Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
.
Wakati mwingine unashindwa kuengage deeply kwenye nyuzi nyingi za jukwaa la kimataifa kwa sababu hii una kuta mtu/watu weupe unabaki kusoma nyuzi na kusepaJf imepoteza critical thinker Aisee zamani kwenye topic kama hizi watu Tulikuwa tuna jiandaa kuchukua notes 😀 but now days imekuwa kituko sana
Tangu lini, mtu anajiita Echolima1 (choo cha kulima kimoja1). Akawa critical thinker.Mzee walokole wana guts Za ajabu sana hata huyo wanaye muita shetani wamemzidi 🤣🤣
Yaani mtu kuanzisha Uzi una Data logic na reference kibao ambazo ili uweze kuzipinga unapaswa uingie Chimbo uje na nondo Tena nondo haswaa , Ajabu anatokea mlokole mmoja out of nowhere anaanza kumdhihaki mtoa mada ,
Jf imepoteza critical thinker Aisee zamani kwenye topic kama hizi watu Tulikuwa tuna jiandaa kuchukua notes 😀 but now days imekuwa kituko sana
Mtoe na mfano kama Echolima1 (choo cha kulima kimoja1).Walokole wana matatizo makubwa sana ya akili sema ndio hivyo
Wameshaiharibu bhna sio JF ile tulioanza nayo ilikuwa kama Chuo cha Yale vile😢😢Wana tuharibia sana Engine yetu
For realWameshaiharibu bhna sio JF ile tulioanza nayo ilikuwa kama Chuo cha Yale vile😢😢
😂😂😂😄😄😄
Ila Jf Kuna watu wana mwambia Malcolm Lumumba Hana elimu 🙌🙌🙌😁😁
Sio watu sema walokole😂😂😂
Kuna watu wana uthubutu sana humu ndani!!!
Ukwelii mtupuu huuYeyote anayeingiza huu mgogoro kwenye masuala ya udini , ujue uwezo wake wa kuchakata mambo, kutathmini na kutafakari upo chini.
Huu mgogoro una athari kwa dunia yote ndio maana watu wanafuatilia, mtu ukishaisifu Iran unaonekana wewe ni muislamu, anakuja wa dini nyingine na kuchukua mjadala kuupeleka kidini. Wakati hii vita haihusiani na dini.
Kwa akili za kawaida tu US na Israel wanachofanya si sawa, na ili uelewe si sawa lazima kwanza uwe na sifa tajwa hapo kinyume na hao wanaoingiza hili suala kidini, kwanza uwe na uwezo mkubwa kuchakata mambo, kutahmini mambo kwa undani na uwezo mkubwa wa kujitafakari.
Ndio maana watu wanao iponda US ukiwafuatilia ni watu waliofuatilia vitu, wanajua mambo mengi na historia , wana facts.
Ukishakuwa na hizo sifa hutoona tena haya ni masuala ya kidini, lakini kama hizo sifa hazipo ndipo unakuwa wale wale wa 'Israel ni taifa teule' , 'Iran ni magaidi' , 'Hezbollah ni kikundi cha kigaidi' , 'Iran ipigwe ichakae' ukifuatilia wengi wanaotoa hizo kauli utakuta wana sifa zinafanana ama tabia (Collective Behavior) ama fikra kundi(groupthink).
kwanza hawajui mengi kuhusu historia, uwezo mdogo wa kiakili na kuchanganua mambo kwa kifupi hawajielewi, hata uchambuzi wao utagundua hawajui wanacho kizungumza. Haijalishi umri, umri , jinsia , muonekano ama cheo.
Ni kama lile toto la Museveni nadhani mkuu wa majeshi, jamaa ni lipumbavu hadi aibu. Nawasikitikia wana Uganda.
Mkuu aibu naona mimi😄😄😄
Ila Jf Kuna watu wana mwambia Malcolm Lumumba Hana elimu 🙌🙌🙌😁😁
Bado naiona nafasi ya Iran pale juu 😂Kumeanza kuchangamka
Walioharibu Jf kwa asilimia kubwa ni kikundi cha walokole , wao ndio waanzilishi wa udini kwa kila mada na ikawa ndio mchezo wao .Mzee walokole wana guts Za ajabu sana hata huyo wanaye muita shetani wamemzidi 🤣🤣
Yaani mtu kuanzisha Uzi una Data logic na reference kibao ambazo ili uweze kuzipinga unapaswa uingie Chimbo uje na nondo Tena nondo haswaa , Ajabu anatokea mlokole mmoja out of nowhere anaanza kumdhihaki mtoa mada ,
Jf imepoteza critical thinker Aisee zamani kwenye topic kama hizi watu Tulikuwa tuna jiandaa kuchukua notes 😀 but now days imekuwa kituko sana
Mnywa Visungura ELiNyaHu eli -DEFIANT- cohen kashavamia na katema mashudu tayariMALCOM LUMUMBA, sema yote walokole wapate kunyon'gonyea.
