Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Ni wakati wa Tanzania kufanya maamuzi magumu kweli mwaka huu!! Magufuli dunia imemkataa na hata sie watanzania hatumtaki!! Tukiendelea kumkumbatia ni majuto makuu. Tutajuta kweli maana vikwazo vya kiuchumi havitatuacha salama, uwe tiss, jwtz, polisi , nec, magereza, mfanyakazi, mkulima, mstaafu, mfanyabiashara, mmama, kijana au mzee ni umasikini kupindukia na majuto makuu. Hakutakuwa na hela za pensheni, madawa hospitalini, mishahara itachelewa na wakati mwingine kutokuwepo kabisa na mwisho bidhaa zitapanda bei na kukosekana kwa vitu muhimu Kama sukari, sabuni na vingine vingi!!Waache yaani huu mwaka either tucheke wote au tulie wote
TUACHANE NA JIWE ILI TUPONE AU TUMKUMBATIE JIWE ILI TUJUTE NA TUFE???