Marekani yashambuliwa na Jeshi la Wanamaji la Iran ambalo inadaiwa liliangamizwa

Jf imepoteza critical thinker Aisee zamani kwenye topic kama hizi watu Tulikuwa tuna jiandaa kuchukua notes 😀 but now days imekuwa kituko sana
Wakati mwingine unashindwa kuengage deeply kwenye nyuzi nyingi za jukwaa la kimataifa kwa sababu hii una kuta mtu/watu weupe unabaki kusoma nyuzi na kusepa
 
Tangu lini, mtu anajiita Echolima1 (choo cha kulima kimoja1). Akawa critical thinker.
 
Ukwelii mtupuu huu
 
Walioharibu Jf kwa asilimia kubwa ni kikundi cha walokole , wao ndio waanzilishi wa udini kwa kila mada na ikawa ndio mchezo wao .

Na mada za mizaha ya kidini zikatawala na kuingizwa kwenye mambo siriazi kwa chuki zao
 
Naomba kueleweshwa mambo kadhaa katika huu uzi. Maana ya maneno Dunya, bazazi na walokole.
Walokole haimaanishi walokole kweli au Wakristo wote , bali ni kikundi cha Wakristo Wenye misinamo mikali ambao kila mjadala wanapeleka kwenye mlengo wa kidini na kushambulia kwa chuki Kali za kidini
 
Walokole haimaanishi walokole kweli au Wakristo wote , bali ni kikundi cha Wakristo Wenye misinamo mikali ambao kila mjadala wanapeleka kwenye mlengo wa kidini na kushambulia kwa chuki Kali za kidini
Bado Dunya na bazazi.
Shukrani
 
Mwisho wa siku hii maersk imebondwa😁😁😁😁umeandika mambo mengi kumpinga jamaa mwishowe wew ndio waonekana muongo sasa


Mi nasema bora babu marehemu na sio huyu mwanae kichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…