Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

Tumempoteza ndugu yetu juzi pale Aga Khan, vipimo kutoka maabara kuu vinaonesha ni hiyo kitu. ameacha mtoto wa 7 mon
Corona ipo nyingi Tanzania watu wanakufa lakini wanaogopa kusema kwa hofu ya kutengwa na jamii wakakosa misaada na biashara zao kusimama
 
Covid 19 IPO anaebisha nitamtumia dozi ninayo itumia saizi afu nimejitenga Niko lodge yapata wiki sasa kuepusha mambukizi ktk familia
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu April-May 2020 corona ilitutandika ila kwasasa hata kama ipo basi immunity yetu inaimaliza kimya kimya otherwise tunavyojiachia ingekuwa ishatutandika zaidi ya April-May.
 
Tumempoteza ndugu yetu juzi pale Aga Khan, vipimo kutoka maabara kuu vinaonesha ni hiyo kitu. ameacha mtoto wa 7 mon
CCM wanadai kufunga siku 3 kulifukuza corona wakati kilichopunguza corona ni kupiga nyungu kunywa tangawizi limau na vinginevyo kisha mungu akasaidia kupitia huko, Ugua corona omba mungu pasipo kutumia dawa ndipo utajua corona ni nini
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu April-may 2020 corona ilitutandika ila kwasasa hata kama ipo basi immunity yetu inaimaliza kimya kimya otherwise tunavyojiachia ingekuwa ishatutandika zaidi ya April-May.
Tanzania ni Nchi pekee Duniani ilitekeleza zoezi la kupiga nyungu kwa pamoja na kwa bidii kubwa pasipo kuchoka ndicho kilisaidia kuipotezea mwelekeo kiasi, lakini sasa watu hawanawi mikono hawapaki vitakasa mikono hawana barakoa lazima corona irejee kwa nguvu kubwa mno
 
Sasa hakuna uvaaji barakoa unawaji mikono wala kupaka vitakasa mikono unategemea corona isirudi tena?
 
Hivi ni vita vya kiuchumi je tufukuze mabeberu/
 
Watu sasa wanasalimiana kwa kushikana mikono kwani salam bila kushikana haifiki? kwanza kutoshitakiwa mikono husaidia kutoambukizana hata magonjwa mengine kama mafua UTI nk, eti Serikali nalo wameshindwa kulipigia kelele mpaka wasikie labda chadema wameugua corona wote ndipo utasikia matamko ya kila aina mpaka ya wenyeviti wa vijiji
 
Watuache wenyewe tuendelee kuvuta hewa saaaaafi bila bugdha.......
 
Mbona hospitali kibao tu watu tunaingia bila mask?
 
Serikali ya Marekani kupitia Taasisi ya Centre for Desease Control ama CDC imetoa onyo kwa raia wa Marekani kuchukua tahadhari ya kutembelea Tanzania kwani kuna uwezekano mkubwa wa kuambukizwa corona...
Kuna lijitu linafikiri linachunga ng’ombe kwa jinsi linavyotawala nchi hii.
 
Serikali ya Marekani kupitia Taasisi ya Centre for Desease Control ama CDC imetoa onyo kwa raia wa Marekani kuchukua tahadhari ya kutembelea Tanzania kwani kuna uwezekano mkubwa wa kuambukizwa corona...
Je, onyo hilo linatekelezeka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…