Mtakufa nyie mnaozishobokea utafikiri zinazuia mtu asife.🤗🤗
The Latest: Tanzania gets 1 million J&J vaccines from U.S.
DAR ES SALAAM, Tanzania — Tanzania has received its first batch of 1 million Johnson & Johnson COVID-19 vaccines donated by the U.S. government.
Tanzania had been among the few countries in Africa yet to receive vaccines or start vaccinating its population, mainly because its former leader had claimed prayer had defeated COVID-19 in the country. The vaccines were received by the foreign affairs minister and the U.S. ambassador at the airport in Dar es Salaam.
Former Tanzanian President John Magufuli, who died in March, had refused to accept vaccines after he claimed three days of prayer had healed the country of the virus in June 2020.
Magufuli’s deputy, Samai Suluhu Hassan, took over as president in line with the country’s constitution and became the first female president in Tanzania.
Hassan has reversed Tanzania’s practice of denying COVID-19′s spread in the East African country.
Saivi mataga wametega nyungu kwa mabeberuCDM si walisema jumuiya ya kimataifa ipo upande wao na hawatasaidia chochote TZ sababu ya kukamatwa kwa Abubakar? Hawa CDM hawawajui mabeberu vizuri
Mwanzo mlisema lisu mabwana zake mabeberu sasa nyie sasahivi naona mmempindua lisu mnapanga foleni tuSijui sasa hivi mtakua mnaenda kusema kwa nani. Mabeberu yanampenda mama kwerikweri yanapishana tu kila siku kujikomba kwake. Vikwazo lisu anavyosema atasikilizwa na beberu gani?
Kule Marekani na nchi nyingine za majuu dozi hizi zinakuwa kwenye magari maalumu yenye containers zenye vyumba maalumu vya baridi,tuliambiwa hapo mwanzo hizi chanjo zinahitaji ubaridi mkubwa na hata tumeona magari yenye makontena ya baridi yakiingia moja kwa moja kwenye mabohari maalumu yenye ubaridi mkubwa,kwetu hapa nashangaa chanjo ipo kwenye chetezo cha wazi na jua kali linawaka, sijui hadi kufika Liwale zitakuwaje.Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika
Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ukiongozwa na Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima.
Kule Mareka
Kule Marekani na nchi nyingine za majuu dozi hizi zinakuwa kwenye magari maalumu yenye containers zenye vyumba maalumu vya baridi,tuliambiwa hapo mwanzo hizi chanjo zinahitaji ubaridi mkubwa na hata tumeona magari yenye makontena ya baridi yakiingia moja kwa moja kwenye mabohari maalumu yenye ubaridi mkubwa,kwetu hapa nashangaa chanjo ipo kwenye chetezo cha wazi na jua kali linawaka, sijui hadi kufika Liwale zitakuwaje.
Mkuu lengo la beberu limetimia ,wewe hushangai dalali wa mabeberu Tony Blair katia timu na kuahidi kututafutia wawekezaji wa viwanda vya chanjo, kwa wale ambao wamesahau, Tony Blair baada ya kuondoshwa na Gordon Brown kwenye uwaziri mkuu kazi yake kawa kama Insta influencer, analipwa kwa kazi ya kupiga debe na anachaji pesa ndefu, wakati wa mwendazake hatukuwahi kumsikia Tony Blair kuja Tanzania kunadi biashara za mabeberu, Tony Blair sio mtu mzuri,ni wa kuogopwa kama ugonjwa wa ukoma.Kwa hiyo mkuu unadhani una ufahamu mkubwa zaidi kwenye kuisafirisha hiyo chanjo kuliko beberu mwenye nayo?
Kwa hakika tuko vizuri.
Kwa hiyo hapa hamjapigwa dah!Kweli usichokijua ni usiku wa giza.Afadhali ile haikua na madhara,soma hii👇ni kilio dunia nzima kwa walio dungwa hiyo sumu.Sijui mmelogwa!?
Tens of Thousands of COVID-19 “Vaccine” Injured in the U.S. Begging for Help as the Medical Community Turns Their Back on Them.
Private group on Facebook “Covid19 Vaccine Victims & Families” group.
