Marekani yasema kipigo kutokea Iran ni suala la muda tu

IDF wanajibu

After over 40 rocket launches from Lebanon crossed into Israeli territory on Friday, the IDF responded by striking the sources of fire. No injuries were reported in Israel as a result of the rocket fire.

Taarifa za kijeshi si huwa siri? Tangu lini nani kaanza kusema ukweli wa maswahiba yaliyomsibu?

Vita waachie wajinga,mchina anawaza uchumi tu
 
Sasa 99% zimeshushwa kuna kazi hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Sikutegemea Yale makombora ya Iran mnayoyasifu kila sifu yameshushwa kama nzige.

Hiyo 99% asemaye ni mlengwa na wewe wamwamini? Tena uharibifu kuwa ni mdogo kwenye kambi ya jeshi alikokwaruzwa kidogo mtoto mdogo?

Labda kama hukupata kumsikia jiwe akidai meli kwenda bagamoyo amewapa jeshi!
 
Bhas leta wewe ushahidi tuone, mbona simple tu.
 
Bhas leta wewe ushahidi tuone, mbona simple tu.

Kwa hiyo unategemea apiganaye kukiri kwa adui kuwa ngumi imemwingia vilivyo "ku-bu-gosha?"

Saddam alipoisambaratisha pentagon ya Israel, ulimwengu ulikuja kujua miaka kadhaa baadaye.

Tuseme Yuko vizuri, huku kulia lia, Kulikoni?

Kwani alipo beep Damascus alitegemea Nini? Haya Sasa wamepiga kutokea Tehran, majibu tafadhali.
 
Kumbe Israel kuna Pentagon?! πŸ˜‚

Israel iliua majenerali 7 wa Iran, je Iran imeua nani huko Israel?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumbe Israel kuna Pentagon?! πŸ˜‚

Israel iliua majenerali 7 wa Iran, je Iran imeua nani huko Israel?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tanzania Kuna pentagon, white house, Hadi air force 1; iwe Israel ndugu? Huko ndiko "etat major" yakhe kama hujui. Kumbe wewe mawazo yako iko kwenye ma polygon yakiwamo triangle peke yake?

Beberu anasema: "grow up, men!"
 
Huko ulipopata taarifa kuwa 99% ya mabomu na drones zimekuwa intercepted umeomba ushahidi!?
Au unachagua taarifa za kuomba ushahidi?

Ndiyo akili za kwetu Buza hizo kudhani vita ni cinema na Rambo alikuwamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…