BADO HUJASEMAπππππππ
Hiyo taarifa inaanza kutia mashaka kwenye maneno Israel SAYS! Kwanini tuamini anachokisema Israel?
Hiyo video yako kabla haijanipotezea MBs zangu, inaonesha makombora/drones zote zilizotumwa na Iran kuishambulia Israel ili tukipiga hesabu tupate hiyo 99%?
BADO HUJASEMAπππ
Sijaona sehemu inayothibitisha 99%, naona mipasho tu!BADO HUJASEMAππππ
BADO HUJASEMAπππ
Nyuma ya pazia Marekani nchi za kiarabu na Iran waongea kuhusu hilo shambulizi linoandaliwa na Iran lakini Iran lazima watafanya shambulizi.
Iran ana options nyingi tu na si lazima iwe ni makombora.
Iran yaweza kufanya mashambulizi ya "cyber attacks" ili kuua uwezo wa Israeli kwenye mitandao ya internet na mashambulizi mengine ya kimkakati.
"Miscalculations" yoyote italeta athari kubwa ndo maana bado Iran wametumia muda kupata shambulizi murua.
Lengo la Israeli na Marekani ni kutaka Iran akosee kufanya mashambulizi ili wapate sababu ya kushambulia vinu vya nyuklia jambo ambalo litaleta athari Iran zaidi kuliko Israeli na Marekani.
Ila Israeli atafaidika kwa kuwa na uhakika ametibua vinu vya nyuklia vya Iran visiwe na nguvu.
Ayatollah mbona haeleweki, anaenda mbele mara anarudi nyuma
Al-Arabia:
Iran's mission to the United Nations:
βResponse [to Israel] can be avoided if the United Nations condemns the attack on our consulate in Damascusβ
Baada ya 99% ya bajaj za Iran kushushwaπππππVipi SoMo Bado kueleweka?
Baada ya 99% ya bajaj za Iran kushushwaπππππ
Makombora na drone zaidi ya 300 halafu unaishia kujeruhi binti wa kiyahudi ππππ
Mpaka hapo vipi? Tangu lini Israel kaanza naye kuwaza?Uzuri wakati Iran inaweza Waza, Israel inamtafuta General mwingine imfumue
π€£