Uchaguzi 2020 Marekani yawasihi NEC na Magufuli kujali misingi ya demokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

Naye huyo mwenyekiti ni mjinga kama wengine asemee ya Donald atuache na yetu kama kweli demokrasia wanaijua
 
Hii ndo demokrasia we kilaza. Kama Rais mwenyewe anaogopa upinzania maana yake demokrasia imekomaa sana. Anaogopa kuibiwa wakati hapa Tanzania JPM ana uhakika wa kuiba.
 
Hakika JPM kawashika mabeberu. Mungu mbariki Magufuli
 
Kuna watu wanaamini Marekani, Umoja wa Ulaya na Wakili Robert Amsterdam wanatania mwaka huu ila napenda tu kuwaambia sio mbali dunia inaanza kusoma makala za Kuanguka kwa Tanzania Kama ilivyosoma kwa miaka mingi makala za kuanguka kwa Zimbabwe!

Ni tukubali ujinga wa Magufuli na watu wake then nchi yetu ianguke vibaya kiuchumi na watu wawe mafukara kupindukia ikiwemo wazazi na ndugu zetu??? Au tukubali matakwa ya demokrasia ili nchi yetu istawi vizuri kiuchumi na iwe mfano bora Africa?
 
We huna unacho jua, Marekani ndo Baba wa Dunia, internet hii unayo jidai nayo ni ya kwao wao, Google ni ya kwao, faceboom ya kwao, Insta ya kwao twitter ya kwao, whataspo ya kwao, wewe una nini zaidi ya makende na kuzaliana tu kama nyoka?
Naye huyo mwenyekiti ni mjinga kama wengine asemee ya donald atuache na yetu kama kweli demokrasia wanaijua
 
Uchaguzi wa Marekani unaotarajiwa kufanyika November mwaka huu umeingia kasoro nyingi kiasi kwamba Rais Trump amekataa kutoa ahadi ya kukubali matokeo yatakayotangazwa na tume.

Trump amesema kuwa utaratibu wa kupiga kura umepangwa kwa mtindo unaolenga kukandamiza wapiga kura wanaomuunga mkono.

Vilevile kumekuwa na hours kuwa matokeo ya uchaguzi huo yatachelewa kutolewa kwa sababu uhesabuji kura katika baadhi ya majimbo utaendelea kwa siku 4 baada ya vituo vya kupiga kura kufungwa.
Kichaa katika ubora wako
 
Waache yaani huu mwaka either tucheke wote au tulie wote
Kuna watu wanaamini Marekani, Umoja wa Ulaya na Wakili Robert Amsterdam wanatania mwaka huu ila napenda tu kuwaambia sio mbali dunia inaanza kusoma makala za Kuanguka kwa Tanzania Kama ilivyosoma kwa miaka mingi makala za kuanguka kwa Zimbabwe!

Ni tukubali ujinga wa Magufuli na watu wake then nchi yetu ianguke vibaya kiuchumi na watu wawe mafukara kupindukia ikiwemo wazazi na ndugu zetu??? Au tukubali matakwa ya demokrasia ili nchi yetu istawi vizuri kiuchumi na iwe mfano bora Africa?
 
We huna unacho jua, Marekani ndo Baba wa Dunia, internet hii unayo jidai nayo ni ya kwao wao, Google ni ya kwao, faceboom ya kwao, Insta ya kwao twitter ya kwao, whataspo ya kwao, wewe una nini zaidi ya makende na kuzaliana tu kama nyoka?
Wanadhani Marekani ni Amber Rutty!! Achana nao vilaza wa Lumumba hawa
 
Hawa hawa wanao mpamba Jiwe watamgeuka siku, Mugabe alikuwa na wapambe hawa wa Magu ni cha mtoto ila mwoshoni mara baada ya mambo kuwa magumu walimgeuka, it the matter of time
Kuna watu wanaamini Marekani, Umoja wa Ulaya na Wakili Robert Amsterdam wanatania mwaka huu ila napenda tu kuwaambia sio mbali dunia inaanza kusoma makala za Kuanguka kwa Tanzania Kama ilivyosoma kwa miaka mingi makala za kuanguka kwa Zimbabwe!

