Uchaguzi 2020 Marekani yawasihi NEC na Magufuli kujali misingi ya demokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

Uchaguzi 2020 Marekani yawasihi NEC na Magufuli kujali misingi ya demokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Kamati ya bunge la Marekani la seneti ya mambo ya nje imeisihi tume ya uchaguzi Tanzania kujirekebisha, kuondoa makosa yaliyofanyika ndani ya miaka 5 iliyopita, kuacha kumshitaki Lissu kwa hoja ya kijinga.

Kamati hiyo inamtuhumu Magufuli kuminya Demokrasia, utawala bora, uhuru wa kujieleza toka ameingia madarakani miaka 5 iliyopita, wamemsihi kuwa sasa ni wakati wa kurekebisha makosa aliyoyafanya kwa miaka 5 iliyopita.

======


OCTOBER 05, 2020

CHAIRMAN RISCH: TANZANIA OFFICIALS MUST CORRECT PAST ERRORS AND HOLD CREDIBLE VOTE

BOISE, Idaho – U.S. Senator Jim Risch, chairman of the Senate Foreign Relations Committee, today issued the following statement regarding the recent suspension of the leading Tanzanian opposition candidate's campaign by electoral officials:

“Suspending the leading opposition candidate's presidential campaign on bogus charges raises serious questions about the independence of Tanzania's electoral commission. The political violence and repression of opposition candidates, restrictions on independent media, lack of autonomy and transparency by electoral officials, and government authorities' interference reflect Tanzania's history of flawed elections and the country's democratic erosion over the past five years.

“Despite profoundly troubling developments throughout the electoral campaigns, Tanzania's October 28 general elections provide an opportunity for President Magufuli and electoral officials to correct past errors and return Tanzania to a positive democratic trajectory by holding free, fair, and credible elections. Otherwise, Tanzania's continued democratic decline stands to undermine its future and will negatively influence democratic progress in the rest of the region.”

Background: On Friday, Tanzania's National Electoral Commission (NEC) suspended leading opposition presidential candidate Tundu Lissu from campaigning for seven days for violating the electoral code of ethics. The NEC accused Mr. Lissu of making seditious comments during one of his rallies in complaints filed by two political parties, including the ruling Chama Cha Mapinduzi party. NEC membership is selected solely by the president of Tanzania.

Chanzo:Chairman Risch: Tanzania Officials Must Correct Past Errors and Hold Credible Vote | United States Senate Committee on Foreign Relations
 
Kunakaribia kukucha.

Jiwe katuharibia sana hii nchi, Tatizo watanzania wengi si waelewa.

Hii ni Dalili kuwa utawala wa Jiwe unapingwa kila kona Watanzania wengi hatumpendi Magufuli, Wazungu hawampendi Magufuli, watetezi wa haki za binadamu hawampendi Magufuli, mashirika ya umoja wa mataifa na msaada hayampendi Magufuli.

Kwaheli Magufuli, kwaheri CCM, kwaheri ukoloni, Kwaheri umasikini.
 
Uchaguzi wa Marekani unaotarajiwa kufanyika November mwaka huu umeingia kasoro nyingi kiasi kwamba Rais Trump amekataa kutoa ahadi ya kukubali matokeo yatakayotangazwa na tume.

Trump amesema kuwa utaratibu wa kupiga kura umepangwa kwa mtindo unaolenga kukandamiza wapiga kura wanaomuunga mkono.

Vilevile kumekuwa na hatari kuwa matokeo ya uchaguzi huo yatachelewa kutolewa kwa sababu uhesabuji kura katika baadhi ya majimbo utaendelea kwa siku 4 baada ya vituo vya kupiga kura kufungwa.

International election observers fret about US vote


California investigates unauthorized ballot boxes installed by Republicans
 
Ndungai alisema CCM inachohitaji ni 3/4 ya wabunge wote ili iwe na maamuzi ya kupitisha sheria bungeni. Kilichofuatia ni wabunge wa Chadema kuenguliwa na mawaziri na makada waandamizi wa CCM kupita bila kupingwa.
 
Hakika hii mishale inayopigwa kila upande toka pande mbalimbali za dunia, zikituonya nchi hii tuendeshe uchaguzi ulio huru na wa haki, ni message tosha kwa watawala kuwa wasitende kama walivyozoea, ni lazima watambue kuwa dunia nzima inauangalia kwa makini sana, uchaguzi huu

Iwapo Rais wetu na NEC yake watajifanya wana kiburi na kutotaka kusikiliza hizo kelele za dunia nzima, basi watakapoburuzwa kwenye mahakama ya kimataifa The Hague, wasije wakalaumu mtu!

Hakika uchaguzi wa mwaka huu ni wa historia, kama ambavyo amekuwa akisikika akisema Tundu Lissu.
 
Kunakaribia kukucha.

Jiwe katuharibia sana hii chi, Tatizo watanzania wengi si waelewa.

Hii ni Dalili kuwa utawala wa Jiwe unapingwa kila kona Watanzania wengi hatumpendi Magufuri, Wazungu hawampendi Magufuri, watetezi wa haki za binadamu hawampendi Magufuli, mashirika ya umoja wa mataifa na msaada hayampendi Magufuli.

