Sawa. Unachukua hatua gani? Upo caranteen? Au unavaa mask?Corona ipo Tanzania kwa sababu Corona ni ugonjwa ambao ni pandemic(Kajifunze sifa za ugonjwa ambao ni pandemic)
we ni matcle tu ndugu yangu, unaongea pumbaa tu hapaHakika, Ukweli ni kwamba Ugonjwa wa Corona Tanzania upo na Maambukizi ni makubwa.
Aga Khan na Muhimbili wagonjwa Wapo wengi sana.
Two weeks ago rafiki yangu amefiwa na Mzazi wake na ndugu kadhaa Sasa wamelazwa Aga Khan kwa sababu ya Corona baada ya kuwa karibu na Marehemu.
Ujinga wa Mjinga mmoja usikuaminishe kuacha kuchukua tahadhari.
CORONA IPO NA INAUA, LAKINI INAZUILIKA UKIWA MAKINI.
Unaelewa kuwa dalili pamoja na vifo vya Corona vinatofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine kutegemeana na umri wa mtu,magonjwa mengine aliyo nayo mtu,hali ya unene na wembamba wa mtu,kiwango cha kinga za watu,e.t.c?Unaelewa kuwa kuna watu wengi sana wanapata Corona lakini hawaonyeshi dalili zozote zile hadi wanapona wenyewe bila ya kutumia dawa yoyote ile?
Hivi unasoma ninachoandika au unafanya makusudi?!Nimesema wanaoambukizwa na kupona kwa wingi ni vijana lakini wazee,watu wagonjwa,watu wenye kinga ndogo,etc ni ngumu kupona ukilinganisha na vijana kisha nikasema ni muhimu kila mtu kupimwa ili kama atakuwa postive ajihadhari kuambukiza makundi ya watu ambao ni victim zaidi kama vile wazee,watu wenye magonjwa mengine,watu wenye kinga ndogo,e.t.cSasa Kama hapa TANZANIA watu wanaugua na kupona Corona shida ipo wapi?
Hivi unasoma ninachoandika au unafanya makusudi?!Nimesema wanaoambukizwa na kupona kwa wingi ni vijana lakini wazee,watu wagonjwa,watu wenye kinga ndogo,etc ni ngumu kupona ukilinganisha na vijana kisha nikasema ni muhimu kila mtu kupimwa ili kama atakuwa postive ajihadhari kuambukiza makundi ya watu ambao ni victim zaidi kama vile wazee,watu wenye magonjwa mengine,watu wenye kinga ndogo,e.t.c
Wanauliza hivyo kwa sababu huu ugonjwa unajulikana ni hatari,kwahiyo hata hao waliyokuwa kwenye makundi hatarishi na hii corona kwa maana wenye kinga zaifu kama wazee na wengine basi tungeona wakiuguwa kwa wingi au kufa.Sio kwamba sisi tunakinga imara kuzidi wenzetu....kuna watu wanahoji kama kuna korona Kuna ndugu zako wangapi wameishakufa...hoja yangu ni kwamba kuwa na korona sio lazima ufe...kuna watu Wana virusi vya korona na Wala hawahisi hata kuumwa hii ni kwa sababu ya Kinga zao imara.... lakini ukichukuwa kipimo ukawapima utawakuta na virusi....hata hao majirani zetu na wazungu ripoti zao nyingi za maambukizi zinatokana na kupima...hawasubiri mtu augue ndio wampime...lengo ukingundulika wakutenge usiendelee kusambaza kwa ambao hajaambukizwa.
Sasa je we umeona ongezeko la vifo kwa wazee kwa wakati huu ili ndio tuweze kujua kuwa itakuwa ni corona?Hivi unasoma ninachoandika au unafanya makusudi?!Nimesema wanaoambukizwa na kupona kwa wingi ni vijana lakini wazee,watu wagonjwa,watu wenye kinga ndogo,etc ni ngumu kupona ukilinganisha na vijana kisha nikasema ni muhimu kila mtu kupimwa ili kama atakuwa postive ajihadhari kuambukiza makundi ya watu ambao ni victim zaidi kama vile wazee,watu wenye magonjwa mengine,watu wenye kinga ndogo,e.t.c
Sichukui hatua yoyoteSawa. Unachukua hatua gani? Upo caranteen? Au unavaa mask?