48,635 members as of July 21.21
3 min video – injured people identify the vaxx company and their US location.
What will you do if presented with medical bills after treating adverse covid vaxx effects that can range up to $1 million? There’s no way most people can pay these outrageous bills Tens of Thousands of COVID-19 “Vaccine” Injured in the U.S. Begging for Help as the Medical Community Turns Their Back on Them
Note: check with your insurance provider to see if you will be covered for any after injection adverse effects ..
Coup-vid injured facing $million medical bills.
Founder Robert Kennedy Jr. of Children’s Health Defense – The Defender – reports on 2 June 2021 about a 38-year-old woman, who nearly died after a J&J covid-vaccine. She suffered various organ failures. The woman was healthy until she received the J&J untested covid “vaccine”. Within a week, she started experiencing headaches, abdominal pain and nausea and was eventually diagnosed with severe blood clots that caused most of her vital organs to fail. Only intense medical treatment, 33 days of hospitalization, of which 22 days of intensive care, saved her life – and left her with a medical bill of over a US$ 1 million – for which nobody admits responsibility. See here. Source Covid: Threats, Vaccine Injuries and Deaths Abound | Dissident Voice
High school senior Emma Burkeyreceived the one-shot Johnson & Johnson (J&J) COVID vaccine April 1. Within two weeks she was placed in an induced coma. She underwent three brain surgeries after experiencing seizures and developing blood clots in her brain.
When Burkey was well enough to be transferred from the hospital to a rehabilitation center, her first round of bills totaled $513,000.
Hundreds Injured by COVID Vaccines Turn to
Well said mkuu, actually hivi sasa Viongozi Duniani wana wajibu wa kijifunza kutoka Uchina linapo kuja suala la kupambana/dhibiti na maambukizi ya kovid-19, sio siri Wachina wamefanikiwa sana ku- contain.Jitu linasifia huo ujio wa chanjo utafikiri hizo chanjo zinazuia maambukizi wakati mapambano ya kuzuia maambukizi ya corona tumefeli, bado hapo kuna kibarua cha kuwashawishi raia kukubali kwa hiari kuchomwa hizo chanjo wakati huo maambukizi yanaendelea.
Mzee unasema TZ walau ingeagiza chanjo ambazo zimetengezwa kwa njia ya asili ambayo ipo proven. Ni ile kuingiza virus aliekuwa hana athari ndani ya mwili. Basi J&J ndio wanatumia hio. chanjo yao sio mRNA, ni hio ya asili unayozungumzia hapo.Tulivyo wa ajabu tunaletewa kile wanacho kiita msaada huku mfadhili huyo akijua fika kwamba chanjo za Johnson&Johnson zina walakini katika miili ya binadamu, hayo yamedhibitika mpaka nchini mwao - sisi tunapokea tu bila ya kuhoji - kisa msaada!!
Kwa nini hatutaki kujifunza kutoka kwa Dr.Hussein Mwinyi ambaye licha ya kuwa Rais wa Zanzibar vile ni Daktari wa binadamu, anajua sana athali zinazo weza kusababishwa na chanjo zinazo zalishwa kwa teknilojia ya kijinetiki ambazo kusema kweli wala si chanjo per se ni experimental pseudo GMOs!! Hata mvumbuzi wake Dr.Robert Malone anapinga matumizi yake hivi sasa, amasema chanjo za mRNA zimewahishwa mapema mno kuingizwa sokoni kabla hata hazija fanyiwa utafiti/majaribio ya kutosha, ushauri/maoni yake yana puuziwa tu-wamefikia hatuwa ya kumtishia maisha yake.
Swali kubwa hapa ni: kwani Tanzania bara ikifuata nyayo za Tanzania visiwani tukaagiza chanjo za kovid zinazo zalishwa kwa njia ya asili ambayo ni proven miaka nenda rudi, tukachana na hizi za mRNA ambazo zina changa moto nyingi ambazo ni highly unpredictable sioni kama tukiachana nazo tutapungukiwa kitu, kinyume chake actually Serikali ndio itakuwa inatimiza wajibu wake wa kujali/thamini afya za RAIA wake kwa dhati, Washauri wa Rais wasimpotoshe mama wa watu tukakuta Taifa letu na raia wake wanaingizwa kwenye lindi la madhara za kinga ya mwili ambayo ni irreversible tukija kushtuka itakuwa too late - my opinion.
