Uchaguzi 2020 Marekani yawasihi NEC na Magufuli kujali misingi ya demokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

Waache yaani huu mwaka either tucheke wote au tulie wote
CCM haiwezi kubadirika yenyewe, itabadirishwa kwa nguvu za ndani ya yenyewe ili kujikinga na mageuzi, au nguvu ya umma dhidi ya dola lake.
 
06 October 2020

Mitandao na Mawasiliano inahujumiwa ?

Tundu Lissu, Live Kiluvya - Dar, afisa habari Makene anaongea Na Swahili Villa


 
cheap politics, RUSSIA, CHINA hwana hata uchaguzi. raisi ni mmoja milele, ifike tu mda we look for alternatives hata kama ni bussiness motives znatuunganisha,
 
umeenda mbali sana, russia hawana hata uchaguzi mkuu, china the same! korea the same, whats so important na tanzania
 
RPC mkoa wa Pwani azingumzia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kuzuiwa barabarani sehemu ya Kiluvya mkoani Pwani

 
Hah hah kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani anaongea huku akitamani kucheka, maana kuitetea CCM Mpya ni kazi kweli kweli kwa sababu anazotoa kamanda wa Polisi wa mkoa.
 
Hah hah kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani anaongea huku akitamani kucheka, maana kuitetea CCM Mpya ni kazi kweli kweli kwa sababu anazotoa kamanda wa Polisi wa mkoa.
Aise unaandika na kujijibu mwenyewe. Kazi kwelikweli. Aibu!
 
Mama Clinton alishinda kura za wananchi ila hakuwa president.....
Bush alipata uraisi baada ya matokeo kuhesabiwa mara ya pili after long waiting.

tuwaheshimu vilanja wa domo-krashia duniani

Viva Magu 2020 to 2030
 
infwakt tunawaheshimu na kuwaogopa na ndio maana uchaguzi utakuwa huru na haki na JPM atapata 92% halali....

Viva Magu 2020 to 2030
Ninyi CCM hamna ubavu wa kuwabishia hao Marekani kwa watakayoyasema............

Kwani misaada yao mnaendelea kupokea kwa wingi hao mnaowaita mabeberu
 
Polisi hawatawasaidia kitu

 
17:20hrs EAT
Pwani Tanzania

Jioni hii Tundu Lissu azungumza akiwa bado amezuiliwa barabarani

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu azungumzia suala la Polisi kuweka vikwazo wakati yeye ni kiongozi wa chama asifanye majukumu aliyopangiwa na chama baada ya Kamati Kuu ya CHADEMA kumpangia kazi za chama baada ya zuio la Tume ya Taifa ya Uchaguzi la siku 7 asifanye Kampeni za 2020 kwa kofia ya Mgombea wa Urais.
 
Tell them to mind their own business.
Ukitaka hivyo acha kuwa omba omba!! Siku zote omba omba ni ngumi kuchagua rafiki!!kesho toa tamko kuwa kuanzia hamtaki msaada wao kwenye ARV'S, tena, anzieni hapo tu, ha hizi zilizopo tunazitia moto, kwakuwa ni za MABEBERU, tutaanza kununua wenyewe!!! Na ikiwezekana kabisa balozi wao apewe 24hrs,aondoke nchini!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…