Asante sanaNyie ndio wapumbavu wachache kwahiyo kwenye nchi kuwepo watu 2 au 3 wenye akili kama zako haina shida
Wakati ule tunapima na kutangaza matokeo hali ilikuwa inaonekana inazidi kuwa mbaya,sasa je ili hali mbaya iliyokuwa ikizidi kila ndio ilitoweka baada ya kuacha kupima corona na ndio maana hatuoni madhara Au ile hali iliendelea kuzidi na bado inaendelea hasa ukizingatia tumeacha taritibu za kujikinga na corona?Hii umeiweka vizuri sana, kiasi kwamba haipingiki.
Sasa nikuombe msaada kama unaweza: hebu eleza ni nini hasa kilichotokea hadi COVID-19 ikawa haionyeshi madhara, sio hapa kwetu tu, na hata nchi nyingine hapa Afrika.
Huu ndio mjadala unaotakiwa kujadiliwa.
Hili ndilo jambo muhimu zaidi wanasayansi wetu wangekuwa wanalitafutia majibu kwa nguvu zote.
Tzmbongo: usidhani sijui msimamo wako, kwani tumejibizana mara kadhaa hapa jamvini.
Kuzuia kupima na kutangaza waathirika ni sehemu ya kuizuia COVID-19 isienee?
Yule bwana wenu alikuja na barakoa kubwa Kama bakuli lakini amezunguka nchi bila hilo bakuli mdomoni mpaka siku ile anakimbia kwenda ilipo kaliweka tena.Hata Marekani wakati wa kuhutubia hawavai mask, akili yako ndogo sana.
Acha upotoshaji maana hutaambulia chochoteKamanda shana kafa kwa Corona, Madaktari wote wa Mbagala Rangi tatu wamekufa na Corona! Manesi ndo kabisaaaa!
OK nimekuelewa, kwa hiyo Unapromote kuwa nchi uliyopo ina corona, hakuna unayemfahamu mwenye nayo, Wewe pia hujaipata na huchukui hatua yoyote kujikinga.Sichukui hatua yoyote
Naelimisha Mkuu!! sipotoshi! Hatuna Bwana sisi kwa sababu hatujaolewa, Na wala hatujawahi sikia hizi habari wala kuwazia! ndo kwanzaa nasikia kwako; En heee!Yule bwana wenu alikuja na barakoa kubwa Kama bakuli lakini amezunguka nchi bila hilo bakuli mdomoni mpaka siku ile anakimbia kwenda ilipo kaliweka tena.
Acha upotoshaji maana hutaambulia chochote
Kwa mfano toka mwezi wa kumi. Una ndugu au marafiki wangapi wamekufa kwa korona?Corona ipo Tanzania watu wanakufa lakini kwa kuwa Serikali ilipiga marufuku kuongelea corona inabidi Hosptal waache kusema ukweli
OK nimekuelewa, kwa hiyo Unapromote kuwa nchi uliyopo ina corona, hakuna unayemfahamu mwenye nayo, Wewe pia hujaipata na huchukui hatua yoyote kujikinga.
Brother kumbe wewe ni mweupe kichwani hivi?Kukosekana mtu ninaemfahamu ambae ana Corona inathibitisha na kuhalalisha kuwa Tanzania hakuna Corona?Mbona sifahamu mtu hata mmoja ambae ana HIV,hii inahalalisha na kuthibitisha kuwa Tanzania hakuna HIV?
Mimi kutoipata Corona na kutokuchukua hatua yoyote ya kujikinga dhidi ya Corona inathibitisha na kuhalalisha kuwa Tanzania hakuna Corona?Mbona kule Marekani kuna watu wengi sana hawana Corona na hawajikingi dhidi ya Corona,hii inathibitisha na kuhalalisha kuwa kule Marekani hakuna Corona?
Point yako ni nini labda?Unataka kuhalalisha ya kwamba kwa sababu hakuna mtu ninaemfahamu mwenye Corona basi hii inathibitisha kuwa Tanzania hakuna Corona kama huyo jamaa anavyodai?Brother kumbe wewe ni mweupe kichwani hivi?
Unaweza je kufananisha Corona na HIV?
Hahahha wapambane na hali zao au sisi, wafikir hiyo kauli ni nzuri kwetu?? Kwasisi tunaotegemea uchuni toks kwa watalii?? Kama USA kasema hvyo unategemea nini kwa nchi za ulaya. We are totally doomed as a nation na pia kuwa na mtu anayewaza wa aina yako.Huu ni uchuro ambao hauna tija,habari za korona tushasahau,wamarekani wapambane na hali yao