#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

Mimi sijawahi kufiwa na mtu yeyote ninayemjua kutokana na hiyo corona!

Mawakala wa mabeberu wako mitandaoni humu kupika uongo na kujaza watu hofu.
 
Hakukataa chanjo wala madawa ya magonjwa yote. Ndio sababu ndiye rais aliyejenga hospital nyingi zaidi za wilaya tangu uhuru. Alichokataa ni chanjo ya korona sababu ya uchache wa mda uliotumika kuivumbua hakuna clinical trials za kutosha kujua long term effects.
 
Kauli ya watu kupukutika ni kauli nzito sana mkuu.
 
Yaani nyie wakenya na wanyasa mbataka sisi waTanzania tusivae barakoa na walla tusichanjwre ili tufe kama inzi adi tuishe????? hahahaaa hakika hilo ni dua la kuku kamwe halimpati mwewe.........,,,, kuchanja tuta chanja na tutaendelea kubaa barakoa over!
 
Naam na Tanzania yenye tozo za miamala iliyopitishwa na Bunge hivi karibuni nayo inawezekana.
 
Unakuta anaandika uzi huu akiwa kwenye foleni ya kwenda kudungwa chanjo ya msaada iliyopokelewa na Waziri gwajima.
 

You are not tough lady but just an empty-skull lady! Unatumia uwepo wa sababu nyingine za vifo kuidogosha corona!!?? Hicho kiwango unachosema ni kidogo unatumia taarifa gani kukuchambua? Wewe unajua kila kifo kinachotokea Tz na kusema ni cha corona au la?

Nimekuita empty-skull kwa sababu hii. Data is objective n analysis is subjective. Kukosekana kwa mfu wa corona mtaani kwako au kazini haimaanishi hakuna watu wanaokufa kwayo. Unajaribu kulinganisha data za vifo na wagonjwa kutoka katika nchi zinatoa data dhidi ya yetu isiyotoa na kusema sis wanakufa wachache?! So uneducated-like!!

Maisha yana thamani sana, tuna wajibu wa kuokoa maisha - hata kama ni ya mtu MMOJA. Wewe unayetaka tuanze kuokoa wakiwa wengi ni mpumbavu tu. I lost my mama to covid, ninaumia kuona kuna aina yako ya binadamu. This world deserve a better person than you, kwa hakika. Inahitaji mtu anayeona kifo cha mtu mmoja kama ni bundle of love less on the planet.

I actually think you have an ugly face. Roho yako inaakisi sura yako.[emoji23][emoji23]
 
Yaani wewe unafurahia upuuzi wa kupewa misaada badala ya kujitutumua wenyewe kutengeneza hivyo vitu?

Unajua athari zake kwenye maisha yetu na vizazi vyetu mbeleni?
Sifurahiii hata kidogo kupokea misaada,ila pia nazishukuru jumuia za kimataifa zinazotupa huo msaada,sababu siyo wajibu wao ni umaskini wetu na njaa zetu.so tuendelee kuwashukuru kwa sababu bado hatuna uwezo wa kujitosheleza.Huwezi endelea kumbeza jirani wakati kila siku ndiyo anayekusitiri kuitunza familia yako isife njaa.Kataa msaada wake ili familia yako ife njaa
 
Mkuu Kama hujafiwa na ndugu,jirani au Mfanya kazi mwenzio mshukuru Mungu ila usiwatoneshe watu vidonda vya maumivu kwa wengine!
Ni sahihi kusema tunapukutika kwa corona?
 
Mtoa mada umeandika uzi mzuri sana, nimeupenda bure uzi huu, tena kama vipi hayo machanjo wapeleke tu huko incineration yakachomwe moto
 
Ah wapiii wewe.... hebu pita mtaani uone kama kuna mtu anavaa hayo mabarakoa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…