Iran ameingia US anaingia.Israel ni kiburi.amewaua viongozi wa Iran, Hamas na Hezbollah. Haipaswi kuonewa huruma anatakiwa kutandikwa mpaka ashike adabu. Kwanza naona Iran amekua mpole sana achilia mbali Mauaji ya raia palestina na Lebanon zaidi ya elfu 20 watoto na wanawake.
US aingie mara ngapi? Mabomu yote yanayoua watoto na wanawake yanatoka marekaniIran ameingia US anaingia.
Iran iliijulisha marekani na Urusi kabla ya kufanya mashambulizi. Ni kawaida hiyo siyo ajabuInaonekana marekani huwa anataarifa zote muhimu kwani alishatoa angalizo mapema na kweli Iran imesharusha Missile zaidi ya 200 ndani ya Israel na kuleta madhara makubwa.
Yetu macho ngoja tusubiri mapigo ya Israel kwani wamechafukwa.
Wapuuzi tuu haoIran kabla ya Kupiga amemtaarifu Usa na Urusi, Juzi Waziri husika wa Urusi alikua Iran wamepanga mipango yao wametoa na Taarifa wanapiga.
So taarifa walikuwa nazo na wameshindwa kuzuia kitu, huu ni ushindi mkubwa kuliko wangepiga kwa kushtukiza.
Bado ni fake news mkuu🤣🤣Unaenda kuchukua Fake News X halafu unakuja kuzifungulia Uzi😁
Pale Mashariki ya kati kuna nchi zina share interegensia na Marekani na Israel, nchi hizo ni Misri, Jordan, Saudia Arabia nkInakuaje Marekani ajue mapema? Au Huwa wanapeana taarifa Ili wajiandae na kuwazubaisha Wananchi Kisiasa?
Upuuzi mtupu
Ndiyo ukweli uoStory za swala ya saa 1 hizi.
Sasa huo si ni upuuzi?Pale Mashariki ya kati kuna nchi zina share interegensia na Marekani na Israel, nchi hizo ni Misri, Jordan, Saudia Arabia nk
Ni kawaida kabla ya kushambulia nchi husika inayokusudia kufanya hivo huwa ina share taarifa na baadhi ya nchi mfano lile shambulia la kwanza la Iran kwenda Israel - Iran iliitarifu moja kwa moja Marekani kuwa leo tunakusudio la kuishambulia Israel.
Kuhusu kujua kama Iran itajibu mapigo US alikuwa anajua tongu siku Israel imemuua Ismail Haniyeh ila haikujua specific itakuwa lini, Iran ilisema this time haitoijulisha US ila kuna vyanzo vya habari vinadai kuwa Iran iliwajulisha Urusi na Marekani labda ndiyo maana Netanyahu aliamua kujaribu kumtafuta Vladimir Putin ajaribu kuongea na Ayatollah Ally Khomeini asiwashambulie.
Aliyekuwa anatafutwa kajaa, Ayatolah siku zake zinahesabika.Bado ni fake news mkuu🤣🤣
Kweni Mabomu ya Magaidi ya Hezbollah na Hamas wanayatoa wapi? IRAN sasa inakuwa Vita DIRECT na US na Washirika wake.US aingie mara ngapi? Mabomu yote yanayoua watoto na wanawake yanatoka marekani
Hamas na Hezbollah wanatengeneza wenyeweKweni Mabomu ya Magaidi ya Hezbollah na Hamas wanayatoa wapi? IRAN sasa inakuwa Vita DIRECT na US na Washirika wake.
Kwa mtazamo wangu Israel akifanya pupa kuirudisha mapigo anaweza kujikuta anaiingiza Israel kwenye vita ambayo hakuitegemea. Kwasasa anahitaji kuwa karibu sana na wanasaikolojia na washauri wake.Netanyahu ana mtihani haswa maana avuke Syria na Iraq kuipiga Iran hapo kuna mtihani
Iran wame beep ngoja Israel wawapigie.Iran imetangaza rasmi kuwa ipo vitani na Israel. Nawaletea official report soon.
Na nia na madhumuni ya kufanya hivyo huwa ni nini hasa???Iran iliijulisha marekani na Urusi kabla ya kufanya mashambulizi. Ni kawaida hiyo siyo ajabu
Iran Huwa habeep .ameshatoa Tahadhari kuwa Israel akijibu basi atajibiwa vikali zaidi ya Jana. Sababu ya kutoa taarifa ni uhusiano wa kidiplomasia kama Kuna vitu vya Haraka haraka vya kuondoa wavitoe kabla shambulizi halijafanyika. Ndio maana Marekani iliwaambia raia wake mapema kuwa wasitoke nje wakae kwenye mahandaki n.kIran wame beep ngoja Israel wawapigie.
Na nia na madhumuni ya kufanya hivyo huwa ni nini hasa???
Mimi nilikuwa najuwa kwenye vita huwa ni mashambulizi ya kumushutikiza adui.
Shukrani kwako kiongozi kwa kunifafanulia nini hasa maana ya kutoa tahadhari.Iran Huwa habeep .ameshatoa Tahadhari kuwa Israel akijibu basi atajibiwa vikali zaidi ya Jana. Sababu ya kutoa taarifa ni uhusiano wa kidiplomasia kama Kuna vitu vya Haraka haraka vya kuondoa wavitoe kabla shambulizi halijafanyika. Ndio maana Marekani iliwaambia raia wake mapema kuwa wasitoke nje wakae kwenye mahandaki n.k