Marekani yatangaza marufuku ya kusafiri kwa wafanyakazi wa Huawei na makampuni mengine ya Kichina

waislam wanaoenda ulaya na marekani lengo ni kutafuta maisha mazuri,na marekani anang'ang'ania uarabuni sababu ya maslahi yake ya mafuta,mbona congo wanauana na haendi,
Mimi nafanya kazi Katika African Resettlement Agency na Raia/ wakimbizi kutoka Congo wanaongoza kwa idadi ya Waafrika wanaopewa approval ya kwenda kuishi Marekani. Kwa hiyo Siyo kwamba Marekani hajaenda Congo
 
Reactions: Pep
Unyonyaji wa mzungu plus ujinga wetu umetufikisha hapa

USA ndo mwenyehaki ktk dunia hii yakuamua iendeje

Hiyo documentary kaiandaa nani kwa maslahi ya nani? Tumepumbazwa sana Africa kuona cha mzungu na mzungu ndo bora

Nani asiyeitaka AFRICA
Wewe ni kichaa ukute unamiliki simu ya tecno hujawahi kusafiri umbali wa walau kilomita 1000 uone new exposure.


Walau ungekuwa umetoka nje ya hili bara ungejua kwanini mchina huwezi mlinganisha na Mzungu hata Mara moja.


Muwe mnauliza watu waliotoka nje ya bara sio unakaa kwenu maramba mawili unajiona una full exposure ya mambo.
 

Kwa taarifa yako Hezbollah SIYO adui wa Israel, ni adui wa “Sunni” bila Hezbollah hakuna Israel imara! Wajua Hezbollah ni tawi la Iran na Iran inawezesha Israel kuwa imara - kivipi? Bila adui huwezi kujiimarisha(proactive, technologically & militarily preventive measures)!
 
Kuonesha busara ya exposure yako ungetoa maelezo yakuonesha unachokijua
 
Unamaanisha ili uwe imara lazima uwe na adui?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu wanaenda US kutafta maisha jamho ambalo hata wewe usiokua MUISLAM unaweza kwenda kulifanya

US ndio Muuaji namba moja wawaislam DUNIANI

Hao ISIS kabla ya US kuvamia mashariki yakati uliwahi kuwajua ?!

HIZBULLAH huyu kiboko ya MAYAHUDI wala hana mzozano na WAISLAM wenzake


Mwisho :-US anataka apate sapoti ya WAARABU na WAISLAM katika kupambana na UCHINA ila hatakama atapata kumshusha UCHINA alishachelewa awe tu mpole.
 
... bila Marekani mamilioni ya waislamu Uighur kule China wangeshapotezwa wewe! Marekani amepaza sauti sana kuwatetea hawa jamaa na hakuna jamii inayoishukuru Marekani kama waislamu wa Uighur!
Bila ya US mataifa saba ya waislam wasingepingwa marufuku kuingia US

Bila ya US waislam wa IRAQ wangeishi kwaamani sanaaa
 
Mimi niliwaambia majuzi kule kwenye uzi wa Hhwaei kuondolewa kwenye biashara ya 5G, wengi wanabishana na wengine wanachukulia ushabiki tuu ili mradi kuongea, jaman huu ni ukweli mzee wa fitina akianza acheni mizaha hakuna cha kusema nan ama nan anapingana nae, mrusi mwenyewe na jeuri yake anapigwa sanctions na anatulia sembuse mchina? Ni kwamba DT kaamua kuimaliza Huwaei kabisa kwa sasa, na anataka ahakikishe china wanarudi hatua nyuma kazaa, alianza na tarrifs, mchina alikua anauza US bizaa almost to 500B. Wakat Us anauza 173B kwa tarrif ya juu up to 25% DT akalala nae sahan moja na hii jamaa akalalamika wee na kusema atalipiza waap ngumi ikapita hio, akaja kwenye 5G, amehakikisha wenzie wanaachana na huo mkataba as Huwaei ndio ilikua imepata coverage for 80% of the world, na kampun nyingi walikua washalipia kit tayari, ila biti la mzee wa fitina kwa sasa wengi washakula kona, australia,uk,india,canada,france, na hapo vikwazo rasm ni sept mwaka huu mpaka kufika huko europe nzima patakua hamna mkataba, juz hapa kaingilia kampuni za stock exchange za kichina lazima zikaguliwe US otherwise anazifuta. Sasa kaja na issue ya wafanyakaz wa Huwaei, bado hata sept hatujafika and anakwambia....we have gat all options on the table
 
Hao wazungu wanapokuja huku unahisi wanakuja kwamaslahi yenu ?!

Kuhusiana na ubaguzi mtu mweupe utake usitake atakubagua tu

Kuhusiana na mikataba migumu hamjalazmishwa kusaini ila mnasaini kutokana na umaskini na njaa zenu


Anacho fanya US nisahihi kwamaslahi yake ila ubaya nikwamba hakiwezi kufanikiwa.
 
US kuisakama HUAWEI anaisakama ila Kuimaliza HUAWEI hawez

Unaifananisha RUSSIA na UCHINA taifa lapili kiuchumi ULIMWENGUNI...
 
Marekani anawatetea Uighur Muslims kwaajiri ya kuijenga china au kuibomoa?
US mnafiq hajawahi kua mtetezi wa WAISLAM anawatetea kwamaslahi yake natena hawatetei

Lengo nikuibomoa UCHINA

angewatetea waislam wa MYANMAR kwanza...
 
Tuletee pia na mrejesho wa Uchina kutangaza marufuku ya kusafiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…