kalipeni
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,571
- 1,328
Biden asema amewasilisha ujumbe wa faragha kwa Iran kuhusu mashambulizi ya Houthi
Taarifa kutoka Washington hivi punde zinasema Rais Joe Biden anasema Marekani imewasilisha ujumbe wa faragha kwa Iran kuhusu Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran waliohusika katika kuzishambulia meli za kibiashara katika Bahari ya Shamu,
"Tuliiwasilisha kwa faragha na tuna imani kuwa tumejiandaa vyema," Biden aliwaambia waandishi wa habari katika Ikulu ya White House.