Marekani inaitafuta Iran kutaka kuipiga kwa kosa gani?
Naomba unieleweshe hapa
Vita ya kwanza na ya pili ya Dunia ndio iliifanya Marekani awe super power
Kwa Sasa super power yake ipo hatalini kutoweka kwahiyo anaona Ili aendelee kuwa super power izuke vita ya tatu ya Dunia au kuhakikisha nchi zote zinazo hatalisha super power yake ziwe zinapigana vita
Alianzisha biological wa ya COVID 19 mlengwa wa kwanza alikuwa China ikafeli
Ameanzisha vita ya Ukraine na Urusi amefeli
Ameanzisha vita vya Gaza Kwa kutengeneza Hamasi wa uongo amefeli kuifanya Dunia ipigane Kwa kisingizio Cha dini
Na Sasa anataka kuipiganisha Israel na Iran ngoja tuone itakuwaje
Haya mambo wale tuliyosoma Cuba ndio tunaelewa ila mambumbu wanajazwa ujinga ujinga sijui dini sijui ugaidi wanaleta ushabiki unaoendana na ujinga wao
Watu kama hawa ukiwambia Osoma bin laden ule ugaidi wake alifundishwa na Marekani na walimtumia kuisambaratisha Urusi baadae ndio akawageuka watabisha maana hawana walijualo
Na ndio maana hata lengo lake la kutaka Dunia mzima watu wawe mashoga analipushi sana kupitia wagalatia maana huko ndio kunapatikana watu wasio ona mbali
Maana hilo nalo ni lengo lake maana kuitawala mishoga ni rahisi sana