransa siyo UrusiAnamtafuta ili amjulishe moto atakao upata Iran atakapojaribu kuishambulia Israel.
Hii habari ni kweli kabisaJamaa anatumia nguvu zote ili tu ajifariji na apate furaha
Nunua pop con ushuhudie ufundi na utaalumu wa vifaa tangu dunia hii ifanye mapinduzi ya silaa hujapata kuuona!Iran asubiri kuona Nchi inageuka kua magofu alishaambiwa akibonyeza nyukilia kuelekea Israel na yeye anapokea mvua ya nyuklia
Soma hapo juu source ni kutoka israel.kama umeanza kudharau Israeli na taasisi zake za habari tuambie mkuu😂😂Netanyau amtapufute pimbi takataka Putin ambaye anahenyeshwa na myahudi dogo Zele?
Hivyo vihabari vya kubumba huwa mnalishwa watu wa sampuli zako.
Iran shapakwa mafuta ajiandae
Hii habari nilidhani ni feki kumbe ni kweli bwana.Netanyau amtapufute pimbi takataka Putin ambaye anahenyeshwa na myahudi dogo Zele?
Hivyo vihabari vya kubumba huwa mnalishwa watu wa sampuli zako.
Iran shapakwa mafuta ajiandae
Wamezoea kuleta habari za uongo hao achana nao. WWIII is around the cornerHii habari nilidhani ni feki kumbe ni kweli bwana.
Akizidiwa asibinye kitufe alishaonywa shauri yakeNunua pop con ushuhudie ufundi na utaalumu wa vifaa tangu dunia hii ifanye mapinduzi ya silaa hujapata kuuona!
Umeonyesha mlengo wako. kumbe ushabiki wa dini.Wewe hapo kwako ulijuaje Nasrallah kauliwa na magaidi ya IDF?
Israel & US to launch preemptive attack……Marekani imetoa taarifa hivi punde kuwa Iran imepanga kushambulia Israel hii Leo masaa machache yajayo. Kupitia kwa intelligence mbalimbali maofisa wa marekani wanaeleza kuwa shambulio hilo litafanyika masaa 12 yajayo.
Israel imesema imeshajiandaa kwa shambulio hilo na Wananchi wametelekezwa kukaa karibu na mahandaki.
Inaelezea kuwa waziri mkuu bwana Netanyahu anajaribu kutafuta mawasiliano ya Rais Putin wa Russia katika juhudi za kuisaidia kuzuia Iran asiishambulie Israel.
Chanzo : Yediot News Tel Aviv
View attachment 3112344
Sasa mkuu kujua kiongozi wa Hezbollah kauwawa ni ushabiki wa dini? Wewe hukuisikia hii taarifa?Umeonyesha mlengo wako. kumbe ushabiki wa dini.
Preemptive attack kwa nani?Israel & US to launch preemptive attack……
Mwisho wa kunukuu
Anasakwa Dubwe hapo si unamjua Dubwe?Wamezoea kuleta habari za uongo hao achana nao. WWIII is around the corner
Kamanda sio bure Kuna Vifaili vinatembezwa hapo.Netanyahu na Baiden ni marafiki
Netanyahu na Putin ni marafiki
Baiden na Putin hawaivi
Je Netanyahu na Putin wakikaa hawazungumzii US!?