Marekani imetoa taarifa hivi punde kuwa Iran imepanga kushambulia Israel hii Leo masaa machache yajayo. Kupitia kwa intelligence mbalimbali maofisa wa marekani wanaeleza kuwa shambulio hilo litafanyika masaa 12 yajayo.
Israel imesema imeshajiandaa kwa shambulio hilo na Wananchi wametelekezwa kukaa karibu na mahandaki.
Inaelezea kuwa waziri mkuu bwana Netanyahu anajaribu kutafuta mawasiliano ya Rais Putin wa Russia katika juhudi za kuisaidia kuzuia Iran asiishambulie Israel.
Chanzo : Yediot News Tel Aviv
View attachment 3112344