Naomba kueleweshwa mambo kadhaa katika huu uzi. Maana ya maneno Dunya, bazazi na walokole.Walokole wana matatizo makubwa sana ya akili sema ndio hivyo
Walokole haimaanishi walokole kweli au Wakristo wote , bali ni kikundi cha Wakristo Wenye misinamo mikali ambao kila mjadala wanapeleka kwenye mlengo wa kidini na kushambulia kwa chuki Kali za kidiniNaomba kueleweshwa mambo kadhaa katika huu uzi. Maana ya maneno Dunya, bazazi na walokole.
Bado Dunya na bazazi.Walokole haimaanishi walokole kweli au Wakristo wote , bali ni kikundi cha Wakristo Wenye misinamo mikali ambao kila mjadala wanapeleka kwenye mlengo wa kidini na kushambulia kwa chuki Kali za kidini
Mwisho wa siku hii maersk imebondwa😁😁😁😁umeandika mambo mengi kumpinga jamaa mwishowe wew ndio waonekana muongo sasaUna tatizo la Elimu au uelewa wako tu ni mdogo?
Unashindwa hata kuelewa tu tarehe na muda, utawezaje kuelewa content.
Tukio la jana tena lili tofauti jabisa na uwongo ulioweka hapa, wewe unasema limetokea leo asubuhi.
Ngoja yukueleweshe, yawezekana lugha za watu ni tatizo kwako:
Jana meli 2 za kivita za Marekani, zikiwa zinavuka mkondo wa Hormuz, Iran ilituma boats 6 za kivita, ikarusha drones na missiles, nyingine zilienda mpaka UAE. Marekani ikazishambulia boats za Iran, 3 zilizamishwa moja kwa moja, baadhi ya askari wa Iran ndani ya boats hizo walikufa, Iran imethibitisha. Makombora yote yaliyoenda UAE yalidunguliwa na Iron domes, drone 1 ilipiga meli ya UAE na nyingine kituo cha mafuta. Zilizobakia zote zilidunguliwa.
Iran, kwa hofu ya kutengwa na Dunia, imekataa kuwa yenyewe haikurusha kombora wala drone yoyote, na kuwa boats zake zilizozamishwa, zilikuwa boats za kiraia. Hakuna kombora wala drone hata moja iliyogusa meli hizo 2 za kivita za Marekani, zote zimevuka salama.
- The United Arab Emirates said its air defences intercepted ballistic and cruise missiles fired from Iran, and a fire at an oil facility in Fujairah was reported after a drone attack.
- Tehran reports that an Iranian military official has told state media that Iran had no plan to attack the UAE.
- Qatar, Jordan, Saudi Arabia, Kuwait, the Gulf Cooperation Council, France, Germany and the UK have all condemned Iranian missile and drone attack on the UAE.
- US President Donald Trump has warned that Iran will be “blown off the face of the earth” if any US Navy ships come under fire in the Strait of Hormuz. The threat followed Iranian reports that missiles hit a US naval frigate in the strait, which the US military denied.
- The US military said it sank several Iranian small boats that attempted to interfere with commercial shipping, as US forces attempt to escort vessels through the blockaded waterway, with Danish shipping company Maersk reporting that a US-flagged vehicle carrier transited the strait safely, under US escort.
- Iran launched its first missile and drone attack on the United Arab Emirates since a ceasefire with the U.S. took effect on April 8, and it fired two drones at a ship in the Strait of Hormuz, UAE authorities said Monday.
- The U.S. military said two commercial vessels safely transited the key waterway Monday under the Project Freedom initiative announced by President Trump. Iran fired missiles at ships being protected during the operation, and Mr. Trump said U.S. forces destroyed seven Iranian small boats for trying to interfere.
Maersk says ship transited Strait of Hormuz under U.S. escort
Denmark's freight giant Maersk said on Tuesday that one of its ships has successfully sailed through the Strait of Hormuz under U.S. escort.
2 U.S. Navy destroyers transit Strait of Hormuz after dodging Iranian onslaught
Two U.S. Navy destroyers transited the Strait of Hormuz and entered the Persian Gulf after navigating an Iranian barrage, according to defense officials.
The USS Truxtun and USS Mason, supported by Apache helicopters and other aircraft, faced a series of coordinated threats during the passage, the defense officials said. Iran launched small boats, missiles and drones against them in what officials described as a sustained barrage.
Despite the intensity of the attacks, neither U.S. vessel was struck.
Military officials said that defensive measures, bolstered by air support, successfully intercepted or deterred each incoming threat. They added that no projectiles that were launched reached the ships