You're nothing but just lab rats, itakuwa ndiyo inafanyiwa majaribio kwenu kama ina react namna gani yaani kama ina side effects au la.Promising
Ni aina gani ya chanjo?
Nimetafuta mitandaoni lakini so far inaonekana hakujakua updated
Wewe subiri uchomwe tu, wangekuwa na nia ya kuitolea ufafanuzi wangefanya hivyo lakini hapa wameamua kukausha tu so do what you gotta do yaani kusuka au kunyoa.Wakuu ni aina gani ya chanjo tumeletewa kutoka marekani?Mbona imekua siri hawasemi?
Unadhani atachanjwa sawa na utakayochanjwa wewe, unadhani Biden kachanjwa sawa ni hiyo mliyoletewa huko?Mama si ndio atakua wa kwanza kichanjwa mbele ya camera au?
That's one damn zillion dollars question.Tunawashukuru,sababu hawajaanza kutusaidia leo
Walianza zamani sana,ile miaka ya chakula cha yanga,na vile vyakula vilitwa bruga,miaka ya hivi karibu wakahamia kwenye ARVs,TB,Malaria,huduma za afya kwa mama na mtoto, mengi.hao hao ndiyo wanaoingiza fedha TASAF,chanjo ya surua,polio,.sikuelewaaga kabisa kwamba sasa hiv wana nia ya kutuua kupitia chanjo ya covid 19.sijui hiyo nia ya sasa iwe ni kwa sababu gani. sababu ukweli nchi yetu imeishi kwa misaada kwa kiasi kikubwa kutoka kwao saana,na inaendelea kutusaidia pakubwa
labda wale wajuvi watuambie sababu ni nini?
ni makinikia au ni gesi?au mbuga za wanyama? wanataka kutua kwa chanjo kwa sababu ya nini eti?
Kwani ukimuombea mtu afe, utarithi Mali zake, au mke wake au unafikiri itakupunguzia matatizo uliyokua nayo au unafikiri itatengeneza njia yako ya kwenda Mbinguni?Tena MAGAIDI na WAHAINI wakubwa. Wapigwe risasi hadharani kama Tundu Lissu alivyokoswakoswa kuuawa mchana kweupe baada ya walinzi kuondolewa na CCT kung'olewa.
dunia ya leo bado unawaza kuwa mke hurithiwa?Kwani ukimuombea mtu afe, utarithi Mali zake, au mke wake au unafikiri itakupunguzia matatizo uliyokua nayo au unafikiri itatengeneza njia yako ya kwenda Mbinguni?
Mbona mnachuma dhamba zisizo na ulazima?
Ataanza Mbowe kwanza na kamati kuu ya chademaHii chanjo wangeanza wanaccm kwanza wengine ndo tufuate wakianzia wabunge
Watu bwana mumelilia chanjo imekuja, lakini bado munaibua mengine tena?Mkuu wewe ni moja kati ya watu huwa nawa admire sana humu jamvini kwa hoja makini.
Ila kwa hili umepotoka pakubwa
Kwani Askofu Feki Gwajima anasemaje? Tumuamini Gwajiboy au Serikali ya CCM?Ataanza Mbowe kwanza na kamati kuu ya chadema
Sijui huko uliko lkn kwingineko watu wanaua wenzao warithi wake.dunia ya leo bado unawaza kuwa mke hurithiwa?
πMabeberu sio jina la watu au taifa fulani, ubeberu ni tabia, kama ulivyo ukaburu, kaburu sio mzungu tuu hata Mswahili anayefanya ubaguzi wa rangi ni kaburu!. Marekani na Ulaya wanapotusaidia ni nchi rafiki, ni nchi wafadhili, ni donor countries na development partners, lakini wakitufanyia vitendo vya ubeberu ni mabeberu !.
P
WalishachanywaAtaanza Mbowe kwanza na kamati kuu ya chadema
Natamani ungekua unasimamia maneno yako Kaka! Sema unayumba sanaMabeberu sio jina la watu au taifa fulani, ubeberu ni tabia, kama ulivyo ukaburu, kaburu sio mzungu tuu hata Mswahili anayefanya ubaguzi wa rangi ni kaburu!. Marekani na Ulaya wanapotusaidia ni nchi rafiki, ni nchi wafadhili, ni donor countries na development partners, lakini wakitufanyia vitendo vya ubeberu ni mabeberu !.
P
Kwahiyo kwasababu wanatoka Marekani ni experts.. Get real! Hata kama huko kwao ni wasafisha barabara tuwaamini tu!Nina rafiki zangu wamarekani wamekuja hapa two weeks ago kikazi.Wao walishachanjwa huko kwao.
Nimewaambia kuhusu hii chanjo ya Johnson wametahamaki vibaya na wameniambia nisithubutu kusogeza bega langu!Nisubiri chanjo nyingine.Mimi nimeamua kuwasikiliza.Sichwanjwi Johnson &Jonhson
MkuuWatu bwana mumelilia chanjo imekuja, lakini bado munaibua mengine tena?