Marekani yasogeza meli za kivita na kuziweka mkao wa tayari kuichakaza Iran

Marekani yasogeza meli za kivita na kuziweka mkao wa tayari kuichakaza Iran

Originally Kaba ilikuwa ni ya Makafiri mkawazulumu, Jerusalemu ilikuwa ni ya Wayahudi mkataka kuwazulumu, Andalusia Spain ilikuwa ya Wakatoliki mkataka kuwazulumu.

Sasa ni wakati wa Pay back msilielie.
Hujui history. Yesu alikuwa muislam mkajifanya wenu.
 
Marekani inaitafuta Iran kutaka kuipiga kwa kosa gani?

Naomba unieleweshe hapa
Vita ya kwanza na ya pili ya Dunia ndio iliifanya Marekani awe super power

Kwa Sasa super power yake ipo hatalini kutoweka kwahiyo anaona Ili aendelee kuwa super power izuke vita ya tatu ya Dunia au kuhakikisha nchi zote zinazo hatalisha super power yake ziwe zinapigana vita

Alianzisha biological wa ya COVID 19 mlengwa wa kwanza alikuwa China ikafeli

Ameanzisha vita ya Ukraine na Urusi amefeli

Ameanzisha vita vya Gaza Kwa kutengeneza Hamasi wa uongo amefeli kuifanya Dunia ipigane Kwa kisingizio Cha dini

Na Sasa anataka kuipiganisha Israel na Iran ngoja tuone itakuwaje

Haya mambo wale tuliyosoma Cuba ndio tunaelewa ila mambumbu wanajazwa ujinga ujinga sijui dini sijui ugaidi wanaleta ushabiki unaoendana na ujinga wao

Watu kama hawa ukiwambia Osoma bin laden ule ugaidi wake alifundishwa na Marekani na walimtumia kuisambaratisha Urusi baadae ndio akawageuka watabisha maana hawana walijualo

Na ndio maana hata lengo lake la kutaka Dunia mzima watu wawe mashoga analipushi sana kupitia wagalatia maana huko ndio kunapatikana watu wasio ona mbali

Maana hilo nalo ni lengo lake maana kuitawala mishoga ni rahisi sana
 
Wewe ndio unatakiwa usome Historia yaani Dini imekufanya uwe mweupe sana kichwani.
Muulize Pengo kuhusu uislam kisiri siri. Halafu muulize kwanini akawa mkiristo atakwambia kafata ulaji tu.
 
Mambo yameanza, drones za Iran ni mchezo wa kitoto. Majibu kutoka Israel yatakuwa ya kikubwa.
 
Mambo yameanza, drones za Iran ni mchezo wa kitoto. Majibu kutoka Israel yatakuwa ya kikubwa.

Nchi kadhaa kama Jordan, Saudia, manowari za US zilizopo Bahamian ya Mediterranean hazitaruhusu drones kupenya anga zao kuifikia Israel labda nchi zenye vita vya wenyewe kama Syria, Iraq zinaweza kupenya. Tusubiri jaribio hili ngumu la uchokozi la Iran kwa kisingizio cha kulipiza kisasi kama litafanikiwa na majibu toka Israel

1713044339464.png
 
Israel atambue, ardhi aliyopora mwaka 1947 ni lazima airudishe, vinginevyo hii conflict ni ya milele
 
Mambo yameanza, drones za Iran ni mchezo wa kitoto. Majibu kutoka Israel yatakuwa ya kikubwa.

Sasa tunasikia Iran inataka kucheza mchezo wa kikubwa kwa kutumia mvua ya drones kutumika kama kuzichanganya radar ili nyuma yake yafuate makombora yao.

Kama Iran wanatumia drones kama chambo makombora yao yasitunguliwe kirahisi, basi hakuna njia bali Israel kutoa pigo kali kama lipizo kwa Iran
 
Marekani inaitafuta Iran kutaka kuipiga kwa kosa gani?

Naomba unieleweshe hapa
Kushambulia mshirika wake kivita Israel
Mfano Hamas wana ushirikiano na makundi mengine ya nchi zingine mfano Hizibollh na wa houthi .Hamas akipigwa na Israel na wao wanaanza kurusha makombora kupiga Israel toka nchi zao Wakati Israel wala hana ugomvi nao
 
Back
Top Bottom