Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

Yale yale tu hata tungekua tumefunga mipaka sabab ya corona wasingekuja
 
Mleta uzi weka source ya habari yako. Marekani Haijazuia mtu asije walichokizuia no watu kuepuka kutoka nje Kama hakuna umuhimu.

Hii umekuja baada ya Zaid ya watu 3000 kufa jana kwa corona.

Nenda BBC Sasa hivi unagalie
 
Hiy
Mimi kukosa ndugu aliekufa kwa Corona ndicho kipimo cha kuthibitisha kuwa Tanzania hakuna Corona? Kwani katika nchi zenye Corona kila mtu ana ndugu aliekufa kwa Corona?
Hiyo ni research ndogo tu bogus ww kwahiyo kama hakuna mtu aliefiwa hiyo ndio tafiti ndogo tu kwahiyo unataka kusema wanaokufa wanakuja kimya kimya tanzania wanakufa na corona kisha wanazikwa wap?? Elewa kua tanzania hakuna corona
 
[emoji867][emoji867][emoji867]
 
It is a disease like others. Hata kama asingekufa kwa korona anagekufa na ugonjwa mwingine kama siku yake imefika.acheni ujinga
we ndio mjinga, results zinaonesha source of death ni covid. we unasema angekufa kwa ugonjwa gani? acha kuleta utani kwenye mambo serious
 
Hapa sikuelewa unaeleza nini.

Yaani kupima ndiko kulikokuwa kunazidisha maambukizi ya corona? Tukipima ndio corona itasambaa zaidi?

Si kama haipo, basi haipo hata ukipima huipati!
 
Brother kumbe wewe ni mweupe kichwani hivi?
Unaweza je kufananisha Corona na HIV?
Hapa wewe ndio unaonekana kuwa kituko. Huna lolote unalojua, kazi ni kupayuka tu basi ili mradi uonekane umetetea hao waliowatuma.
 
Njoo Njooni uwanja wa taifa muone mashabiki wakiishangilia simba ndo mtajua kolona ipo au haipo hahahaaaaa tanzania ya sasa eeh ... Hei mamaaaaaa inawaka waka eh
 
Hayo masharti kwao wanazingatia?
Marekani ndio nchi inayoongoza kwa maambukizi ya covid 19
 
Mchango wako hapa umeongeza thamani ya mjadala huu.
Sidhani hata mmoja wa hawa wanaopayuka hapa watakuwa na ubavu wa kukanusha uliyoandika.
 
Kidogo kidogo, mara Marekani yaionya Tanzanja kufanya majaribio ya makombora yake ya masafa marefu
 
Unaniuliza mm tena? Vigezo vya hitimisho kuwa tuna corona ulivitoa ww. Nilichofanya ni kukupa summary ya majibu yako kuwa unapromote kuwa tuna corona ila ww huna, hufahamu mtu aliyenayo na hujikingi.

Kuhusu UKIMWI tembelea hospitali yoyote ya mkoa utawaona wagonjwa.

Kuhusu marekani sifahamu nn kinaendelea nchini kwao.
 
Ambacho sijakuelewa ni kwamba,kwani mimi kutokuwa na Corona na kutojikinga dhidi ya Corona ina uhusiano gani na mada yetu tunayojadili ambayo inahusu Tanzania Corona ipo au haipo?
 
Hapa sikuelewa unaeleza nini.

Yaani kupima ndiko kulikokuwa kunazidisha maambukizi ya corona? Tukipima ndio corona itasambaa zaidi?

Si kama haipo, basi haipo hata ukipima huipati!
Wakati ule wa mwanzoni bado tunapima na kutoa takwimu ilikuwa inaonekana hali ni mbaya na inazidi,ila tukaacha kupima na tokea hapo kadri siku zilivyozidi kwenda watu wakawa wanaacha kuzingatia taratibu za kujikinga na corona na tukarudi kuishi maisha yetu kabla ya corona hadi sasa watu wanaamini corona ilikwisha Tanzania.

Sasa nachouliza ile hali ya corona iliyokuwa ikizidi kuwa mbaya iliisha na ndio maana sasa watu hawaoni madhara ya corona au ile hali inaendelea hadi sasa ila hatuoni madhara?
 
Ambacho sijakuelewa ni kwamba,kwani mimi kutokuwa na Corona na kutojikinga dhidi ya Corona ina uhusiano gani na mada yetu tunayojadili ambayo inahusu Tanzania Corona ipo au haipo?
Inahusiana sababu serikali yako imesema tumeishinda corona, Wewe unasema huna corona, hufahamu mtu mwenye corona na pia hujikingi na corona ila hapo hapo unapromote kuwa kuna corona.
 
Inahusiana sababu serikali yako imesema tumeishinda corona, Wewe unasema huna corona, hufahamu mtu mwenye corona na pia hujikingi na corona ila hapo hapo unapromote kuwa kuna corona.
Unaelewa kuwa mimi kutokuwa na Corona,kutokujikinga na Corona na kutokumjua mtu ambae ana Corona haithibitishi wala haihalalishi kuwa Tanzania haina Corona?
 
Wewe una ndugu aliyekufa kwa Corona?
Hata huko kwenye maambukizi na vifo vingi vinavyotokana na Corona zipo familia nyingi ambazo hazijapoteza wapendwa wao kabisa.
Kwa hiyo mtu kutompoteza ndugu yake haimanishi kuwa hakuna Corona nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…