Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

Njia sahihi ya kujua kama kwenye nchi kuna ugonjwa fulani ni kwa kusubiria watu wafe kwa ugonjwa huo au ni kwa kupima watu ugonjwa huo?Kwani Tanzania si kuna ukimwi?Ni watu wangapi umeshuhudia wakifa kwa ukimwi?
Tangu tupuuze maagizo yao ya kikuda, hizo siku 14 zao hazijapita tu🤔?

Naona watu mnaumia Sana juu ya Hili swala.Mnatamani Sana corona iwepo, Hiyo covid-19 ikirudi naomba ipite na ukoo wako kwanza.
 

Unauliza utapimaje ugonjwa ambao haupo?Umejuaje kuwa haupo wakati hakuna vipimo vinavyofanyika?

Unavyosema kuwa wewe ni mzima huwezi kwenda hospitali kupima kwani ni ajabu mtu mzima ambae haumwi kwa mfano kwenda hospitali kupima HIV?Kwa hiyo ili mtu aende hospitali kupima HIV ni lazima awe anaumwa?

Mbona ukimwi upo na hatuoni watu wakiumwa,wakizidiwa na wengine kufa? kama unavyodai kuwa Corona ingekuwepo tungeshuhudia watu wakifa,kuzidiwa na kulazwa
 
Kwahiyo sie watanzania ndio tuna kinga imara sana kuliko majirani zetu au hao wazungu?
 
Tangu tupuuze maagizo yao ya kikuda, hizo siku 14 zao hazijapita tu[emoji848]?

Naona watu mnaumia Sana juu ya Hili swala.Mnatamani Sana corona iwepo, Hiyo covid-19 ikirudi naomba ipite na ukoo wako kwanza.
Unajua kusoma?Wapi nimesema kuwa natamani Corona iwepo?
 
We unaongelea nini?
Nendeni marekani mkapimwe hiyo corona.Hapa Tanzania hatuendekezi huo ujinga.

👉Hakuna covid-19, na maagizo yao ya kikuda hatufati huu mwezi wa tano sasa,na incase unatamani Sana uwepo wa covid-19 Tz,basi ianze na ukoo wenu wote,ili ukiizungumzia usiwe ni kinafiki kama hivi.
 
Tangu tupuuze maagizo yao ya kikuda, hizo siku 14 zao hazijapita tu🤔?

Naona watu mnaumia Sana juu ya Hili swala.Mnatamani Sana corona iwepo, Hiyo covid-19 ikirudi naomba ipite na ukoo wako kwanza.
balozi wao mwenyewe havai barakoa ,washatengeneza machanjo yao ya covid kupunguza watu duniani...wanajua watapoteza credibility ikionekana Tanzania tumeweza ushinda ugonjwa...dawa kumpa mbwa jina baya kabla hujamuua
 

Attachments

  • balozi.jpg
    26.8 KB · Views: 9
Please revisit my comments - I said "almost negligible" does that sound Greek to you?
Swali la msingi liko pale pale: Je balozi kutovaa face mask kwenye gathering na Balozi kuonyesha kwamba ana amini kwamba maabukizi ya corona nchini ni almost negligible, inahalalisha na kuthibitisha kuwa Tanzania maambukizi ya Corona ni negligible?
 
Unaelewa kuwa Tanzania ilisaini mikataba ya WHO na ni mwanachama wa WHO na WHO walitoa miongozo jinsi ya kupambana na Corona na miongoni mwa miongozo hiyo ni kufanya mass testing kisha kutangaza matokeo?Tanzania inafanya hivyo?
Sisi Kutofuata Maelekezo ya WHO ya kutotangaza takwimu ndio kipimo chako cha uwepo wa corona?
 
Mpuuzi wewe
Sasa kama mnalazimisha uwepo wa corona Tz na wakati haipo, inatakiwa ipite kwanza na ukoo wako wote, Ili na sisi tuamini kuwa ipo.

👉Vinginevyo ni propaganda tu.
 
Njia sahihi ya kujua kama kwenye nchi kuna ugonjwa fulani ni kwa kusubiria watu wafe kwa ugonjwa huo au ni kwa kupima watu ugonjwa huo?Kwani Tanzania si kuna ukimwi?Ni watu wangapi umeshuhudia wakifa kwa ukimwi?
Watu wapo ninaojua wamekufa kwa ukimwi na nina hadi ndugu aliyekufa kwa ukimwi. Lakini pia tofauti ukimwi mtu anaweza kuwa nao na akaishi miaka na miaka huku akiwa ni mwenye afya wala usimjue,ninao ndugu wenye ukimwi wala huwezi kuwajua.
 
balozi wao mwenyewe havai barakoa ,washatengeneza machanjo yao ya covid kupunguza watu duniani...wanajua watapoteza credibility ikionekana Tanzania tumeweza ushinda ugonjwa...dawa kumpa mbwa jina baya kabla hujamuua
Wapuuzi tu, umasikini ndo unawasumbua 😂. Yani yanatamani corona iwepo Tz,Ili yapate cha kuzungumzia kwenye siasa zao za kijinga.
 

Well said, tatizo hapa kuna Watanzania wengine ni argumentative by default - looking back now nimebaini kwamba wengi wao wanachukulia COVID-19 pandemic kama fimbo ya kuwananga viongozi nchini - ni hilo tu mkuu mambo mengine wanachapia tu - mtabishana usiku kucha wanajifanya hawajui ukweli ni UPI - lakini ukisema Dk.Magufuli kashindwa ku-deal na COVID-19 effectively members wengi wa JF wataku- support!!
 
Kwani HIV na Corona Ni sawa?.
 
Mpuuzi wewe
kijana ukishikwa pabaya unamaneno makali kumbe...sikia nyie wapinzani ni kama toilet paper au condom..Amsterdam akimalizana na nyie ataamia kwa mwengine....shame mnashadadia corona wakati hapo kimbelembele kwe daladala umebanana kwanini usijifungie ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…