Nchi jirani hazimpendi Magufuli
Viongozi wa dini hawampendi Magufuli
Wahanga wa tetemeko hawampendi
Wafanyabiashara hawampendi
Wahitimu hawampendi
Watumishi wa Umma hawampendi
Wakulima hawampendi
Wafugaji hawampendi
Anapendwa na mafisadi wenzake
Anapendwa na wasiokua na upeo yaani darasa la saba
Anapendwa na mayanga
Anapendwa na mtoto wa dadake
Anapendwa na watu wasio na mustakahali
Anapendwa na wanafiki
Huyu mtu balaa Sana na nuksi katika nchi
 
Kamati ya Mambo ya nje kufuatilia kwa ukaribu mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tanzania

Video hii ktk Dakika ya 7:24' na 14:46' inaitaja nchi ya Tanzania kama mfano tosha wa kuporomoka haki za kiraia ktk kila nyanja za kibinadamu, kisiasa, uchaguzi, vyama vya upinzani kusakamwa, mhimili wa Mahakama kuingiliwa uhuru wake .... uthibitisho wake umo katika azimio namba 1120 la Baraza La Senate ....

Democratic Backsliding in Sub-Saharan Africa


Source : House Foreign Relations committee
 
Kwa miaka mingi ukaribu kati ya Marekani na Tanzania unathibitishwa toka ujumbe wa Robert Kennedy Robert F. Kennedy | JFK Library ulipoitembelea Tanzania na kukutana na Mwalimu Nyerere ikulu ya Dar es Salaam kisha pamoja na mambo mengi ya kisiasa na ushirikiano walichezeshwa mchezo wa bao. Ni awamu ya tano ya CCM Mpya ndiyo imeamua kujiweka mbali na mahusiano hayo ya muda mrefu yaliyohitimishwa na ujio wa Marais kadhaa wakiwemo Bill Clinton President Clinton’s Site Visits in Tanzania, Thursday, April 30, 2015 , George Bush Obama to meet George W. Bush in Tanzania on Tuesday na Barack Obama
 
Narudia kuandika maoni yangu Kama nilivyoyatoa Mara kadhaa,kwa miaka mingi kulikuwa na upinzani ambao haufuatiliwi na watu wa magharibi sasa tangu shambulio la Lissu ,kulitoa fursa kwa upinzani kupaza sauti zao na kuwaeleza wazungu ambao kimsingi ni wafadhili wakubwa wa serikali.

Hali halisi ya siasa za Tanzania hususani awamu ya Magu na reflection ya matukio ya kunyanyaswa wapinzani toka enzi ya Mkapa,JK na JPM.

Sasa hii ni fursa adhimu kwa watazn kuweza kuiondoa ccm madarakani maana tumepata mtu ambaye anaweza sikilizwa na Wazungu,bahati mbaya au nzuri Magu ni mtu wa kiburi hawezi ku associate nao vizuri.

Tutumie fursa hii kuweza kupiga kura za kuikataa ccm ili wakiiba wazungu watatusaidia kuwabana maccm.Kwa sasa maccm yamebaki na kalata ya mwisho ya kuita TL kibaraka kisa mtu wao haungwi mkono na Wazungu.

Porojo za hivi hazikumsaidia Mugabe japo kule Zim wapinzani hawajaingia lakini wamepata ushindi wa kwanza na huku inawezekan.
 
Maoni binafsi ya Trump hayana uhusiano na sera za mambo ya nje za marekani kuelekea nchi na nchi.Wewe kwa akili yako unadhani Tume iseme Trump umeshindwa anaweza kataa kutoka Ikulu? Anaanzaje kwa mfano, taasisi za kule sio za vyama Kama huku ambapo vyombo vya usalama na taasisi zingine ni Kama matawi ya chama,ndio maana kinaitwa chama dola
 
Kitakachofuata ni vikwazo,na hapo ndipo kila mtu atasaga meno,kwa sasa naacha kuweka pesa benki zinaweza pigwa pini ukakosa nauli ya kuvuka mpaka japo kuwa mkimbizi,hatuombea lakini yale ya Zimbabwe yananukia.

Mageuzi siku zote Yana maumivu,njia ziko nyingi wako wanaandamana wanapoteza uhai,wako wanapigana vita wenyewe kwa wenyewe na ipo njia ya kuwatumia mabeberu kwa njia ya vikwazo nk nk Ila hii ya vikwazo ina maumivu ya mda mrefu maisha kuja kurejea Kama awali.Njia ya vita ni mbaya zaidi Kama nchi imegawanyika kikabila.

Njia rahisi ni kukubali kushindwa kwa njia ya kura na yenye nafuu ni maandamano ya kubadili serikali kwa lazima ina maumivu ya ghafla lakini inawahi kuleta tija sasa kwa historian ya uoga wa kibongo hapa ni vikwazo tu maana maccm hawako tayari kukabidhi nchi kwa amani
 
Wanaompenda jiwe wengi wao ni vilaza, waliobaki wanapata kitu toka kwa jiwe.
Honestly sioni alichofanya cha maana ambacho wanakisifia sana, kusema kaleta heshima sijui kaondoa ufisadi, hahaha kazi karibia zote za ujenzi nchini zinachukuliwa na kampuni za ndugu zake alafu tumekaa tunachekacheka.
 
Ndungai alisema CCM inachohitaji ni 3/4 ya wabunge wote ili iwe na maamuzi ya kupitisha sheria bungeni. Kilichofuatia ni wabunge wa Chadema kuenguliwa na mawaziri na makada waandamizi wa CCM kupita bila kupingwa.
Wamejipanga vizuri ili waje wapitishe kuongeza ukomo wa urais. Jiwe amewashika kwenye balls kabisa hawatingishiki
 
Back
Top Bottom