Ngoja tuone.Biden asema amewasilisha ujumbe wa faragha kwa Iran kuhusu mashambulizi ya Houthi
View attachment 2871366
Taarifa kutoka Washington hivi punde zinasema Rais Joe Biden anasema Marekani imewasilisha ujumbe wa faragha kwa Iran kuhusu Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran waliohusika katika kuzishambulia meli za kibiashara katika Bahari ya Shamu,
"Tuliiwasilisha kwa faragha na tuna imani kuwa tumejiandaa vyema," Biden aliwaambia waandishi wa habari katika Ikulu ya White House.
Tatizo yeye sio rais wa kwanza kutoa tamko kama hilo.iyo kauli ya Biden kusema amejiandaa huo ujumbe utakua wamoto sana.
Yap! Soon watashindiliwa mtarimbo mzito wasije wakapiga makelele kama kawaida yao!Kwamba Iran aendelee kupaka mafuta
Iran hakuwahi kupiga kelele.Yap! Soon watashindiliwa mtarimbo mzito wasije wakapiga makelele kama kawaida yao!
Ok; that's what I advised them! Safari hii atasema maana huo moto anaoandaliwa sio wa kitoto!Iran hakuwahi kupiga kelele.
Iran ni mlipizaji visasi tu.
Ni juzi tu Iran kaiteka meli ya Marekani na hatujaona huo moto.Ok; that's what I advised them! Safari hii atasema maana huo moto anaoandaliwa sio wa kitoto!
Huo ujumbe una nia ya kuishinikiza Iran iwaamuru wahuthi wasijibu mashambulizi yaliyo fanywa na Marekani na Uingereza.iyo kauli ya Biden kusema amejiandaa huo ujumbe utakua wamoto sana.
Nakuona msemaji wa Pentagon ya BuzaOk; that's what I advised them! Safari hii atasema maana huo moto anaoandaliwa sio wa kitoto!
Biden says, "we are confident"iyo kauli ya Biden kusema amejiandaa huo ujumbe utakua wamoto sana.