Nimalizie kwa kuwasihi Viongozi wetu kwamba tafadhali sana fanyeni hima muagize chanjo kutoka Uchina, Urusi au Cuba - salama yetu itapatikana huko, sina lengo la kuyasema vibaya mataifa yanayo zalisha chanjo za mRNA waendelee kuzitumia huko kwao lakini wasishinikize mataifa ya kiafrika kutumia chanjo zao iwe kwa kununua au kupewa misaada - kumbukeni majuto ni mjukuu.
ahsante, Udugu wetu na Marekani hauna mashaka hata kidogo.
ahsante Rais wetu Mama Samia kwa kuimarisha zaidi ushirikiano wetu na USA
Kuna haja gani ya kupokea chanjo ambazo wazungu wenyewe wamezichoma na bado kirusi kinawaua????
Chanjo angalau kiasi fulani ambayo itaku-spare ni ya Moderna,ingawa nayo inakufanya hatimaye kuwa Zombie.Africa nchi iliyochaguliwa kupata chanjo ya Moderna kama nakumbuka vizuri ni Rwanda.Rwanda imechaguliwa ku-provide serfs for the NWG.Chanjo ya Moderna wanasema itakukinga na ile variant mbaya itakayo letwa.Ambao watakataa hii chanjo ya sasa kimbunga cha kweli kinachokuja baadae kitawafuta hata wao.
Tumepigwa Hakuna bure Duniani hapa
Kwa hiyo hapa hamjapigwa dah!Kweli usichokijua ni usiku wa giza.Afadhali ile haikua na madhara,soma hii[emoji116]ni kilio dunia nzima kwa walio dungwa hiyo sumu.Sijui mmelogwa!?
Tens of Thousands of COVID-19 “Vaccine” Injured in the U.S. Begging for Help as the Medical Community Turns Their Back on Them.
Private group on Facebook “Covid19 Vaccine Victims & Families” group.
48,635 members as of July 21.21
3 min video – injured people identify the vaxx company and their US location.
What will you do if presented with medical bills after treating adverse covid vaxx effects that can range up to $1 million? There’s no way most people can pay these outrageous bills Tens of Thousands of COVID-19 “Vaccine” Injured in the U.S. Begging for Help as the Medical Community Turns Their Back on Them
Note: check with your insurance provider to see if you will be covered for any after injection adverse effects ..
Coup-vid injured facing $million medical bills.
Founder Robert Kennedy Jr. of Children’s Health Defense – The Defender – reports on 2 June 2021 about a 38-year-old woman, who nearly died after a J&J covid-vaccine. She suffered various organ failures. The woman was healthy until she received the J&J untested covid “vaccine”. Within a week, she started experiencing headaches, abdominal pain and nausea and was eventually diagnosed with severe blood clots that caused most of her vital organs to fail. Only intense medical treatment, 33 days of hospitalization, of which 22 days of intensive care, saved her life – and left her with a medical bill of over a US$ 1 million – for which nobody admits responsibility. See here. Source Covid: Threats, Vaccine Injuries and Deaths Abound | Dissident Voice
High school senior Emma Burkeyreceived the one-shot Johnson & Johnson (J&J) COVID vaccine April 1. Within two weeks she was placed in an induced coma. She underwent three brain surgeries after experiencing seizures and developing blood clots in her brain.
When Burkey was well enough to be transferred from the hospital to a rehabilitation center, her first round of bills totaled $513,000.
Hundreds Injured by COVID Vaccines Turn to
Jitu linasifia huo ujio wa chanjo utafikiri hizo chanjo zinazuia maambukizi wakati mapambano ya kuzuia maambukizi ya corona tumefeli, bado hapo kuna kibarua cha kuwashawishi raia kukubali kwa hiari kuchomwa hizo chanjo wakati huo maambukizi yanaendelea.