Ni tukubali ujinga wa Magufuli na watu wake then nchi yetu ianguke vibaya kiuchumi na watu wawe mafukara kupindukia ikiwemo wazazi na ndugu zetu??? Au tukubali matakwa ya demokrasia ili nchi yetu istawi vizuri kiuchumi na iwe mfano bora Africa?
 
Kunakaribia kukucha.

Jiwe katuharibia sana hii chi, Tatizo watanzania wengi si waelewa.

Hii ni Dalili kuwa utawala wa Jiwe unapingwa kila kona Watanzania wengi hatumpendi Magufuri, Wazungu hawampendi Magufuri, watetezi wa haki za binadamu hawampendi Magufuli, mashirika ya umoja wa mataifa na msaada hayampendi Magufuli.

KWAHERI MAGUFULI KWAHERI CCM KWAHERI UKOLONI KWAHERI UMASIKINI.
Nyota njema inaanza kuonekana.
 
Nadhani lugha ya kiingereza ni tatizo, definition ya errors mnaijua vizuri? Errors maana yake ni vikosa vidogo vidogo sana, that means Mh. Magufuli in his past 5 years of leadership, amefanya vikosa vidogo vidogo sana, in other words hakufanya mistakes, yaani makosa makubwa, hivyo Mh. Magufuli ni kiongozi bora kwa msingi huo, hizo errors sio issue kabisa. Ufipa followers, did you hear me?
 
Tanzania sasa hivi ni nchi ya mfano sana ndiyo maana wanapiga kelele hivyo. Zamani tukiwa shamba la bibi walikuwa hawasemi kitu; na hata nchi zote zinazotuzunguka kama Rwanda ambayo inaongozwa kimabavu sana hawaisemi kwa vile haina manufaa sana kwao. yeye anshiwndwa kuzungumzia jinsi wapiga kura wa Marekani wanavyobanwa wasipige kura anakuja kuongelea mambo ya Tanzania.
Yaani wanajikangaja sasa; balozi ambaye ndiye yuko Tanzania anaongea mambo mengine, wakati yeye yuko huko milimani Idaho anaongea mambo mengine ya kufikirika tu.
Kwa uelewa wako Marekani ina biashara gani kubwa na Tanzania?Nyie mliongelea mambo ya kwao wakakataa?Balozi ni senator?Think big.
 
Nadhani lugha ya kiingereza ni tatizo, definition ya errors mnaijua vizuri? Errors maana yake ni vikosa vidogo vidogo sana, that means Mh. Magufuli in his past 5 years of leadership, amefanya vikosa vidogo vidogo sana, in other words hakufanya mistakes, yaani makosa makubwa, hivyo Mh. Magufuli ni kiongozi bora kwa msingi huo, hizo errors sio issue kabisa. Ufipa followers, did you hear me?
Ufahamu wako umenihuzunisha mnoo.Neno dogo kiasi hicho linakupiga chenga maana,sasa wawezaje kujisema mbele za watu unajua kiingereza?
 
Tanzania sasa hivi ni nchi ya mfano sana ndiyo maana wanapiga kelele hivyo. Zamani tukiwa shamba la bibi walikuwa hawasemi kitu; na hata nchi zote zinazotuzunguka kama Rwanda ambayo inaongozwa kimabavu sana hawaisemi kwa vile haina manufaa sana kwao. yeye anshiwndwa kuzungumzia jinsi wapiga kura wa Marekani wanavyobanwa wasipige kura anakuja kuongelea mambo ya Tanzania.
Yaani wanajikangaja sasa; balozi ambaye ndiye yuko Tanzania anaongea mambo mengine, wakati yeye yuko huko milimani Idaho anaongea mambo mengine ya kufikirika tu.
Upumbavu wako!! Yaani tuna mfano katika lipi? BINADAM ukinyimwa uhuru huna zuri lolote utakalofanyia lika replace utu na uhuru wako chukua mfano km Mwalimu Nyerere angekuwa hai leo unafikir angeunga Mkono hoja??una kumbuka alivomzodowa MWINYI baada utawala wa sheria kupuzwa ktk Kipindi chake ?? Dunia Ina hitaji nn kwenu??
Walumumba si bure mmerogwa
 
Back
Top Bottom